MSANII PILI RAMADHANI ‘AWENA’ WA JAKAYA AFARIKI DUNIA
![](http://api.ning.com:80/files/FBfnXTo9RIGTu800Mwpx3h2MC3DHNicAtJuq1nofqx5aFQVKEpO0YeJeVF1k920IZrhBkAAr6u-A9*vgwxw1AL9AyiA7zNyO/AwenaauPiliRamadhani.jpg?width=400)
Pili Ramadhani ‘Awena’ wakati wa uhai wake. KUNDI la Jakaya Arts Group limepata pigo tena baada ya kumpoteza msanii mwenzao wiki mbili zilizopita ambapo kifo kimemchukua msanii mwingine ambaye ni Pili Ramadhani ‘Awena’ (33) aliyekuwa akiishi Ubungo-Kibangu jijini Dar es Salaam. Msanii huyo alifariki Jumanne wiki hii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kusumbuliwa na uvimbe kwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LbvIYHO7SOQ/XqfTT34z4kI/AAAAAAALoZ8/NVfNifAc9kcPwBQhXxPryJA3T4SG2KzWACLcBGAsYHQ/s72-c/db2c6887-8d2e-4784-b184-f217c456f0b1.jpg)
NEWZ ALERT :JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AFARIKI DUNIA
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN
![](https://1.bp.blogspot.com/-LbvIYHO7SOQ/XqfTT34z4kI/AAAAAAALoZ8/NVfNifAc9kcPwBQhXxPryJA3T4SG2KzWACLcBGAsYHQ/s1600/db2c6887-8d2e-4784-b184-f217c456f0b1.jpg)
10 years ago
GPLTANZIA: MENEJA WA JAMBO LEO, RAMADHANI KIBANIKE AFARIKI DUNIA
10 years ago
CloudsFM21 Oct
MSANII YP AFARIKI DUNIA
Msanii aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la wanaume Family amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Meneja wa kundi hilo Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TAwaEl4B-eI/VNc5jE1QaPI/AAAAAAAHCc0/0H0fIZXcqhc/s72-c/IMG20150207WA0022.jpg)
MSANII WA KUNDI LA KAOLE AFARIKI DUNIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-TAwaEl4B-eI/VNc5jE1QaPI/AAAAAAAHCc0/0H0fIZXcqhc/s1600/IMG20150207WA0022.jpg)
Taarifa za msiba huo zilitolewa jana na Watoto wa Marehemu kwa ndugu na majirani wa eneo hilo,huku tetesi zikienea kwamba wamefanya hivyo ili kukwepa aibu kwa majirani kutokana na nyumba aliyokuwa akiishi mama yao huyo kuwa ni chakavu,hivyo...
10 years ago
CloudsFM30 Oct
MSANII MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA
MSANII wa filamu za Kibongo, Mzee Manento amefariki dunia jana jioni kiwa jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa moyo.
Mzee Manento atakumbukwa katika filamu alizocheza kama 'Hero of the Church', 'Dar to Lagos', 'Fake Pastor' na nyinginezo.
10 years ago
Vijimambo20 Feb
MSANII MEZ B AFARIKI DUNIA LEO DODOMA
![](http://api.ning.com/files/cGEsfZahF3v21JSeEu73srVOoCxhPMpPVIAO*sxCvpifgZaBCdfCdBsuE86Gi9bsXA17BQz5hjFBex1zjYHksFZA7-bcP1jm/MezB1.jpg?width=650)
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Msanii mwingine Bongo Movie afariki dunia
IKIWA zimepita siku chache tangu msiba wa mwigizaji na muongozaji filamu za Kibongo, Adam Kuambiana, mwigizaji mwingine, Rachel Haule ‘Recho’, amefariki dunia jana asubuhi. Inaelezwa kifo cha Recho kimesababishwa na...
5 years ago
Bongo514 Feb
Msanii mkongwe Cuba Gooding Sr afariki dunia
Mwanamuziki na muigizaji kutoka Marekani, Cuba Gooding Sr amefariki dunia jana akiwa na umri wa miaka 72.
Mzee huyo ambaye ni baba wa muigizaji Cuba Gooding Jr amedaiwa kukutwa amefariki na kikosi cha moto akiwa katika gari lake lililokuwa limepaki pembezoni mwa barabara huko Woodland Hills, California.
Kwa mujibu wa taarifa za polisi, chanzo cha kifo hicho kimetokana na marehemu kuzidisha dawa ambapo kasha la dawa hizo lilikutwa kwenye gari lake likiwa tupu.
Picha ya gari la Cuba Gooding...
11 years ago
Dewji Blog27 May
Msanii Bongo movies ‘Rachel Haule’ afariki dunia!
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.
MOblog inaungana na Watanzania wote kuombeleza kifo cha...