Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msishangae, CCM imegeuka kuwa mnara wa Babeli!

Sasa ni dhahiri kwamba mwelekeo wa nchi yetu umetufikisha mahali pabaya. Haya tumeyasema, tumeyaandika, wengine tumeyahubiri, lakini serikali yetu tukufu ya CCM haisikiii.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Naifananisha CCM na Mnara wa Babeli

Idadi ya waliokuwa watangazania kupitia Chama cha Mapinduzi ilifikia 42. Wengi tulijiuliza je, hii ni demokrasia ya kweli au ni uchu wa madaraka?

 

10 years ago

Raia Mwema

CCM Kama Babeli, imepoteza sifa na uhalali wa kutawala

KATI ya mwaka 605- 539 Kabla ya kuzaliwa Kristo (KK) na baada ya baada ya gharika, jambo muhimu l

Fred Mpendazoe

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM sasa kama mnara wa Babel

SAS ni dhahiri kwamba mwelekeo wa nchi yetu umetufikisha mahali pabaya. Haya tumeyasema, tumeyaandika, wengine tumeyahubiri, lakini serikali yetu tukufu ya CCM haisikiii. Mara nyingi kwa watu kama hao imeona...

 

11 years ago

Mwananchi

Msekwa: Msishangae, Ni kawaida kususia Bunge

>“Sijaweka orodha ya vitabu vya mwaka huu,  sijavi-document (sijaviorodhesha) pale.” Hii ni kauli ya mwanasiasa mkongwe, Pius Msekwa ambaye ameshika nyadhifa mbalimbali katika Bunge, chama tawala ambaye katika mahojiano maalum na waandishi wa Mwananchi alikuwa na mengi ya kusema.

 

10 years ago

Vijimambo

Wazazi wa Mke Wangu Wamehamia Kwangu Kabisa, Nyumba imegeuka Bujumbura


Baba na mama wa mke wangu walikuja mwaka 2011 kututembelea hapa Dar, ilikua wakae mwezi mmoja then warudi kijijinilakini cha kushangaza hivi ninavyozungumza nanyi tarehe 30-06-2015 jumanne, hawajaondoka kurudi kijijini kwao hadi Leo miaka takribani minne tangu 2011 January
Kijijini kwao si kubaya kihivyo, kuna nyumba ya bati, kulikua na mifugo na mashamba lakini vyote hivyo vilikufa kutokana na kutelekezwa na mwenyewe ambao wamekimbilia kwetu Dar. Ni nyumba tu ndo ipo pale ila imekua...

 

10 years ago

Bongo5

Jay Moe: Narudi kitofauti, msishangae mkinisikia kwenye beat kama za akina ASAP Rocky au French Montana

Jay Moe anarudi tena. Hata hivyo ameonya kuwa mashabiki wake wa kitambo wasishtuke sana kumsikia akirap tofauti na walivyomzoea. Akiongea kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, hitmaker huyo wa ‘Kama Unataka Demu’, amedai kuwa baada ya kukaa kimya kwa miaka miwili ambapo alikuwa akifanya mambo ya msingi zaidi kimaisha, hivi karibuni anarejea tena […]

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Nchi pekee duniani kwa hivi sasa ambayo kuokota makopo imegeuka ni ajira kubwa sana kwa vijana ni Tanzania.

Siku za hivi karibuni hapa nchini Tanzania ,vijana wengi mitaani wamekuwa wakijipatia kipato chao cha mkate wao wa kila siku kupitia kazi ya kuokota makopo yaliyotupwa na watumiaji ambayo awali yalikuwa na vinywaji aina tofauti tofauti,vijana […]

The post Nchi pekee duniani kwa hivi sasa ambayo kuokota makopo imegeuka ni ajira kubwa sana kwa vijana ni Tanzania. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Dewji Blog

27 wateuliwa kuwa makatibu wa CCM wilaya

3

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

10 years ago

Vijimambo

27 WATEULIWA KUWA MAKATIBU WAPYA WA CCM WILAYA



Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani