Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mshitakiwa- Msiponiachia najiua

MSHITAKIWA Makongoro Nyerere anayekabiliwa na kesi ya mauaji ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imuachie huru akaishi na watoto wake au ajiue.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mshitakiwa aua polisi kwa jiwe

ASKARI Polisi amekufa baada ya kujeruhiwa vibaya kwa jiwe kichwani na mshitakiwa wa kesi ya uvunjaji wa nyumba, Njoke ole Kiripi (34), mkazi wa Olebomba, wilayani longido.

 

11 years ago

Habarileo

Mshitakiwa kesi ya Papaa Msofe alalamika

MSHITAKIWA wa kesi ya mauaji, Makongoro Nyerere anayeshitakiwa pamoja na mfanyabiashara maarufu Marijan Abubakar ‘Papaa Msofe’, amedai kuwa upande wa Jamhuri unawakomesha kwa kuwa kesi ni ya muda mrefu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mshitakiwa kesi ya twiga bado utata

MATUMAINI ya kumpata mshitakiwa namba moja katika kesi ya kusafirisha wanyama hai wakiwamo twiga wanne kwenda nchini Qatar, Kamran Ahmed, yameyeyuka baada ya jana mshitakiwa huyo kutofika tena mahakamani. Mshitakiwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mshitakiwa adai kuteswa, kudhalilishwa polisi

MSHITAKIWA katika kesi ya ugaidi, Abdallah Maginga, ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, kumruhusu kutohudhuria siku za kesi na abaki magereza, kutokana na maumivu makali anayodai anayapata sehemu za siri alikominywa na polisi na kuingiziwa mti kwenye haja kubwa.

 

9 years ago

Habarileo

Mshitakiwa akana maelezo, adai alipigwa

MSHITAKIWA katika kesi ya kuisababishia hasara kampuni ya kitalii ya sh milioni 800, Charles Minja (36) amekana maelezo yake na kusema alilazimishwa kuyaandika. Mshitakiwa huyo anashitakiwa na mwajiri wake wa zamani kampuni ya Utalii ya Leopard Tours kwa kuisababishia hasara ya Sh milioni 800 na kutoa risiti feki za kuonesha malipo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shahidi aeleza mshitakiwa alivyosaidiwa kutorosha twiga

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Moshi, Kilimanjaro imeelezwa namna mshitakiwa namba moja katika kesi ya utoroshaji wa wanyama hai 130 wakiwamo twiga wanne kwenda nchi za Falme za Kiarabu, Kamran Ahmed,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani