Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msigwa:Anayemudu uchungaji na Ubunge

Peter Msigwa anavaa kofia mbili katika uongozi wa jamii. Kwanza ni kiongozi wa kiroho yaani mchungaji anayehubiri injili na vilevile ni mwanasiasa anayewawakilisha wananchi wa Iringa Mjini kama mbunge wao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSIGWA APIGWA ZENGWE UBUNGE IRINGA 2015

Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msingwa Stori: Mwandishi Wetu, Iringa KATIBU wa  CCM wa Mkoa wa Iringa, Hassani Mtenga, mwishoni mwa wiki iliyopita  alikiona cha moto baada ya kuzomewa na wananchi baada ya kuwataka wapiga kura hao wamshawishi Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa asichukue fomu za kugombea kiti hicho katika uchaguzi mkuu ujao  kwa kuwa hatashinda. Tukio hilo lililotokea katika...

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA BAVICHA AMVAA MCHUNGAJI MSIGWA UBUNGE IRINGA MJINI

MWENYEKITI wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Leonce Marto amechukua fomu ya kuwania ubunge katika jimbo la Iringa kupitia chama chake hicho.Amechukua fomu hiyo siku moja tu baada ya Rais Jakaya Kikwete kulihutubia  bunge la 10 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambalo uhai wake utakoma Agosti 20, mwaka huu.Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, jimbo la Iringa Mjini limekuwa likiongozwa na Mchungaji Peter Msigwa ambaye pia alichaguliwa kupitia Chadema...

 

10 years ago

Vijimambo

MSIGWA APATA RIDHAA YA WANANCHI KUONGOZA MIAKA MITANO MINGINE KITI CHA UBUNGE IRINGA MJINI.

Mbunge wa Mbeya Mhe. Joseph Mbilinyi (sugu) watatu toka kushoto akiteta jambo na Mhe/ Peter Msigwa Mbunge wa Iringa katika mkutano wa kumpa ridhaa Mbunge Mhe. Peter Msigwa kugombea ubunge kwenye jimbo hilo kwa miaka 5 ijayo kwa tiketi ya chama chake, CHADEMA. Msanii wa Bongo Flava Roma Mkatoliki akinogesha mkutano huo.Mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasa akiimba moja ya nyimbo zake kwenye mkutano huo uliofanyika leo Jumapili July 18, 2015 mjini Iringa. Mhe. Joseph Mbilinyi mbunge wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAFUASI 60 WA CHADEMA AKIWEMO MGOMBEA UBUNGE MCHUNGAJI MSIGWA MATATANI KWA TUHUMA ZA KUMPIGA MAWE MKUU WA FFU NA WANANCHI WALIOKUWA WAKITOKA KUMSIKILIZA DR MAGUFULI .....

 Aliyekuwa  mbunge wa  jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akishuka katika gari la  polisi  baada ya  kufikishwa mahakamani  wakati wa vurugu za machingaji  eneo la mashine tatu  mjini Iringa mwaka  jana(picha na maktaba ya matukiodaima)
Na MatukiodaimaBlogJESHI  la polisi kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mkoani  Iringa watumia mabomu ya machozi kuwakamata wafuasi  zaidi ya 60  wa  chama  cha  Demokrasia  na maendeleo (chadema ) akiwemo mgombea  ubunge wao  jimbo la  Iringa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

18 wavuliwa uchungaji Moravian

ASKOFU wa Kanisa la Moravian Tanzania, Jimbo la Kusini, Dk. Lusekelo Mwakafwila, amewavua uchungaji waamini 18 wa kanisa hilo baada ya kuridhika kwamba walikaidi uamuzi halali wa Sinodi na kufanya...

 

9 years ago

Mtanzania

Masanja: Uchungaji si mzaha, jaribuni muone

masanjaMCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, amewataka wanaomtuhumu kwamba anatumia tiketi ya uchungaji kama njia ya kujiingizia kipato wajaribu kazi hiyo wataona malipo yake.

Aliongeza kuwa uchungaji ni wito na siyo kazi, pia uchekeshaji ni ajira yake, hivyo hawezi kuacha uchekeshaji kwa sababu ya uchungaji kwa kuwa hakiuki miiko ya uchungaji.

“Eti wanasema uchungaji na siasa wapi na wapi, mbona kuna chama cha siasa kimojawapo mgombea wao wa urais ameletwa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Masanja: Uchungaji Si Mzaha, Afunguka Haya

MCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, amewataka wanaomtuhumu kwamba anatumia tiketi ya uchungaji kama njia ya kujiingizia kipato wajaribu kazi hiyo wataona malipo yake.

Aliongeza kuwa uchungaji ni wito na siyo kazi, pia uchekeshaji ni ajira yake, hivyo hawezi kuacha uchekeshaji kwa sababu ya uchungaji kwa kuwa hakiuki miiko ya uchungaji.

“Eti wanasema uchungaji na siasa wapi na wapi, mbona kuna chama cha siasa kimojawapo mgombea wao wa urais...

 

10 years ago

Mwananchi

Msanii wa filamu aliyeamua kufanya kweli kwenye uchungaji

Tabia hujenga mazoea, au mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hii yote ni misemo ya wahenga , na kwa upande mwingine baadhi ya watu hufikia kuamini kuwa kazi anayoifanya mtu fulani huweza kuathiri utamaduni wake katika maisha yake ya kila siku.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani