Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtaalamu kuwachambua makada wanaotajwa urais

>Wakati Uchaguzi Mkuu ukikaribia, tayari vuguvugu la urais limeanza kwenye vyama vya siasa huku kazi kubwa ikiwa kwenye chama tawala cha CCM na hivyo kuanzia kesho ya Mwananchi litakuwa likikupa uchambuzi wa makada 21 wanaotajwa kuwania nafasi hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Giza nene zaidi makada urais CCM

Dar es Salaam. Hali bado ni tete kwa makada sita waliofungiwa na CCM kujihusisha na masuala ya uchaguzi baada ya chama hicho tawala kueleza kuwa mchakato wa kuwachunguza haujakamilika na adhabu yao inaweza kuendelea hata baada ya vikao vya juu vitakavyofanyika mwishoni mwa wiki.

 

5 years ago

Michuzi

MAKADA WA CCM WALIOCHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR LEO

Katibu wa NEC,Idara ya Oganazesheni CCM Zanzibar Cassian Galos Nyimbo (kushoto), akimkabidhi fomu Kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Mbwana Bakari Juma(kulia) aliyechukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais kupitia CCM, huko Afisi Kuu ya CCM Kiwandui Zanzibar. KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Mbwana Bakari Juma aliyechukua fomu ya kugombea Uraiswa Zanzibar kupitia CCM, akipewa maelezo na Afisa Mwandamizi wa Idara ya Oganazasheni Ndugu Abdi Mahmoud Abdi (kulia)  baada ya kukabidhiwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Makada sita wa urais CCM kujadiliwa Kamati Kuu ijayo

gzNA ELIAS MSUYA, ZANZIBAR

WAKATI vuguvugu la kuwania kuteuliwa kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) likiendelea kupamba moto, Kamati Kuu (CC) ya chama hicho imesema adhabu waliyopewa makada sita walioonyesha nia ya kutaka nafasi hiyo, itapitiwa tena Februari na watakaobainika kuendelea kufanya makosa wataongezewa adhabu.
Katibu Mwenezi wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye, alisema suala hilo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa na kikao hicho kilichokutana jana kisiwani...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE WAWILI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YA URAIS CCM ZANZIBAR,MAKADA WAFIKIA 26

-WALIOREJESHA FOMU WAFIKIA WANNE

NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR.

WANAMAMA wawili  wamejitokeza leo 24 Juni kuchukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar  kupitia tiketi ya Chama  Cha Mapinduzi CCM.

Mwanamama wa kwanza ni Husna Attai Masoud aliwasili viwanja vya Afisi Kuu ya CCM -Zanzibar  zilizopo eneo la  Kisiwandui majira ya saa Nne akiwa amesindikizwa na wapambe wake watano wote  Wanamama akiwemo dereva aliyewaendesha na

kisha kupanda hadi gorofa ya pili kwa Katibu wa Idara ya Organization...

 

10 years ago

Vijimambo

Lissu ahoji Werema kuwafumbia macho vigogo wanaotajwa Escrow

Baada ya kumshambulia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wapinzani sasa wamemshukia Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema na kumbana, wakidai ameshindwa kuchukua hatua yoyote dhidi ya vigogo wa serikali waliotajwa kuhusika katika kashfa ya kampuni ha IPTL ya uchotwaji wa Sh. bilioni 306 katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Vigogo hao ni pamoja na mawaziri wa sasa na wa zamani, mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani, majaji wa mahakama kuu na Gavana...

 

10 years ago

Mwananchi

Marais watano wanaotajwa kuongoza kwa mishahara minono barani Afrika hawa hapa

>Wakati Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari akiupunguza mshahara wake muda mfupi baada ya kuingia madarakani mwaka huu, marais wengine wa  Afrika wameonekana kujilimbikizia mishahara mikubwa, tofauti na pato  ‘kiduchu’ la wananchi wao kwa mwaka.

 

9 years ago

MillardAyo

Louis van Gaal anaondoka Man United? imenifikia list ya makocha wanaotajwa kuchukua nafasi yake …

Headlines za makocha mbalimbali wa Ligi Kuu Uingereza kufukuzwa zinaendelea kushika kasi ambapo hivi karibuni ulimwengu ulishuhudia Kocha wa Swansea City Garry Monk akifukuzwa na Jose Mourinho akifukuzwa kuifundisha Chelsea. Stori za mitandaoni za hivi karibuni ni zile zinazomzungumzia Kocha wa Manchester United Louis van Gaal na hatma yake ndani ya klabu hiyo baada ya timu yake kuendelea […]

The post Louis van Gaal anaondoka Man United? imenifikia list ya makocha wanaotajwa kuchukua nafasi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtaalamu wa silaha za kemikali IS auwawa

Jeshi la Marekani linasema kuwa mtaalamu mmoja wa silaha za kemilkali aliyekuwa akifanya kazi na kundi la Islamic State ameuawa

 

11 years ago

Mwananchi

Shelder; mtaalamu wa kufumania nyavu

Mashindano ya Airtel Rising Stars 2014 yamemalizika kwa timu ya wasichana Mkoa wa kisoka wa Temeke, kutwaa ubingwa wa mashindano hayo baada ya kuifunga Timu ya Kinondoni kwa mikwaju ya penalti 4-3.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani