Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ODAMA AMUEZI NYERERE KWA MADONGO

Stori: Mwandishi Wetu MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ ameonyesha kumuenzi hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kwa staili ya kurusha madongo kwa viongozi mbalimbali jinsi mambo mengi yanavyokwenda ndivyo sivyo nchini. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’. Akipiga stori na mwanahabari wetu juu ya namna ambavyo anamkumbuka kiongozi huyo wa taifa ambaye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mangungu awapiga madongo Ukawa

Mbunge wa Kilwa Kaskazini (CCM), Murtaz Mangungu amewapiga madongo Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuwa wameungana kwa sababu wamechoka.

 

10 years ago

Bongo Movies

Mfahamu kwa Undani Muigizaji ‘ODAMA’

Anaitwa Jennifer Kyaka, ila wengi wamezoea kumuita ODAMA, jina ambalo liliibuka kwenye movie ya Odama aliyoigiza, ambapo yeye alicheza kama mhusika mkuu. Alizaliwa mnamo mwaka 1983 jijini Mwanza katika Hospital ya Bugando.

Safari yake ya sanaa ilianza mnamo mwaka 2006, na movie yake ya kwanza kuigiza ilikuwa inaitwa SHUMILETA, Movie iliyoandaliwa na producer na director maarufu nchini, Mussa Banzi, watu wengi walianza kumfahamu kwenye movie hiyo ya kutisha aliyocheza kama Monte.

Movie ya...

 

9 years ago

Global Publishers

Wimbo Mpya wa Kanye West… Aipiga Madongo Kampuni ya Nike!

Kanye West (1)Kanye West.

RAPA Kanye West ameachia wimbo wake mpya masaa machache kabla ya Mwaka Mpya kufiwadia, wimbo amabao ameuita FACTS.

Ndani ya wimbo huo Kanye ameongea mambo mengi huku ‘akiiponda’ kampuni aliyokuwa akifanya nayo kazi zamani ya Nike aliyofanya nayo kazi kwa muda mrefu kabla ya kuhitilafiana na kuhamia kufanya kazi na kampuni ya Adidas Originals mwaka jana.

kanye-west-adidas-yeezy-boost-350-jumping-1Kanye anasema kuwa, Adidas ndiyo imekuwa kampuni yenye mafanikio makubwa kwake kwa mwaka 2015 hasa kusapoti kazi zake za mitindo...

 

10 years ago

GPL

ODAMA AHOFIA KIFO

Na Imelda Mtema MTOTO mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa kadri anavyosherehekea siku yake ya kuzaliwa ndivyo hofu ya kifo inavyozidi kumjaa. Mtoto mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’. Odama alifunguka hayo juzi alipokuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa katika Ukumbi wa Vijana ambapo alisema kutokana na hofu hiyo ndiyo maana aliamua kujumuika na watoto yatima....

 

11 years ago

GPL

ODAMA AJIFUNGUA KIDUME

Stori: Imelda Mtema
HABARI njema! Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ amejifungua kidume huku akikataa kumtaja baba wa mtoto huyo. Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’. anayedaiwa kwamba ni mheshimiwa serikalini.
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu makini, Odama alijifungua kwa operesheni hivi karibuni kwenye Hospitali ya Kairuki jijini Dar baada ya kuwa kimya kwa miezi kadhaa...

 

9 years ago

GPL

MTOTO AMTESA ODAMA

Imelda Mtema Mateso! Sexy lady wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ ametiririka kwamba katika kipindi chote alichokuwa mikoani kwa ajili ya Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) alikuwa akiteseka kila alipopiga simu kujua hali ya mtoto wake ambapo ilikuwa siyo chini ya mara saba kwa siku. Sexy lady wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Odama alifunguka kuwa alikuwa akipitia...

 

10 years ago

GPL

ODAMA AMKANA PEDESHEE

Stori: Mayasa Mariwata Si kweli! Mtoto mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amekanusha vikali madai ya kutembea na pedeshee mmoja anayedaiwa kuwa ni mmiliki wa baa moja iliyopo maeneo ya River-Side, Ubungo jijini Dar. Mtoto mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama'. Baada ya kusomewa madai hayo ambayo yamesambaa kwenye mitandao ya kijamii, Odama alikanusha vilivyo na kusema wanamsingizia tu.“Hee!...

 

10 years ago

TheCitizen

NYERERE DAY: Untold story of how Nyerere won Africa’s deadly war

>As the nation commemorates the 15th anniversary of the death of founding president Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, fresh details  have emerged on how the globally acknowledged statesman built an eight-year-long case as a curtain raiser to  the war against General Idi Amin Dada – one of Africa’s most brutal dictators.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani