Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msichana wa Kitanzania ashinda mashindano ya Insha ya SADC

D92A4879

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne Neema Steven Mtwanga(16) anayesoma katika shule ya sekondari Naboti Makambako, Njombe baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika utunzi wa insha katika shindano lililoandaliwa na Jumuiya ya uchumi ya maendeleo kusini mwa Afrika(SADC).Rais Kikwete alimpongeza mwanafunzi huyo wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika mji wa kitalii wa Victoria Falls, nchini Zimbabwe ambapo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mtoto wa Kitanzania ashinda insha SADC

Rais Jakaya Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne Neema Mtwanga (16), anayesoma Shule ya Sekondari Naboti, Makambako Mkoa wa Njombe, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwenye utunzi wa insha, katika shindano lililoandaliwa na Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC), katika ufunguzi wa mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC mjini Victoria Falls, Zimbabwe jana. (Picha na Fred Maro, Ikulu).WATOTO wa Kitanzania kutoka shule za kawaida na zile za kata, wameendelea kuipa nchi heshima kimataifa, kwa kuongoza katika mashindano ya kitaaluma.

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI WA TANZANIA ATWAA TUZO YA INSHA NCHI ZA SADC

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne Neema Steven Mtwanga (16) anayesoma katika Shule ya Sekondari Naboti Makambako, Njombe baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika utunzi wa insha katika shindano lililoandaliwa na Jumuiya ya uchumi ya maendeleo kusini mwa Afrika(SADC).…

 

10 years ago

Michuzi

CMSA YAZINDUA MASHINDANO YA INSHA NA KUJIBU MASWALI KWA WANAVYOU KOTE NCHINI

Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imezindua mashindano ya ya insha na kujibu maswali yanayolenga kuelimisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kote nchini kuhusu uelewa wa masoko ya mitaji na dhamana. Mashindano hayo yanayolenga kuongeza ari kwa wanafunzi kujifunza kuhusu masoko ya mitaji yanashindanisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini bila kujali taaluma wanayosemea. Uzinduzi rasmi umefanyika tarehe 1 June 2015 mjini Dar es Salaam na yanatarajiwa kumalizika tarehe 15...

 

10 years ago

BBCSwahili

Froome ashinda mashindano baiskeli

Mshindi wa mashindano ya baiskeli yajulikanayo kama Tour de France ,Chris Froome ameshinda mashindano ya baiskeli.

 

9 years ago

Bongo5

Hamilton ashinda taji la tatu la mashindano ya United States Grand Prix

Dereva wa magari, Lewis Hamilton ameendelea kufanya vizuri na kung’ara zaidi msimu huu baada ya kutwaa taji katika michuano ya United States Grand Prix. Hamilton ameshinda michuano hiyo ya dunia na kutwaa taji lake la tatu kwa msimu huu wa michuano ya Formula 1. Hamilton ambaye ni dereva wa timu ya Mercedes, anakua Muingereza wa […]

 

10 years ago

Michuzi

wazo la kutafsiri kitabu cha CHANGAMOTO: Insha za Jamii.

Na Prof. Joseph Mbele
Kwa wiki kadhaa, nimekuwa nikiwazia kutafsiri kitabu cha CHANGAMOTO: Insha za Jamii. Siku chache zilizopita, niliandika kuhusu kitabu hiki katika blogu hii. 

Nawazia kuzirekebisha insha zilizomo, na kuchapisha kitabu cha ki-Ingereza. Kufanya hivyo kutakipa kitabu hadhira kubwa zaidi kuliko ile ya wajuao ki-Swahili. Nina hakika, kwa mfano, kuwa wa-Marekani watakitafuta na kukisoma. Kwa ujumla wasomaji wa vitabu vyangu ni wa-Marekani. 

Ninaposhiriki matamasha hapa Marekani,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shule Direct Tanzania yatoa zawadi kwa washindi wa Insha “A-Level-Category”

Wanafunzi wakipata Selfie ya pamoja na Executive Director Faraja Nyarandu (1)

Wanafunzi wakipata Selfie ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shule Direct, Bi. Faraja Nyalandu.

Shule Direct ni taasisi binafsi inayojishughulisha na kutoa elimu kwa njia ya mtandao na teknolojia ya kidijiti. Kila mwaka Shule Direct huendesha mashindano ya uandishi wa insha kwa wanafunzi wa “O-Level” na “A-Level”; Mashindano hayo yapo wazi kwa shule zote za sekondari Tanzania kushiriki.

Tarehe 9/09/2015 Shule Direct kwa kushirikiana na taasisi ya Flaviana Matata Foundation, Samsung Tanzania,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Msichana mwingine ajinyonga India

Msichana mmoja mwenye umri wa miaka 19 amepatikana akining'inia mtini Kaskazini mwa India baada ya kubakwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Msichana kutoka Syria ashitakiwa

Msichana wa kiholanzi aliyerejea kutoka Syria ambako alikwenda huko kujiunga na wapiganaji wa jihadi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani