Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Thea Atetea Chipukizi

Ndumbangwe  Misayo  ‘THEA’ ametaka  wasanii  chipukizi  wathaminiwe  katika  fani  hiyo  kwani  wana umuhimu wao katika  utengenezaji wa Filamu pia.        

Akizungumza  na  safu  hii  katikati  ya  wiki,  Thea  alisema  kila msanii ana  thamani  yake  kutokana  na nafasi yake katika kazi ya Filamu . Hivyo ametaka wathaminiwe  kulingana na kazi zao  badala  ya  kuwawekea  vizuizi vinavyokwamisha  maendeleo  ya  vipaji  vyao .    

"MIMI nimeshirikishwa katika Filamu  na  wasanii  ambao ...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Thea: Nikijichubua Nisulubiwe

IMEKAA poa sana! Mkongwe kwenye anga la sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ amekula kiapo cha aina yake kwamba siku akionekana amejichubua na kuondoa rangi yangi yake nyeusi ya asili, asulubiwe mchana kweupe.

Thea aliliambia gazeti hili kuwa hakuna kitu anachopenda kwenye mwili wake kama ngozi yake na hata siku moja hajawahi kupata ushawishi wowote wa kuharibu ngozi yake na anawaonea huruma mastaa waliotumia mkorogo.

“Nasema kabisa kutoka moyoni, kama kweli itatokea siku nikajichubua,...

 

10 years ago

GPL

THEA: NIMEEPUKA MAJUNGU!

Gladness Mallya/Mchanganyiko
MSANII mkongwe katika filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ amefunguka na kusema kwamba kwa sasa amebadili aina ya maisha yake kwa kuwaepuka marafiki wanafiki aliokuwa akikutana nao kwenye makundi ya majungu. Msanii mkongwe katika filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’. Akipiga stori mbili tatu na gazeti hili hivi karibuni, Thea alisema siku hizi hata akienda location anafanya...

 

10 years ago

GPL

USICHOKIJUA KUHUSU THEA

Makala: Gladness Mallya
Mpenzi msomaji wa safu hii ya Exclussive Interview baada ya kumaliza kusoma historia ya maisha ya msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma, leo tunakuletea msanii mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’.Thea amefunguka mengi kuhusiana na maisha yake ya sanaa, karibu uinjoi mahojiano: Msanii mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’. HISTORIA...

 

11 years ago

GPL

THEA, MIKE WARUDIANA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
WASANII wawili nyota wa filamu Bongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ na Michael Sangu ambao awali walitengana kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi, hatimaye wamerudiana. Thea na Mike katika pozi. Kikizungumza na gazeti hili, chanzo makini kutoka ndani ya familia hiyo kilisema wanandoa hao wamerudiana baada ya kupatanishwa na viongozi wa dini na familia zao, wakitelekeza viapo vyao...

 

9 years ago

GPL

THEA:NIKIJICHUBUA NISULUBIWE

Stori: Imelda Mtema IMEKAA poa sana! Mkongwe kwenye anga la sinema za Kibongo, Salome Urassa 'Thea' amekula kiapo cha aina yake kwamba siku akionekana amejichubua na kuondoa rangi yangi yake nyeusi ya asili, asulubiwe mchana kweupe. Mkongwe kwenye anga la sinema za Kibongo, Salome Urassa 'Thea'. Thea aliliambia gazeti hili kuwa hakuna kitu anachopenda kwenye mwili wake kama ngozi yake na hata siku moja hajawahi kupata ushawishi...

 

10 years ago

GPL

THEA ABARIKI MUMEWE KUOA

SHIDA! Baada ya ndoa yao kuvunjika, msanii mkongwe wa filamu, Salome Urassa ‘Thea’ amefunguka na kumbariki aliyekuwa mume wake, Michael Sangu ‘Mike’ kuoa kwani hana pingamizi. Msanii mkongwe wa filamu, Salome Urassa ‘Thea’. Akipiga stori na Risasi Mchanganyiko, Thea alisema katika akili yake hana kumbukumbu kama aliwahi kuolewa na mwanaume huyo (ukweli walifunga ndoa 2010) na hataki...

 

9 years ago

GPL

THEA APATA MWANAUME WA KUMLEA

Ndicho alichokitaka! Kwa taarifa yako, mwigizaji ‘lejendari’ Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ juzikati alifunguka kuwa kwa sasa amepata mwanaume anayejua kumlea na kumtunza ambapo anatarajia kumuweka wazi muda si mrefu. Mwigizaji ‘lejendari’ Bongo, Salome Urassa ‘Thea’. Akistorisha na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita ndani ya Hoteli ya Protea jijini Dar, Thea alisema kuwa baada...

 

11 years ago

GPL

VANITHA, THEA WACHAMBANA MSIBANI

Stori: Hamida Hassan HAIJAKAA poa! Staa wa sinema za Kibongo, salome Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ na rafiki yake wa kitambo ambaye pia ni mwigizaji, Vanitha Omary wamepishana kauli na kuchambana vilivyo msibani kwa komediani mkongwe, Said Ngamba ‘Mzee Small’. Mwigizaji wa Bongo muvi, Vanitha Omary akitabasamu. Ishu hiyo iliibuka mara baada ya Thea kumtuhumu Vanitha kumuita mume wake mnafiki kwa kitendo cha...

 

9 years ago

GPL

THEA: NIMESAHAU KAMA NILIOLEWA!

Imelda Mtema Duh! Mwigizaji wa kitambo katika tasnia ya sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ ametoa kali ya mwaka baada ya kudai kuwa alishasahau kama aliwahi kuolewa na kuvaa shela kanisani. Mwigizaji wa kitambo katika tasnia ya sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Thea aliweka wazi kwamba, kuna kipindi huwa anasahau kama aliwahi kuolewa na hii inatokana na mapenzi aliyokuwa nayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani