Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Papa abariki kwa Kiswahili

POPE8NAIROBI, KENYA

KIONGOZI wa Kanisa la Katoliki Duniani, Papa Francis, amewasili nchini Kenya jana jioni huku akitoa baraka kwa nchi hiyo kwa lugha ya Kiswahili.

Baada ya hotuba yake, Papa Francis, alimaliza kwa kusema “Mungu Ibariki Kenya” jambo lililowafanya watu waliokuwa katika ukumbi wa Ikulu ya Nairobi kulipuka kwa furaha.

Katika ziara yake hiyo ya ya siku tatu nchini Kenya, alipokewa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta, ambapo moja ya mambo ya kukumbukwa ni ujumbe alioutoa kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

#PAPA TOUR KENYA: Wakenya wampokea Papa kwa mara ya kwanza ujio wake Bara la Afrika!

IMG-20151125-WA0024

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisalimiana na Papa Francis wakati alipowasili mapema leo Novemba 25 katika jiji la Nairobi nchini Kenya.

Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki aliwasili Nairobi mwendo wa saa kumi unusu jioni na kukaribishwa kwa shangwe na viongozi wa kisiasa na kidini uwanja wa ndege.

Baada ya kuwasili, alielekea Ikulu ambako alipanda mti kisha kukutana na Rais Uhuru...

 

11 years ago

GPL

Kavumbagu abariki ufungaji bora kwa Tambwe

Didier Kavumbagu. Na Hans Mloli
STRAIKA wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Didier Kavumbagu, ameikubali kasi ya mabao ya Mrundi mwenzake anayekipiga Simba, Amissi Tambwe na kukiri kuwa msimu huu mshambuliaji huyo atatwaa kiatu cha ufungaji bora wa ligi. Tambwe amefikisha jumla ya mabao 17 akiwa ndiye kinara huku akiwa tayari ameshaifikia idadi ya mfungaji bora wa msimu uliopita, mchezaji kutoka Ivory Coast, Kipre Tchetche wa Azam...

 

11 years ago

Mwananchi

KISWAHILI KWA WANAFUNZI: Ngeli tisa za Kiswahili na upatanisho wa kisarufi

Ngeli ni vikundi vya majina ya Kiswahili. Ngeli za nomino ni utaratibu unaotumika kuweka nomino katika matabaka au makundi yanayofanana.

 

10 years ago

GPL

THEA ABARIKI MUMEWE KUOA

SHIDA! Baada ya ndoa yao kuvunjika, msanii mkongwe wa filamu, Salome Urassa ‘Thea’ amefunguka na kumbariki aliyekuwa mume wake, Michael Sangu ‘Mike’ kuoa kwani hana pingamizi. Msanii mkongwe wa filamu, Salome Urassa ‘Thea’. Akipiga stori na Risasi Mchanganyiko, Thea alisema katika akili yake hana kumbukumbu kama aliwahi kuolewa na mwanaume huyo (ukweli walifunga ndoa 2010) na hataki...

 

11 years ago

GPL

PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU

Mahujaji wakifuatilia tukio la kuwatangaza watakatifu Papa John Paul II na John XXIII jijini Vatican leo. Papa Francis akiongoza ibada kabla ya kuwatangaza watakatifu.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Kwa Picha: Maisha ya Papa Francis

Hizi hapa ni picha zinazosimulia kwa ufupi maisha ya Papa Francis ambaye ndiye kiongozi wa kwanza wa Kanisa Katoliki kutoka Amerika na pia mfuasi wa kundi Wajesuit.

 

10 years ago

BBCSwahili

Papa Francis: Sijatazama Tv kwa miaka 25

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amesema kuwa hajatazama runinga kwa miaka 25 wala hatumii mtandao wa intanet

 

5 years ago

BBCSwahili

Kwa picha: Ziara ya papa Msumbiji

Kiongozi wa kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, ameanza ziara rasmi ya kihotoria Barani Afrika wiki hii - akiwa anazitembelea Msumbiji, Madagascar na Mauritius.

 

10 years ago

Vijimambo

Siri Imefichuka:Rais Kikwete “Abariki” Mbio za Urais wa Lowassa


SIRI imefichuka. Mbio za Edward Lowassa, kusaka urais kwa udi na uvumba, zimebarikiwa kwa asilimia 100 na Rais Jakaya Kikwete.Lowassa amekutana na Kikwete mara kadhaa na kufunga makubaliano ya siri yanayolenga kumsaidia yeye kuwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
“Yote yanayofanywa na Edward (Lowassa), yamebarikiwa na Kikwete. Bila hivyo, Lowassa asingekuwa na ubavu wa kufanya anachokitenda,” ameeleza kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya serikali.Kikwete ndiye Mwenyekiti wa Taifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani