USICHOKIJUA KUHUSU THEA
![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilq7GCVIVCnPpWb2*aAG0jQQgtppVWJZL99wP4ryKv1Si7vH23Pnvwxz7GdQeULi34HtlV7IVNaXctEo9veRqVdK/thea.jpg)
Makala: Gladness Mallya Mpenzi msomaji wa safu hii ya Exclussive Interview baada ya kumaliza kusoma historia ya maisha ya msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma, leo tunakuletea msanii mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’.Thea amefunguka mengi kuhusiana na maisha yake ya sanaa, karibu uinjoi mahojiano: Msanii mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’. HISTORIA...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Usichokijua kuhusu Freeman Mbowe
NAKUMBUKA ilikuwa Julai, mwaka 2002, ambapo nilikutana na Freeman Mbowe akiwa na kiu ya kweli ya kuleta mabadiliko na siasa mbadala nchini baada ya kushuhudia kuporomoka vibaya kwa NCCR-Mageuzi na...
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Kikubwa usichokijua kutoka kwa Tyga… ‘maana ya jina lake’ na mengine matatu kwenye hii interview!
Staa wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Tyga ni miongoni ya wasanii wanaofunga mwaka wa 2015 na excluvise interviews na mitandao pamoja na majarida mbalimbali ya burudani… Nimekutana na interview ya rapper huyo na mtandao wa Yahoo na ndani yake amegusia vitu vingi ikiwemo maana ya jina la ‘Tyga’ , umaarufu na mengine kibao. […]
The post Kikubwa usichokijua kutoka kwa Tyga… ‘maana ya jina lake’ na mengine matatu kwenye hii interview! appeared first on...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MMaj31ebAY*y2aQtFcX4gTAwWbJF5p3IbcvN99bq1MiYBwHDRTjb2VM9dL-T*tTJE4nUiwhV4mpf261csIERebcsM0UmxpQk/thea.jpg)
THEA:NIKIJICHUBUA NISULUBIWE
9 years ago
Bongo Movies16 Nov
Thea: Nikijichubua Nisulubiwe
IMEKAA poa sana! Mkongwe kwenye anga la sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ amekula kiapo cha aina yake kwamba siku akionekana amejichubua na kuondoa rangi yangi yake nyeusi ya asili, asulubiwe mchana kweupe.
Thea aliliambia gazeti hili kuwa hakuna kitu anachopenda kwenye mwili wake kama ngozi yake na hata siku moja hajawahi kupata ushawishi wowote wa kuharibu ngozi yake na anawaonea huruma mastaa waliotumia mkorogo.
“Nasema kabisa kutoka moyoni, kama kweli itatokea siku nikajichubua,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vshXEK8U-iigKgp9x3DiqyCZ1*ruIgjGygYVBnIhgBtUMoLyib8qxwyujCvnqIbdmrVUqaLPxws5RLYxJDJehogExYvuSkqA/THEA.jpg)
THEA: NIMEEPUKA MAJUNGU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UZ8UQ2FXhhMVOQmyYHgHkCdhGwRJ*fB3up4khdGclLX4BjMCzDbyQLFSIQERIAm6vq6wpzE9ZCT7g7OyUF28eDHnEHQkQ6IA/thea.jpg?width=650)
THEA, MIKE WARUDIANA
10 years ago
Bongo Movies28 Jun
Thea Atetea Chipukizi
Ndumbangwe Misayo ‘THEA’ ametaka wasanii chipukizi wathaminiwe katika fani hiyo kwani wana umuhimu wao katika utengenezaji wa Filamu pia.
Akizungumza na safu hii katikati ya wiki, Thea alisema kila msanii ana thamani yake kutokana na nafasi yake katika kazi ya Filamu . Hivyo ametaka wathaminiwe kulingana na kazi zao badala ya kuwawekea vizuizi vinavyokwamisha maendeleo ya vipaji vyao .
"MIMI nimeshirikishwa katika Filamu na wasanii ambao ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdG71GPfFwEXeezyPSnBwaiItWHK9H9ijS2LwLrrms4*zx*2eqTZZ7f2RVxGHHW-VHxYV3e26nU6qaH-hGpTXdBn2J-y0Xui/thea.jpg)
THEA: NDOA SIYO PETE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi642FC0xO6Bl6tWJv0cNdDl8AG3e73BL4*pObXg6HplIvj1UmPqpSoYKuYJV6WBn0jCwt1aHVGiBP7P9kOhgNWIa/thea.jpg)
THEA APATA MWANAUME WA KUMLEA