Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtangazaji wa BBC Radio 1 Xtra ya Uingereza amtaja msanii wa Tanzania wa kutazamwa zaidi 2016

bbc radio 1

Mwaka unapoisha wafuatiliaji mbalimbali wa muziki huwa kwenye nafasi nzuri ya kuwafanyia tathmini wasanii kutokana na kazi walizofanya mwaka mzima, ambazo hutoa miongozo ya kutabiri nafasi ambazo wasanii hao wanaweza kuwa nazo katika mwaka unaofata.

vee

Mtangazaji wa BBC Radio 1 Xtra ya Uingereza, DJ EDu ametaja orodha ya wasanii wake watano wa kuwatazama zaidi mwaka 2016, kutokana na kufanya vizuri mwaka 2015. Katika orodha hiyo amemtaja muimbaji wa Tanzania, Vanessa “Vee Money” Mdee ambaye...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MSIBA WA MTANGAZAJI WA ZAMANI WA RADIO TANZANIA MSHINDO MKEYENGE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha aliyekuwa mtangazaji mashuhuri na maarufu wa iliyokuwa Redio Tanzania (sasa TBC Taifa), Ndugu Mshindo Mukeyenge ambaye alifariki dunia mwishoni mwa wiki na kuzikwa jana, Jumatatu, Mei 25, 2015.
Katika salamu alizomtumia Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Sofia Mjema leo, Jumanne, Mei 26, 2015, Rais Kikwete amesema kuwa kifo cha Mzee...

 

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee amtaja mwanaume anayevaa vizuri zaidi Tanzania, naye ni?

915526_1674671109457520_1194222309_n

Vanessa Mdee amemtaja mwanaume wa Tanzania anayemuona kuwa ndiye anayevaa vizuri zaidi kuliko wote.

915526_1674671109457520_1194222309_n

Naye si mwingine zaidi ya mpenzi wake, Jux.

“Jux has effortless style,” Vanessa Mdee amuambia Diva kwenye mahojiano aliyofanya naye kwaajili ya blog yake.

“He’s got a knack for spotting out, pairing and pulling off a lot of different looks and styles.”

Kwenye mahojiano hayo pia Vanessa alieleza vazi alilowahi kuvaa na kujuta.

“It was a performance outfit and I later realised after my show how...

 

9 years ago

Bongo5

Chege amtaja msanii wa Nigeria aliyemshirikisha

Hatimaye Chege Chigunda ameweka wazi ujio wa kolabo yake ya kimataifa aliyofanya na msanii wa Nigeria. Chege amemtaja msanii huyo kuwa ni Runtown ambaye wiki ijayo atatumbuiza pia kwenye fainali za BSS. “Ladies and gentleman brand new and exclusive collaboration Tanzania, Nigeria na South Africa, soon to your ears and eyes audio and video ,Jam […]

 

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Michuzi

mtangazaji mahiri wa ITV na Radio One Isaack Muyenzwa Gamba ahamia DW Ujerumani

Aliyekuwa mtangazaji wa ITV na Radio One Isaack Muyenzwa Gamba (wa pili kulia) akiwa na watangazaji wakongwe wa DW jijini Bonn, Ujerumani alikohamia hivi karibuni. Wengine kutoka kulia ni Mohamed Dahman, Sudi Mnete, Sekioni Kitojo, Abdul Mtulya na mdau.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala atangaza rasmi kuwania ubunge

1525677_749904191774263_4961655255847640040_n

Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala maarufu kwa jina la “kijukuu cha bibi k” katika pozi.

SAM_2530

Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala maarufu kwa jina la “kijukuu cha Bibi K” akiwa amebebwa juu na wakazi wa Ushetu wakati wa mkutano wake wa kutangaza nia kuwania ubunge katika jimbo jipya la Ushetu wilayani Kahama.

SAM_2529 (1)

Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala maarufu kwa jina la “kijukuu cha Bibi K”...

 

11 years ago

Dewji Blog

Seif Sharif Hamadi amtembelea mtangazaji wa Radio Noor FM Mnazi Mmoja Hospital alipolazwa

DSC_1964

Aboubakar Fakih Mtangazaji wa Radio Noor FM 93.3 na nimuajiriwa wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Pichani akiwa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja kwa matipabu ambapo amepata Ajali na kukatika mguu mmoja na mwengine kuumia pamoja na mkono ajali iliyosababishwa na hitilafu ya umeme katika Studio  Masjid Swahaba Mtoni Zanzibar, aliumia baada ya kujirusha kutoka Juu ya Ghorofa Moja.

DSC_1965

Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim. Seif Sharif Hamad akisalimiana na Aboubakar Fakih Mtangazaji wa Radio Noor FM...

 

9 years ago

Bongo5

Msanii wa Nigeria Runtown awataja wasanii wawili wa Tanzania anaowakubali zaidi

Mwimbaji kutoka Nigeria, Runtown ametua jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo (Oct.9) tayari kulipamba jukwaa la fainali ya shindano la kusaka vipaji Bongo Star Search (BSS) itakayofanyika Ijumaa (Oct.9). Kama ambavyo wasanii wetu wanafuatilia kwa karibu muziki wa Nigeria, Runtown pia anafatilia muziki wa Bongo. Katika mahojiano mafupi na Fahamu Tv, Runtown amewataja […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani