Wimbo Mpya wa Kanye West… Aipiga Madongo Kampuni ya Nike!
Kanye West.
RAPA Kanye West ameachia wimbo wake mpya masaa machache kabla ya Mwaka Mpya kufiwadia, wimbo amabao ameuita FACTS.
Ndani ya wimbo huo Kanye ameongea mambo mengi huku ‘akiiponda’ kampuni aliyokuwa akifanya nayo kazi zamani ya Nike aliyofanya nayo kazi kwa muda mrefu kabla ya kuhitilafiana na kuhamia kufanya kazi na kampuni ya Adidas Originals mwaka jana.
Kanye anasema kuwa, Adidas ndiyo imekuwa kampuni yenye mafanikio makubwa kwake kwa mwaka 2015 hasa kusapoti kazi zake za mitindo...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Rapper Mtanzania Allan Kingdom alivyoshea jukwaa moja na Kanye West…..(+Video)
Ni headlines za rapper mtanzania Allan Kingdom aishiye Minnesota Marekani ambaye jina lake lilianza kujulikana na kupata airtime baada ya kushirikishwa kwenye single iitwayo All Day na rapper Kanye West. Kanye West anafahamika kwa kuwatoa wasanii wakubwa nchini marekani, kwa mfano leo hii bila Kanye West basi mashabiki wa muziki wa duniani wasingewajua wasanii John Legend […]
The post Rapper Mtanzania Allan Kingdom alivyoshea jukwaa moja na Kanye West…..(+Video) appeared first on...
10 years ago
Bongo502 Jan
Kim Kardashian akanusha tetesi za kuwa mjamzito, asifia wimbo mpya wa Kanye
10 years ago
Bongo526 Jan
New Music: Rihanna aachia wimbo mpya ‘Four Five Seconds’ Ft. Kanye West na Paul McCartney
9 years ago
Bongo510 Nov
Kanye West asahau mashairi ya wimbo wake kwenye birthday ya mama mkwe wake na kuanza kuimba wimbo wa adui yake 50 Cent
![222](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/222-300x194.jpg)
Kanye West anadaiwa alijikuta akisahau mashairi ya wimbo wake mwenyewe wakati alipoombwa kutumbuiza kwenye birthday ya mama mkwe wake, Kris Jenner aliyetimiza miaka 60 wiki iliyopita.
Rapper huyo mwenye umri wa miaka 38 alipewa mic na muimbaji Charlie Wilson, aliyekuwa akiimba wimbo wake kabla ya kuanza kuimba wimbo wa Kanye, ‘See Me Now’ – aliomshirikisha Beyonce na – lakini alikiri kuwa hakumbuki mashairi ya wimbo huo wa mwaka 2010 na haraka akaanza kuimba wimbo wa adui yake.
Chanzo...
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Kanye West kumzawadia mwanaye wimbo
BAADA ya Kanye West na mke wake Kim Kardashian, kufanikiwa kupata mtoto wa kiume ambaye amepewa jina la Saint West, msanii ameamua kuumiza kichwa kwa ajili ya kumpa zawadi ya wimbo mtoto huyo.
Kwa sasa mtoto huyo amekuwa akitajwa sana katika mitandao ya kijamii kutokana na umaarufu wa baba na mama yake, lakini Kanye West amesema anatarajia kuachia wimbo mkali ambao utakuwa ni zawadi kwa mtoto huyo.
“Mungu ametupatia zawaidi ya mtoto mwingine, lakini na mimi ninataka kumpa zawadi ya wimbo...
9 years ago
Bongo527 Oct
Kanye West kufanya wimbo wa pamoja na mkewe Kim Kardashian?
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cgpWfTY9q1c/VJfjbj8TE7I/AAAAAAAG4-4/tL6DQzeT-r4/s72-c/images.jpg)
makala mpya ya sheria: MILIKI KAMPUNI , JIFUNZE NAMNA YA KUUNDA KAMPUNI
![](http://2.bp.blogspot.com/-cgpWfTY9q1c/VJfjbj8TE7I/AAAAAAAG4-4/tL6DQzeT-r4/s1600/images.jpg)
Si rahisi kufanikiwa katika biashara bila kuifanya biashara yako katika mtindo wa kampuni.
Hata iwe ndogo ya kuuza mayai au kufuga kuku mafanikio zaidi ni pale...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA RITHT HERE NCHINI IMEPATA MWEKEZAJI MPYA NA KUPATA UBIA NA KAMPUNI KUBWA YA KIMATAIFA.
Kampuni ya matangazo ya FLAMETREE iliyojikita Africa mashariki sasa imezinduliwa upya na kupewa jina jipya la RIGHT HERE TANZANIA, mabadiliko haya yametokana na kuingia kwa mwekezaji mpya wa kimataifa ambaye ameonyesha nia ya dhati ya kuwekeza kwenye kampuni hii kufuatia utendaji mzuri aliouona kwenye kampuni hiyo na kuamua kuongeza nguvu zaidi katika kuinua utendaji, uwekezaji huu unatarajiwa kuongeza tija na muamko wa wafanyakazi na wateja wao. Kufuatia mabadiliko haya sasa kampuni ya...
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Kampuni ya matangazo ya Right Here nchini yapata mwekezaji mpya na kuingia ubia na kampuni kubwa ya kimataifa
Mshauri Mkuu wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA, Gerard Govaerts akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari katika Ukumbi wa mikutano katika Hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam leo, Kushoto ni Mkuu wa Hati Miliki wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA, Asnath Heriel na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa RIGHT HERE TANZANIA Jenny Woodier.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA uliofanyika katika hoteli ya Double Tree jijini Dar es...