Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mangungu awapiga madongo Ukawa

Mbunge wa Kilwa Kaskazini (CCM), Murtaz Mangungu amewapiga madongo Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuwa wameungana kwa sababu wamechoka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Daftari awapiga ‘stop’ UKAWA

MJUMBE wa Bunge Maalumu, Dk. Maua Daftari, amewapiga marufuku wajumbe wa Bunge Maalumu, wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wasiendeshe mikutano na maandamano. Dk. Daftari alitoa kauli hiyo juzi...

 

10 years ago

GPL

ODAMA AMUEZI NYERERE KWA MADONGO

Stori: Mwandishi Wetu MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ ameonyesha kumuenzi hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kwa staili ya kurusha madongo kwa viongozi mbalimbali jinsi mambo mengi yanavyokwenda ndivyo sivyo nchini. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’. Akipiga stori na mwanahabari wetu juu ya namna ambavyo anamkumbuka kiongozi huyo wa taifa ambaye...

 

9 years ago

Global Publishers

Wimbo Mpya wa Kanye West… Aipiga Madongo Kampuni ya Nike!

Kanye West (1)Kanye West.

RAPA Kanye West ameachia wimbo wake mpya masaa machache kabla ya Mwaka Mpya kufiwadia, wimbo amabao ameuita FACTS.

Ndani ya wimbo huo Kanye ameongea mambo mengi huku ‘akiiponda’ kampuni aliyokuwa akifanya nayo kazi zamani ya Nike aliyofanya nayo kazi kwa muda mrefu kabla ya kuhitilafiana na kuhamia kufanya kazi na kampuni ya Adidas Originals mwaka jana.

kanye-west-adidas-yeezy-boost-350-jumping-1Kanye anasema kuwa, Adidas ndiyo imekuwa kampuni yenye mafanikio makubwa kwake kwa mwaka 2015 hasa kusapoti kazi zake za mitindo...

 

11 years ago

Michuzi

MH. MULTAZA MANGUNGU AZUNGUMZIA URAIA PACHA

MHE. Murtaza Mangungu(MB)Kilwa Kaskazini akiwa na Bwana Phanuel Ligate (Mwakilishi wa Diaspora) Kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma November 2012

Habari za Wakati huu ! Nimekuwa nikifuatilia mijadala na maoni mbalimbali kupitia mitandao na wengine walionitumia e-mail au kunipigia simu. Kwa Kuwa mawasiliano yetu hayakuwa bayana nilidhani nitoe ufanunuzi kuhusu suala la uraia pacha (Dual citizenship ) . Awali ya yote Naomba radhi sana ikiwa maelezo ninayotoa nitamkwaza yeyote ila naomba...

 

9 years ago

Habarileo

Bwege ashinda, Mangungu aanguka Kilwa

ALIYEKUWA Mbunge wa Kilwa Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Murtaza Mangungu amepoteza kiti chake hicho, huku jirani yake, Selemani Bungala (Bwege) wa Kilwa Kusini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) akirejea bungeni.

 

9 years ago

Michuzi

MANGUNGU AZINDUA RASMI KAMPENI ZA UBUNGE MBAGALA

  Mgombea ubunge  jimbo la Mbagala kwa tiketi ya CCM, Issa Mangungu akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni zake katika viwanja vya Chamazi Shule. (Na Mpigapicha Wetu)  Mgombea ubunge  jimbo la Mbagala kwa tiketi ya CCM, Issa Mangungu akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni zake katika viwanja vya Chamazi Shule. 
Wananchi waliojitokeza katika uzinduzi wa kampeni za mgombea wa ubunge wa Mbagala kwa tiketi ya CCM, Issa Mangungu.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Murtaza Mangungu

Jibu: Barabara hii imefanyiwa matengenezo makubwa ikiwa ni pamoja na ujenzi wa madaraja yote na sasa inapitika kipindi chote. Lipo tatizo katika eneo la Kinywanyu ambalo katika bajeti ya mwaka huu litafanyiwa matengenezo makubwa. Ujenzi pia umefanyika Barabara ya Nasaya - Mtondoa Kimwaga - Kandawale.

 

11 years ago

Michuzi

MSIKILIZE MBUNGE WA KILWA MHE. MUTAZA MANGUNGU AKICHAMBUA FAIDA ZA URAIA PACHA

Mhe. Mutaza Mangungu mbunge wa Kilwa kwa tiketi ya CCM akiongea na Vijimambo mchana wa Jumamtatu March 17, 2014 kutoka Dodoma na kuelezea faida ya Uraia pacha. Msikilize hapo chini

 

11 years ago

GPL

MSIKILIZE MBUNGE WA KILWA MHE. MUTAZA MANGUNGU AKICHAMBUA FAIDA ZA URAIA PACHA‏

Mhe. Mutaza Mangungu mbunge wa Kilwa kwa tiketi ya CCM akiongea na Vijimambo mchana wa leo Jumamtatu March 17, 2014 kutoka Dodoma na kuelezea faida ya Uraia pacha Msikilize hapo chini.  

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani