Mshana atetea wafugaji Misenye
MBUNGE wa Nkenge, Assumpter Mshama (CCM), ameitaka serikali ieleze ni lini wafugaji wa Wilaya ya Misenye, mkoani Kagera hasa wale wanaopakana na msitu mnene na Mimziro wataacha kutaabishwa kwa kutengewa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLRAYMOND MSHANA AMECHUKUA MIKOBA YA B12, MCHOMVU NA DJ FETTY
9 years ago
Michuzi9 years ago
Dewji Blog10 Dec
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Sumaye atetea takrima
WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye amewananga wanaomuita kuwa muasisi wa takrima akidai kuwa uelewa wao ni mdogo juu ya suala hilo. Wiki iliyopita, Sumaye akiwa katika ibada ya harambee ya...
10 years ago
Habarileo28 Mar
AG atetea wabunge wapya
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, George Masaju ametetea uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete, wa kuteua wabunge wawili wakati zimebaki siku chache kabla ya kuvunjwa Bunge, huku Spika wa Bunge Anne Makinda, akisema hawatapata kiinua mgongo sawa.
10 years ago
Bongo Movies28 Jun
Thea Atetea Chipukizi
Ndumbangwe Misayo ‘THEA’ ametaka wasanii chipukizi wathaminiwe katika fani hiyo kwani wana umuhimu wao katika utengenezaji wa Filamu pia.
Akizungumza na safu hii katikati ya wiki, Thea alisema kila msanii ana thamani yake kutokana na nafasi yake katika kazi ya Filamu . Hivyo ametaka wathaminiwe kulingana na kazi zao badala ya kuwawekea vizuizi vinavyokwamisha maendeleo ya vipaji vyao .
"MIMI nimeshirikishwa katika Filamu na wasanii ambao ...
11 years ago
Habarileo12 Jul
Askofu atetea uwepo wa Lowassa
RAIS wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa amemtetea Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akisema alihudhuria jubilee ya miaka 25 ya uaskofu wake kwa sababu alialikwa kama walivyoalikwa viongozi wengine.
11 years ago
Habarileo03 Jan
Warioba atetea mfumo wa serikali 3
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ametetea mfumo wa serikali tatu, ambazo umependekezwa kwenye Rasimu ya Katiba, kuwa utapunguza gharama za uendeshaji wa Serikali ya Muungano kuliko ilivyo sasa.