Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKE: NILIOLEWA ILI NIAMBUKIZWE UKIMWI

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
UKISIKIA simulizi ya Hafsa Ramadhani (19) itakutia simanzi, itakutesa moyo na kukutoa machozi, huwezi kuamini aliingia kwenye ndoa bila kujua kuwa alikuwa akienda kukutana na ugonjwa wa ukimwi, Risasi Mchanganyiko linakufunulia. Hafsa Ramadhani. Habari kutoka chanzo chetu cha kuaminika zinasema, binti huyo alifanyiwa mipango ya ndoa bila yeye na mumewe huyo kupima kwanza maambukizi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ukimwi bado ni tatizo linalohitaji nguvu ya pamoja ili kulimaliza

Tangu ugonjwa wa Ukimwi ugundulike nchini yapata miaka 35 iliyopita, zimeibuka changamoto nyingi za namna ya

 

10 years ago

GPL

UNAJENGA UKARIBU NA MKE, MPENZI WA MTU ILI IWEJE?

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya. Mimi namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na uwezo wa kuandika hiki nilichodhamiria kukufikishia siku ya leo.
Nazungumzia ukaribu ambao baadhi ya watu wamekuwa wakiujenga kwa wake au waume za watu bila hofu yoyote na kuona ni jambo la kawaida tu. Katabia hako kamechipukia huko mtaani ambapo unakuta mtu yuko kwenye ndoa au uhusiano wa...

 

10 years ago

Bongo5

Amini: Nataka mke wangu ajifungue mtoto wa kiume ili awe mwanasheria

Msanii wa muziki Amini ambaye mke wake ni mjamzito amesema kuwa anaomba mke wake ajifungue mtoto wa kiume ili mwanae aje kuwa mwanasheria na sio mwanamuziki. Katikati ni msanii wa muziki Amini akiwa na mke wake pamoja na mtu wao wa karibu Akizungumza na waandishi wa habari katika sherehe za kuagwa na wanafunzi wenzake wa […]

 

11 years ago

CloudsFM

HUYU NDIYE MTOTO ALIYEFUNGIWA NDANI YA BOKSI KWA MIAKA MINNE NA MAMA YAKE MLEZI ILI ASIMWAMBUKIZE VIRUSI VYA UKIMWI

Mtoto wa miaka minne (jina limehifadhiwa), amedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu, kwa kufungiwa ndani ya boksi kama mnyama, ili asimuambukize mama mlezi virusi vinavyosababisha Ukimwi.

Unyama huo wa kusikitisha, umefanyika muda wote huo kwa mtoto huyo Morogoro mjini katika mtaa wa Azimio bila kuripotiwa popote, huku wakazi na majirani wa nyumba hiyo wakisikia akikohoa na kulia usiku, na baba yake mzazi akiendelea na maisha kwa kumuogopa mkewe.
Wakizungumza na...

 

9 years ago

GPL

THEA: NIMESAHAU KAMA NILIOLEWA!

Imelda Mtema Duh! Mwigizaji wa kitambo katika tasnia ya sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ ametoa kali ya mwaka baada ya kudai kuwa alishasahau kama aliwahi kuolewa na kuvaa shela kanisani. Mwigizaji wa kitambo katika tasnia ya sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Thea aliweka wazi kwamba, kuna kipindi huwa anasahau kama aliwahi kuolewa na hii inatokana na mapenzi aliyokuwa nayo...

 

9 years ago

Global Publishers

Niliolewa na Mganga kwa Tamaa ya Cheo

ILIPOISHIA:

“Kwani unaniona nafanya nini?” Rose alimjibu kwa mkato huku akimtengeneza mtoto aliyekuwa mgongoni.

SASA ENDELEA…

“Na…na…na huyu si…si…si shoga yako nani kweli?”

“Eflazia,” nilimjibu nikiwa nambembeleza mwanangu aliyekuwa anataka kulala.

“Jamani hii si kawaida kuna kitu, watoto wazuri kama ninyi kuja kwa kibabu hiki si bure lazima kuna kitu,” mama Sabuni alilalamika kwa sauti ya huzuni nilimsikia lakini sikumuelewa.

“Bibi eeh fuata kilichokuleta ya huku mengine  hayakuhusu,” Rose...

 

9 years ago

Global Publishers

Niliolewa na mganga kwa tamaa ya cheo kazini-46

ILIPOISHIA:
Katika miaka tisa ambayo niliondoka nyumbani nilishukuru Mungu familia yangu niliikuta ipo katika hali nzuri japokuwa nilikuwa nimempoteza baba yangu kipenzi miaka mitatu iliyokuwa imepita. Nyumba yangu aliyokuwa akiisimamia mama ilikuwa imeisha wakati huo ilikuwa imepangishwa kwa kampuni moja.

Kwa kweli kila nilivyofikiria dhamira yangu na sehemu niliyoangukia muda mwingi nilikuwa nikilia huku nikiwaangalia watoto wangu wadogo wasio na baba tena wenye afya dhaifu.SASA...

 

9 years ago

Global Publishers

Niliolewa na mganga kwa tamaa ya cheo kazini-44

ILIPOISHIA:
Niliingia ndani na kujitupa kitandani, pamoja ilikuwa burudani lakini iliniacha hoi. Niliamka saa sita za usiku nikiwa na njaa kali. Nilipata chakula kisha nilioga na kurudi kitandani, kutokana na uchovu nilipogusa kitandani usingizi mzito ulinichukua.
Huwezi kuamini usiku mzima njozi zote zilikuwa kwa babu Sionjwi mpaka kunakucha.
SASA ENDELEA..

Niliposhtuka kitandani na kujikuta peke yangu nilijikuta nikiingia unyonge na kujilaumu kumrudisha mapema heri ningeachana naye jioni...

 

11 years ago

Michuzi

MKE WA RAIS MAMA MWANAMWEMA AKUTANA MKE WA MFALME MUSWATI

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akisalimiana na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake leo,akiwa katika ziara ya siku mbili nchini. Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akizungumza na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani