USHAWISHI: Lowassa amponza profesa wa Udom
>Profesa wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Peter Kopoka amebanwa na uongozi wa chuo hicho kutokana na kushiriki maandamano ya kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kumshawishi achukue fomu ya kugombea urais.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo28 Mar
Lowassa amponza profesa wa Udom

Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akiwasalimia wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali vya mjini Dodoma na waendesha bodaboda walioandamana kwenda nyumbani kwake mjini humo jana kwa ajili ya kumshawishi achukue fomu ya kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Picha na Anthony Siame
Dar es Salaam. Profesa wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Peter Kopoka amebanwa na uongozi wa chuo hicho kutokana na kushiriki maandamano ya kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kumshawishi...
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Profesa Kitila: Lowassa kubali yaishe
10 years ago
Michuzi.jpg)
Zaidi ya wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI - Airtel yazinduzi mnara wa pili UDOM
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Raia Tanzania08 Jul
Msanii amponza Nyalandu
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amelalamikiwa na baadhi ya askari wa Kikosi Dhidi ya Ujangili (KDU) kwa kushindwa kuwalipa stahiki zao huku akitoa fedha kwa watu wasio na mchango wowote katika vita dhidi ya ujangili.
Wakizungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti, askari hao wa KDU Kanda ya Kaskazini (majina yanahifadhiwa), walishangazwa na kitendo cha Nyalandu kutumia mamilioni ya fedha kwa ajili ya msanii wa kizazi kipya, Ally Kiba, aliyemteua kuwa Balozi wa Vita ya...
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Shy-Rose ‘amponza’ Spika Zziwa wa Eala
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Mtanzania amponza kigogo wa Mambo ya Ndani Kenya
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Kocha Matola amponza kiongozi wa Mbeya City
10 years ago
Mwananchi16 Dec
Profesa Bagadanshwa: Profesa aliyeshinda vikwazo vya kuwa mlemavu wa kutoona
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Sera za Malinzi zilivyokuwa na ushawishi…