Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTANGAZAJI WA KIKE WA RADIO ANATAKIWA


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Michuzi

mtangazaji mahiri wa ITV na Radio One Isaack Muyenzwa Gamba ahamia DW Ujerumani

Aliyekuwa mtangazaji wa ITV na Radio One Isaack Muyenzwa Gamba (wa pili kulia) akiwa na watangazaji wakongwe wa DW jijini Bonn, Ujerumani alikohamia hivi karibuni. Wengine kutoka kulia ni Mohamed Dahman, Sudi Mnete, Sekioni Kitojo, Abdul Mtulya na mdau.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala atangaza rasmi kuwania ubunge

1525677_749904191774263_4961655255847640040_n

Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala maarufu kwa jina la “kijukuu cha bibi k” katika pozi.

SAM_2530

Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala maarufu kwa jina la “kijukuu cha Bibi K” akiwa amebebwa juu na wakazi wa Ushetu wakati wa mkutano wake wa kutangaza nia kuwania ubunge katika jimbo jipya la Ushetu wilayani Kahama.

SAM_2529 (1)

Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala maarufu kwa jina la “kijukuu cha Bibi K”...

 

11 years ago

Dewji Blog

Seif Sharif Hamadi amtembelea mtangazaji wa Radio Noor FM Mnazi Mmoja Hospital alipolazwa

DSC_1964

Aboubakar Fakih Mtangazaji wa Radio Noor FM 93.3 na nimuajiriwa wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Pichani akiwa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja kwa matipabu ambapo amepata Ajali na kukatika mguu mmoja na mwengine kuumia pamoja na mkono ajali iliyosababishwa na hitilafu ya umeme katika Studio  Masjid Swahaba Mtoni Zanzibar, aliumia baada ya kujirusha kutoka Juu ya Ghorofa Moja.

DSC_1965

Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim. Seif Sharif Hamad akisalimiana na Aboubakar Fakih Mtangazaji wa Radio Noor FM...

 

9 years ago

Bongo5

Mtangazaji wa BBC Radio 1 Xtra ya Uingereza amtaja msanii wa Tanzania wa kutazamwa zaidi 2016

bbc radio 1

Mwaka unapoisha wafuatiliaji mbalimbali wa muziki huwa kwenye nafasi nzuri ya kuwafanyia tathmini wasanii kutokana na kazi walizofanya mwaka mzima, ambazo hutoa miongozo ya kutabiri nafasi ambazo wasanii hao wanaweza kuwa nazo katika mwaka unaofata.

vee

Mtangazaji wa BBC Radio 1 Xtra ya Uingereza, DJ EDu ametaja orodha ya wasanii wake watano wa kuwatazama zaidi mwaka 2016, kutokana na kufanya vizuri mwaka 2015. Katika orodha hiyo amemtaja muimbaji wa Tanzania, Vanessa “Vee Money” Mdee ambaye...

 

10 years ago

Africanjam.Com

VIDEO: MTANGAZAJI WA KIKE ATANGAZA HABARI AKIWA UCHI BAADA YA VENEZUELA KUIFUNGA COLOMBIA

Siku chache kabla ya kuanza kwa Copa America 2015, watangazaji 8 wa kike wa nchi ya Venezuela walitengeneza video wakiwa uchi wakidai kuwasapoti wachezaji wa timu ya taifa kuelekea michuano hiyo.
Venezuel wameandika rekodi ya kushangaza baada ya kuichapa 1-0 Colombia kwenye mechi ya ufunguzi ya Copa America.
Katika kushangilia matokeo hayo, mwanamke mmoja Mtangazaji wa TV, Yuvi Pallares, aliamua kuripoti matokeo ya mechi hiyo akiwa mtupu.


Tazama video yenyewe hapa chini;


Toa maoni yako hapa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MSIBA WA MTANGAZAJI WA ZAMANI WA RADIO TANZANIA MSHINDO MKEYENGE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha aliyekuwa mtangazaji mashuhuri na maarufu wa iliyokuwa Redio Tanzania (sasa TBC Taifa), Ndugu Mshindo Mukeyenge ambaye alifariki dunia mwishoni mwa wiki na kuzikwa jana, Jumatatu, Mei 25, 2015.
Katika salamu alizomtumia Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Sofia Mjema leo, Jumanne, Mei 26, 2015, Rais Kikwete amesema kuwa kifo cha Mzee...

 

9 years ago

Bongo5

Shujaaz radio show na DJ Tee kuanza kuruka hewani kupitia East Africa Radio

EAR - Online Promo

Unamkumbuka yule dogo aliyeanzisha redio stesheni yake nyumbani kwao?

EAR - Online Promo

Bila shaka umewahi kusoma story yake kwenye kijarida cha kila mwezi kiitwacho SHUJAAZ ambacho husambazwa na gazeti la Mwanaspoti na vibanda vya Coca Cola.

Sasa hivi, dogo ana habari mpya na njema kwa vijana na wote wanaomfuatilia. Nyota imeanza kung’ara upande wake na sasa redio kubwa Tanzania EAST AFRICA RADIO imeamua kumpa nafasi aweze kusikika hewani na show yake mpya iitwayo SHUJAAZ.

“Show yangu itahusika na...

 

10 years ago

Michuzi

Exclusive: Maulid Kitenge wa Radio One ahamia Radio EFM

Mtangazaji mahiri wa habari za michezo wa siku nyingi Maulidi Baraka Kitenge amejiunga na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar Es salaam leo.
Kutokana na tafiti ya ipsos ya mwaka 2013,inasemekana kuwa mtangazaji huyo wa zamani wa kituo cha redio one,ndie mtangazaji bora wa michezo nchini Tanzania.
Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM,Dickson Ponela,ameeleza kufurahishwa kwake kwa mtangazaji huyo kinara kuhamia katika kituo hicho.
“Mpaka sasa Maulidi Kitenge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani