Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msama awapiga jeki KKKT Segerea

  Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama mbaye pia ni Mjumbe wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASAT) akizungumza katika tamasha la Uimbaji na Uchangiaji wa Ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Segerea jijini Dar es Salaam na kuahidi kutoa sh. milioni 6 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kanisa hilo. Msama alikuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo akimwakilisha Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Miochezo, Dk. Fenela Mukangala. Mchungaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MSAMA AWAPIGA TAFU YATIMA DAR

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama (lushoto), akimkabidhi sehemu ya msaada wa vyakula Katibu Mkuu wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Maunga Center cha Kinondoni jijini Dar es Salaam, Rashid Mpinda.  Msaada huo wenye thamani ya sh. milioni 7 unatokana na mapato yaliyopatikana katika  tamasha la Pasaka na Krismasi. (Picha na Francis Dande)  Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions Ltd, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari wakati wa...

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge Moshi Vijijini awapiga jeki wapiga kura

MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro Dk Cyril Chami, ametoa jumla ya Shilingi milioni nne kwa kikundi cha Wanawake wa Kanisa la Katoliki la Kindi (WAWATA) kuwawezesha kwenye mradi wa mashine za kusaga na kukoboa mahindi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mangungu awapiga madongo Ukawa

Mbunge wa Kilwa Kaskazini (CCM), Murtaz Mangungu amewapiga madongo Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuwa wameungana kwa sababu wamechoka.

 

10 years ago

GPL

RAY C AWAPIGA MIZINGA WANAOMCHUMBIA

MAKUBWA! Mwanadada mkongwe wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C,’ amedaiwa kuwageuza mtaji wanaume wanaojitokeza kumchumbia kwa kuwapiga mizinga ili ajipatie ‘chochote’ (fedha), Risasi Mchanganyiko lina ‘full’ stori. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1efJab9

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Daftari awapiga ‘stop’ UKAWA

MJUMBE wa Bunge Maalumu, Dk. Maua Daftari, amewapiga marufuku wajumbe wa Bunge Maalumu, wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wasiendeshe mikutano na maandamano. Dk. Daftari alitoa kauli hiyo juzi...

 

11 years ago

GPL

MILLARD AYO AWAPIGA CHINI MASTAA

Stori: MUSA MATEJA AMETISHA! Prizenta wa Clouds FM, kupitia kipindi chake cha Amplifaya, Millard Ayo amewapiga chini mastaa kibao baada ya kutwaa Tuzo ya Mtangazaji Anayependwa wa Redio na nyingine ya Kipindi cha Redio Kinachopendwa yaani Amplifaya katika Tuzo za Watu. Prizenta wa Clouds FM, kupitia kipindi chake cha Amplifaya, Millard Ayo (wa tatu kushoto) akiwa na tuzo pamoja na wenzake. Mpango mzima ulichukua nafasi usiku wa...

 

9 years ago

GPL

MADAM RITA AWAPIGA CHINI WANASIASA

Jaji Mkuu wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS) Rita Paulsen ‘Madam Rita’ . Na Hamida hassan Jaji Mkuu wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS) linaloendelea hivi sasa, Rita Paulsen ‘Madam Rita’ amewapiga chini wanasiasa waliokuwa wakitamani awe nao na kusema kuwa yeye ni mfanyabiashara hivyo hawezi kusapoti chama chochote cha siasa. Akizungumza na Ijumaa Rita alisema kuwa kipindi hiki cha siasa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wasira awapiga kijembe wanaotambia shule za kata

>Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amewakosoa baadhi ya vigogo wanaojinasibu kuanzisha programu ya shule za sekondari za kata nchini akisema ni ujinga kusema hivyo kwa kuwa miradi yote hufanywa na Serikali na siyo mtu binafsi.

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU; AWAPIGA WANAFUNZI WENZAKE - 2

Mwimbaji wa nyimbo za injili, Bahati Bukuku. ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA
Nilikifuata kisima kile na kutulia pembeni huku nikiwa nimejikunyata.
Ni sauti za ng’ombe na mbuzi tu ndizo zilizokuwa zikisikika asubuhi hiyo, watu wengine walikuwa wamelala kwani ilikuwa ni asubuhi sana.
SASA ENDELEA... Watoto tulikuwa na mchezo fulani hivi, ukisikia mzazi wako kakwambia uende kuoga, ukifika kule wala haujisugui, kama ni bafuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani