Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSOMAJI CHAMPIONI KANDA YA ZIWA AZAWADIWA SIMU

Msomaji wa Championi Kanda ya Ziwa, Gloria Kalisa, mkazi wa Kilimahewa jijini Mwanza akikabidhiwa zawadi yake ya simu na Masumbuko Ally ambaye ni mwakilishi wa Global wa Kanda hiyo katika ofisi za Global Publishers zilizopo Mwanza. Kutoka kulia ni Henry Susuma, Mohamed Kapua na aliyechuchumaa ni Abel Manase wakishuhudia.‏

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yazindua usajiri wa kuzaliwa kupitia simu za mkononi kwa kanda ya Ziwa

simu2.

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Ummy Mwalimu(kushoto)akionyesha moja kati ya simu 350 zilizotolewa na Kampuni ya Tigo kwa ajili ya mkakati wa usajili wa watoto waliozaliwa  wenye umri chini ya miaka mitano kwa njia ya simu kwa kutumia  mtandao wa Tigo,wakati wa uzinduzi uliofanyika  Mkoani Mwanza jana, kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Ali Maswanya,Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa usajili,ufilisi na udhamini(RITA) Emmy...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbili kutoka Kanda ya Ziwa

Wakati mzunguko wa kwanza wa Ligi Daraja la Kwanza msimu huu ukiwa umemalizika, Ukanda wa Ziwa una matumaini makubwa ya kupata timu mbili zitakazopanda daraja Ligi Kuu.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI GUMZO KANDA YA ZIWA!

Dk. John Pombe Magufuli ambaye ni mgombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Richard Bukos, aliyekuwa Geita Dk. John Pombe Magufuli ambaye ni mgombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekuwa gumzo kubwa katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Kanda ya Ziwa. Dk. Magufuli ambaye amekuwa ‘homa kali’ kwa vyama vya upinzani,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashabiki kanda ya Ziwa wastaarabu.

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania limesema linawashukuru mashabiki wa kanda ya ziwa kwa ustaarabu wa hali ya juu.

 

10 years ago

Vijimambo

"IMETOSHA" YAJITAMBULISHA KANDA YA ZIWA

Ilikua mishale ya saa kumi kamili jioni ujumbe wa harakati za Imetosha ulipowasili katika kituo cha Buhangija cha kulea watoto wenye mahitaji maalumu mjini Shinyanga. Sauti za furaha za watoto zilisikika zikiimba nyimbo za kukaribisha ujumbe wa wana harakati hao ambao wako Mwanza kutambulisha harakati za Imetosha ambazo ni kupambana na kupinga unyanyapaa, ukatili na mauaji kwa watu wenye Ulemavu wa ngozi.Balozi wa Imetosha Henry Mdimu akinunua mahitaji ya watoto waliopo kituoni hapo kabla ya...

 

9 years ago

Habarileo

Waandishi Kanda ya Ziwa wafundwa

WAANDISHI wa habari nchini, wametakiwa kutekeleza wajibu wao kwa kufuata maadili na misingi ya uandishi wa habari hususan za uchunguzi wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa atesa kanda ya Ziwa

11-117Na Waandishi Wetu
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameendelea kutesa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa anakopita kutafuta wadhamini akitafuta kuteuliwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Lowassa alianza kusaka wadhamini alipotua mkoani Mwanza wiki iliyopita ambako alipata mapokezi makubwa huku maelfu ya wana CCM wakijitokeza kumdhamini.
Hadi sasa Lowassa ametembelea mikoa ya Mwanza ambapo alidhaminiwa na wanachama 2676 , Geita, Mara, Mjini na Magharibi Zanzibar na Kaskazini na...

 

5 years ago

CCM Blog

MIKOA YA KANDA YA ZIWA YAKUMBWA NA TETEMEKO

Tetemeko la ardhi limetokea katika  Ukanda wa Ziwa Victoria na kuyakumba maeneo ya mikoa ambayo ni jirani na  Ziwa hilo  ikiwemo eneo la mpaka wa  Geita na Shinyanga.
Mjolojia Mwandamizi kutoka taasisi ya Jiolojia Bwana Gabriel Mbogoni amesema Tetemeko hilo lina ukubwa wa 4.6 katika Vipimo vya Richta.
Bwana Mbogoni amesema Tanzania imepitiwa na mkondo wa bonde la ufa la Afrika Mashariki ikiwa na mikondo miwili mkondo wa Mashariki na mkondo wa Magharibi hivyo matukio ya  mateteko ya ardhi...

 

11 years ago

Habarileo

Ndoa za utotoni zakithiri Kanda ya Ziwa

MIKOA ya Kanda ya Ziwa na Magharibi ina huduma zisizoridhisha za uzazi wa mpango, kutokana na kuwa na viashiria vingi vya ndoa za utotoni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani