THEA: NIMESAHAU KAMA NILIOLEWA!
![](http://api.ning.com:80/files/TJP9R5X7WneqSgyLLqSity3l30z33rmJEuGbHkWG7QPIiurVOnVpNwy9mIEDjpk7t5IVYMkyaB1szBfO2j2TOVzYn81NQCyn/thea.jpg)
Imelda Mtema Duh! Mwigizaji wa kitambo katika tasnia ya sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ ametoa kali ya mwaka baada ya kudai kuwa alishasahau kama aliwahi kuolewa na kuvaa shela kanisani. Mwigizaji wa kitambo katika tasnia ya sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Thea aliweka wazi kwamba, kuna kipindi huwa anasahau kama aliwahi kuolewa na hii inatokana na mapenzi aliyokuwa nayo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Niliolewa na Mganga kwa Tamaa ya Cheo
ILIPOISHIA:
“Kwani unaniona nafanya nini?” Rose alimjibu kwa mkato huku akimtengeneza mtoto aliyekuwa mgongoni.
SASA ENDELEA…
“Na…na…na huyu si…si…si shoga yako nani kweli?”
“Eflazia,” nilimjibu nikiwa nambembeleza mwanangu aliyekuwa anataka kulala.
“Jamani hii si kawaida kuna kitu, watoto wazuri kama ninyi kuja kwa kibabu hiki si bure lazima kuna kitu,” mama Sabuni alilalamika kwa sauti ya huzuni nilimsikia lakini sikumuelewa.
“Bibi eeh fuata kilichokuleta ya huku mengine hayakuhusu,” Rose...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i*tFWQTF2R*wb8FAGfwromFhJ9HrhoqLziWDZ*4x2SFPpb5C5XQQafRRzP9abnYFLS0IDqUcp2elMkZFbmW2WCKaPTItgFsJ/mke.jpg?width=650)
MKE: NILIOLEWA ILI NIAMBUKIZWE UKIMWI
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Niliolewa na mganga kwa tamaa ya cheo kazini-44
ILIPOISHIA:
Niliingia ndani na kujitupa kitandani, pamoja ilikuwa burudani lakini iliniacha hoi. Niliamka saa sita za usiku nikiwa na njaa kali. Nilipata chakula kisha nilioga na kurudi kitandani, kutokana na uchovu nilipogusa kitandani usingizi mzito ulinichukua.
Huwezi kuamini usiku mzima njozi zote zilikuwa kwa babu Sionjwi mpaka kunakucha.
SASA ENDELEA..
Niliposhtuka kitandani na kujikuta peke yangu nilijikuta nikiingia unyonge na kujilaumu kumrudisha mapema heri ningeachana naye jioni...
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Niliolewa na mganga kwa tamaa ya cheo kazini-46
ILIPOISHIA:
Katika miaka tisa ambayo niliondoka nyumbani nilishukuru Mungu familia yangu niliikuta ipo katika hali nzuri japokuwa nilikuwa nimempoteza baba yangu kipenzi miaka mitatu iliyokuwa imepita. Nyumba yangu aliyokuwa akiisimamia mama ilikuwa imeisha wakati huo ilikuwa imepangishwa kwa kampuni moja.
Kwa kweli kila nilivyofikiria dhamira yangu na sehemu niliyoangukia muda mwingi nilikuwa nikilia huku nikiwaangalia watoto wangu wadogo wasio na baba tena wenye afya dhaifu.SASA...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UZ8UQ2FXhhMVOQmyYHgHkCdhGwRJ*fB3up4khdGclLX4BjMCzDbyQLFSIQERIAm6vq6wpzE9ZCT7g7OyUF28eDHnEHQkQ6IA/thea.jpg?width=650)
THEA, MIKE WARUDIANA
10 years ago
Bongo Movies28 Jun
Thea Atetea Chipukizi
Ndumbangwe Misayo ‘THEA’ ametaka wasanii chipukizi wathaminiwe katika fani hiyo kwani wana umuhimu wao katika utengenezaji wa Filamu pia.
Akizungumza na safu hii katikati ya wiki, Thea alisema kila msanii ana thamani yake kutokana na nafasi yake katika kazi ya Filamu . Hivyo ametaka wathaminiwe kulingana na kazi zao badala ya kuwawekea vizuizi vinavyokwamisha maendeleo ya vipaji vyao .
"MIMI nimeshirikishwa katika Filamu na wasanii ambao ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilq7GCVIVCnPpWb2*aAG0jQQgtppVWJZL99wP4ryKv1Si7vH23Pnvwxz7GdQeULi34HtlV7IVNaXctEo9veRqVdK/thea.jpg)
USICHOKIJUA KUHUSU THEA
9 years ago
Bongo Movies16 Nov
Thea: Nikijichubua Nisulubiwe
IMEKAA poa sana! Mkongwe kwenye anga la sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ amekula kiapo cha aina yake kwamba siku akionekana amejichubua na kuondoa rangi yangi yake nyeusi ya asili, asulubiwe mchana kweupe.
Thea aliliambia gazeti hili kuwa hakuna kitu anachopenda kwenye mwili wake kama ngozi yake na hata siku moja hajawahi kupata ushawishi wowote wa kuharibu ngozi yake na anawaonea huruma mastaa waliotumia mkorogo.
“Nasema kabisa kutoka moyoni, kama kweli itatokea siku nikajichubua,...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MMaj31ebAY*y2aQtFcX4gTAwWbJF5p3IbcvN99bq1MiYBwHDRTjb2VM9dL-T*tTJE4nUiwhV4mpf261csIERebcsM0UmxpQk/thea.jpg)
THEA:NIKIJICHUBUA NISULUBIWE