msafiri kafiri
![](http://1.bp.blogspot.com/-iheRweBPlSI/Uw4k269NRRI/AAAAAAAFP3k/SCq7_FB4m0s/s72-c/0ebf46a7a8c97781dc8dcd1dc0bd3afb.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-blrnkSwZrhE/Va-tl_CTQiI/AAAAAAAD0VY/eXgjYNw2smY/s72-c/Spotted%252Bon%252Ba%252BKenyan%252Broad.jpg)
HATA KAMA MSAFIRI KAFIRI LAKINI HII NI HATARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-blrnkSwZrhE/Va-tl_CTQiI/AAAAAAAD0VY/eXgjYNw2smY/s640/Spotted%252Bon%252Ba%252BKenyan%252Broad.jpg)
10 years ago
BBCSwahili02 Sep
Mjusi Kafiri wafia angani wakifanyiwa utafiti
11 years ago
Tanzania Daima13 Aug
Mchakato wa katiba ni msafiri asiyejua aendako?
WANASEMA kama hujui uendako basi walau ujue unakotoka. Naam, naamini hata mkuu wa nchi hajui tuendako kwenye hili la majaribio ya kuandika katiba mpya. Nina amini kabisa hata mwenyekiti wa...
10 years ago
GPLMSAFIRI DIOUF ATINGA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
BBCSwahili13 Feb
Msafiri Zawose mwimbaji nyimbo za kigogo
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Tiper yasaidia vifaa vya maabara Shule ya Msafiri
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya kuhifadhi mafuta nchini, Tiper imetoa msaada wa vifaa vya maabara vyenye thamani ya Sh milioni 20 kwa Shule ya Sekondari Msafiri, iliyopo wilayani Rufiji, mkoani Pwani ikiwa ni mwendelezo wa jitihada za kampuni hiyo katika kuboresha kiwango cha elimu nchini.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya makabidhiano ya vifaa hivyo iliyofanyika jana wilayani Rufiji, Mkurugenzi Mtendaji wa Tiper, Daniel Belair, alisema msaada huo pia ni sehemu ya mpango endelevu wa kampuni hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
MSAFIRI DIOUF: Bendi ya Super Star imenitoa kwenye ‘uteja’
IMEKUWA ni nadra kuona watumiaji wa dawa za kulevya wakiachana na tabia hiyo, kwani walio wengi hujikuta wanaishia kubaya na kuwa maskini. Kwa hapa Tanzania baadhi ya wasanii ambao walikuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ha*i6Zw5RmpLIZ5ejVETro6C5ntsyz1HgcF-Ayz4BenffPygIKsouRN52ugzeB3aWdAQCXpeFXLiryuP5efdnhqdlBDlZn4r/MSAFIRI.jpg?width=650)
MSAFIRI DIOF:AWASHAURI WATUMIAJI KWENDA MUHIMBILI, MWANANYAMALA KUTIBIWA BURE
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-N3X5FNORbxw/Xl0atQl77hI/AAAAAAALgac/JgtHe0fvUVwgLA6Q0--gq2gJ-b1RnBxSgCLcBGAsYHQ/s72-c/0.png)
DC Msafiri,haipiti siku moja Njombe bila kupata matukio 6-12 ya ukatili
![](https://1.bp.blogspot.com/-N3X5FNORbxw/Xl0atQl77hI/AAAAAAALgac/JgtHe0fvUVwgLA6Q0--gq2gJ-b1RnBxSgCLcBGAsYHQ/s400/0.png)
Mkuu wa wilaya ya Njombe mkoani humo Ruth Msafiri amesema haiwezi kupita siku moja mkoani Njombe bila kupata matukio ya ukatili yanayojumuisha ukatili wa kingono yasiyopungua 6-12 hali inayoweza kusababisha mkoa huo kuwa na matukio mengi ya ukatili kwa mwaka.
Ruth Msafiri ameyasema hayo mjini Makambako mkoani Njombe wakati wa msafara wa kutokomeza unyanyasaji wa kijinsia unaopita karibu mikoa yote nchini kutoa elimu kwa wananchi kwa lengo la kuleta usawa wa...