Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


THEA ABARIKI MUMEWE KUOA

SHIDA! Baada ya ndoa yao kuvunjika, msanii mkongwe wa filamu, Salome Urassa ‘Thea’ amefunguka na kumbariki aliyekuwa mume wake, Michael Sangu ‘Mike’ kuoa kwani hana pingamizi. Msanii mkongwe wa filamu, Salome Urassa ‘Thea’. Akipiga stori na Risasi Mchanganyiko, Thea alisema katika akili yake hana kumbukumbu kama aliwahi kuolewa na mwanaume huyo (ukweli walifunga ndoa 2010) na hataki...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Vijimambo

NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali.Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto, mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.Mwanaume huyo amejeruhiwa vibaya mume wake sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyopelekea kulazwa katika...

 

9 years ago

Mtanzania

Papa abariki kwa Kiswahili

POPE8NAIROBI, KENYA

KIONGOZI wa Kanisa la Katoliki Duniani, Papa Francis, amewasili nchini Kenya jana jioni huku akitoa baraka kwa nchi hiyo kwa lugha ya Kiswahili.

Baada ya hotuba yake, Papa Francis, alimaliza kwa kusema “Mungu Ibariki Kenya” jambo lililowafanya watu waliokuwa katika ukumbi wa Ikulu ya Nairobi kulipuka kwa furaha.

Katika ziara yake hiyo ya ya siku tatu nchini Kenya, alipokewa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta, ambapo moja ya mambo ya kukumbukwa ni ujumbe alioutoa kwa...

 

11 years ago

GPL

Kavumbagu abariki ufungaji bora kwa Tambwe

Didier Kavumbagu. Na Hans Mloli
STRAIKA wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Didier Kavumbagu, ameikubali kasi ya mabao ya Mrundi mwenzake anayekipiga Simba, Amissi Tambwe na kukiri kuwa msimu huu mshambuliaji huyo atatwaa kiatu cha ufungaji bora wa ligi. Tambwe amefikisha jumla ya mabao 17 akiwa ndiye kinara huku akiwa tayari ameshaifikia idadi ya mfungaji bora wa msimu uliopita, mchezaji kutoka Ivory Coast, Kipre Tchetche wa Azam...

 

10 years ago

Vijimambo

Siri Imefichuka:Rais Kikwete “Abariki” Mbio za Urais wa Lowassa


SIRI imefichuka. Mbio za Edward Lowassa, kusaka urais kwa udi na uvumba, zimebarikiwa kwa asilimia 100 na Rais Jakaya Kikwete.Lowassa amekutana na Kikwete mara kadhaa na kufunga makubaliano ya siri yanayolenga kumsaidia yeye kuwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
“Yote yanayofanywa na Edward (Lowassa), yamebarikiwa na Kikwete. Bila hivyo, Lowassa asingekuwa na ubavu wa kufanya anachokitenda,” ameeleza kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya serikali.Kikwete ndiye Mwenyekiti wa Taifa...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Samantha (Hotshots) abariki kava la single ya msanii wa Tanzania

Aliyekuwa mwakilishi wa Afrika Kusini kwenye shindano la Big Brother Africa 2014, Samantha anaendelea kufurahia maisha nchini alikokuja kumpa kampani Idris Sultan. Pamoja na kutoweka wazi, wawili hao wanahisiwa kuwa ni wapenzi. Mrembo huyo ameamua kulibariki kava la wimbo mpya wa Milian, Until Forever Ends utakaotoka hivi karibuni. “Until forever ends album cover @milliandollarboy. Download […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Dk. Kone abariki mifuko ya afya ya Jamii ya CHF, TIKA mkoani Singida

UCHUMI WA MKOA WA SINGIDA WAANZA KUPANDA - TBC January 17 2015

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone.

Na Nathaniel Limu, Singida

MKUU wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, amezitaka halmashauri za wilaya na manispaa, kuweka mipango endelevu ya kuongeza michango ya wananchama wa mifuko ya afya ya jamii (CHF) na TIKA, ili mkoa uweze kujijengea uwezo wa kutoa huduma bora kwa wanachama wa mifuko hiyo.

Dk. Kone ametoa wito huo wakati akifungua kikao cha kazi cha kuhamasisha CHF na TIKA kwa viongozi wa mkoa na halmashauri zote mkoani hapa.

Katika hotuba...

 

11 years ago

Dewji Blog

Balozi Sefu Iddi abariki tamasha la 17 la ZIFF 2014 visiwani Zanzibar

DSC_0157

Makamu wa Rais wa Pili wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na baadhi ya wageni alipowasili kwenye ufunguzi wa Tamasha la 17 la ZIFF  Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya ZIFF Mh. Mahmoud Thabit Kombo.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).

DSC_0159

Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na Mgeni maalum mwalikwa mwigizaji wa filamu ya MANDELA “Long Walk to Freedom” Terry Pheto ambayo ilifungua tamasha hilo la 17 la ZIFF usiku wa kuamkia leo visiwani...

 

11 years ago

GPL

BALOZI SEFU IDDI ABARIKI TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR‏

Makamu wa Rais wa Pili wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na baadhi ya wageni alipowasili kwenye ufunguzi wa Tamasha la 17 la ZIFF Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya ZIFF Mh. Mahmoud Thabit Kombo. Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na Mgeni maalum mwalikwa mwigizaji wa filamu ya MANDELA "Long Walk to Freedom" Terry Pheto ambayo ilifungua tamasha hilo la 17 la ZIFF usiku wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT BILALI ABARIKI KANISA LA KIASKOFU LA ROHO MTAKATIFU LA JIMBO LA KONDOA MKOA WA DODOMA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilai akizungumza na waumini wa Dini ya kikiristo wakati washerehe za kutabaruku Kuweka wakfu, kanisa la Kiaskofu la Roho mtakatifu jimbo la kondoa  jana 4/12/2014 iliofanyika Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akipongezwa na Askofu wa kanisa katoliki Jimbo la kondoa Baba  Bernadin Mfumbusa mara baada ya kuzungumza na waumini wa kanisa la kiaskofu la Roho mtakatifu jimbo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani