Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msanii amponza Nyalandu

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amelalamikiwa na baadhi ya askari wa Kikosi Dhidi ya Ujangili (KDU) kwa kushindwa kuwalipa stahiki zao huku akitoa fedha kwa watu wasio na mchango wowote katika vita dhidi ya ujangili.

Wakizungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti, askari hao wa KDU Kanda ya Kaskazini (majina yanahifadhiwa), walishangazwa na kitendo cha Nyalandu kutumia mamilioni ya fedha kwa ajili ya msanii wa kizazi kipya, Ally Kiba, aliyemteua kuwa Balozi wa Vita ya...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Lowassa amponza profesa wa Udom


Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akiwasalimia wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali vya mjini Dodoma na waendesha bodaboda walioandamana kwenda nyumbani kwake mjini humo jana kwa ajili ya kumshawishi achukue fomu ya kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Picha na Anthony Siame
Dar es Salaam. Profesa wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Peter Kopoka amebanwa na uongozi wa chuo hicho kutokana na kushiriki maandamano ya kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kumshawishi...

 

10 years ago

Mwananchi

USHAWISHI: Lowassa amponza profesa wa Udom

>Profesa wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Peter Kopoka amebanwa na uongozi wa chuo hicho kutokana na kushiriki maandamano ya kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kumshawishi achukue fomu ya kugombea urais.

 

10 years ago

Mwananchi

Shy-Rose ‘amponza’ Spika Zziwa wa Eala

Bunge la Afrika Mashariki limemsimamisha kwa siku 21 Spika wake, Dk Margaret Zziwa huku likifufua hoja ya kumwondoa kiongozi huyo madarakani ambayo iliwekwa kando Aprili 1, mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtanzania amponza kigogo wa Mambo ya Ndani Kenya

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Kenya, Mutea Iringo ameingia matatani baada ya Mahakama Kuu nchini humo kuagiza akamatwe kwa kushindwa kumfidia Mtanzania, James Koroso Sh573.5 milioni.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Matola amponza kiongozi wa Mbeya City

Hofu, hujuma na kusalitiana imetanda ndani ya ngome ya Mbeya City baada ya jana Mwenyekiti wa Tawi la Mwanjelwa, Wille Matala kutimuliwa.

 

11 years ago

Michuzi

Msanii Davido kutoka nchini Nigeria kutumbuiza jukwaa moja na msanii T.I kutoka nchini Marekani tamasha la Fiesta 2014.


  Mwanamuziki kutoka nchini Marekani ajulikanae kwa jina la Kisanii T.I akizungumza na Waandishi wa Habari jioni ya leo kwenye moja ya ukumbi wa Sea Cliff hotel jijini Dar kuhusiana na onesho lake la kwanza atakalotumbuiza katika viwanja vya leaders Club,jijini Dar katika tamasha la Fiesta 2014,ambalo hufanyika kila mwaka mara moja,chini ya waandaji bingwa wa burudani hapa nchini kampuni ya Prime Time Promotions Lts sambamba na Clouds Media Group.. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani