Msimu wa BBC wa Wanawake 100 wawadia 2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-ipzDoWVc0s8/VktMS7hqUbI/AAAAAAAIGc8/rcO9O6rwx44/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Msimu huu tutauliza iwapo habari zinazoangaziwa na mashirika ya habari zinawadhalilisha wanawake au la, tujadili pia shinikizo za kutakiwa kuwa ‘msichana mzuri’, pamoja na kutoa orodha ya kila mwaka ya ‘Wanawake 100’ huu ukiwa ndio mwaka wa tatu kufanya hivyo.
Msimu wa BBC wa Wanawake 100 utarejea mwezi huu, ukiangazia maisha ya wanawake maeneo mbalimbali duniani. Mradi wa Wanawake 100 ulizinduliwa 2013 na kuanzisha ahadi ya BBC ya kuwakilisha wanawake vyema kwenye habari zake kimataifa. Sasa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili18 Nov
Wanawake 100 wa BBC 2015: Nani wenye msukumo zaidi?
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-awek_PkN0wA/Vlh5dl4GVAI/AAAAAAAIIpc/GydcGwIgVrk/s72-c/unnamed.jpg)
The BBC hosts debates throughout Africa as part of the 100 Women season More than 100 conversations across the world will discuss what it means to be a “good girl†or an “ideal womanâ€
![](http://3.bp.blogspot.com/-awek_PkN0wA/Vlh5dl4GVAI/AAAAAAAIIpc/GydcGwIgVrk/s640/unnamed.jpg)
The BBC will host debates throughout the day at BBC Broadcasting House in London, while more than 100 conversations will happen across the globe in eight languages. In Africa, many groups across the continent will...
10 years ago
BBCSwahili04 Jul
Mancity kutumia pauni milioni 100 msimu huu
5 years ago
BBCSwahili31 Mar
Zaidi ya klabu 100 ambazo hazipo kwenye ligi zaiandikia FA juu ya kuahirishwa kwa msimu
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Hiki ndiyo kikosi cha wachezaji 11 ambao wameng`aa zaidi kuelekea kumaliza mwaka 2015, msimu wa 2015/2016 kwenye EPL
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mtandao wa habari za michezo wa Goal.com umetoa majina 11 ya wachezaji ambao wameonyesha uwezo zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza EPL kwa msimu wa 2015/2016 kuelekea kumaliza mwaka 2015.
Mpaka sasa imeshachezwa michezo 17 na klabu ya Leicester City ikiwa nafasi ya kwanza kwa kukusanya jumla ya alama 38 ikifuatiwa na Arsenal yenye alama 36 na klabu ya Aston Villa ikiwa mkiani na alama 7.
Listi ya wachezaji hao ni kama ifuatavyo;
Golikipa
Jack Butland -Stoke...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4YilfwQJfCvh4rdTm5Apo*n*MRGq7XyaajJ7D3*XgNZARJVUdJLPR4-8WXBPsGGFyA3bVsSqkZ1G8FgOS9YOGCqbXkhdrWaH/BACKUWAZI.jpg?width=650)
MSIMU WA SIKUKUU ROHO MKONONI MABASI YATEKWA, WANAWAKE WABAKWA
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
Wanawake Tanzania wazungumza na BBC
10 years ago
BBCSwahili27 Apr
9 years ago
Mwananchi07 Sep
Uhamisho mkubwa msimu wa 2015/16