Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtanzania mmoja pekee ndio kabaki kwenye Top 10 ya Trace Tv

Tayari nimezikusanya Top 10 za Urban Hit January 6 2016 kutokea kituo  cha kimataifa nchini Ufaransa Trace Tv, zote unazipata hapa chini. 10.DRAKE-HOTLINE BLING 9.TIMAYA FT. DON JAZZY- I CONCUR 8.BRYSON TILLER – DON’T 7.VANESSA MDEE-NEVER EVER 6.TORY LANEZ – SAY IT 5.JUSTIN BIEBER – SORRY 4.TRAVIS SCOTT-ANTIDOTE 3.DAVIDO FT OLAMIDE-THE MONEY 2.ADELE-HELLO 1.PHYNO-CONNECT Unataka […]

The post Mtanzania mmoja pekee ndio kabaki kwenye Top 10 ya Trace Tv appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

‘Game’ ya Navy Kenzo yashika namba 1 kwenye Top 10 ya Trace Urban

game2‘Game’ ya Navy Kenzo wakiwa wamemshirikisha Vee Money inazidi kuthibitisha kuwa ndio imekuwa ufunguo wa mafanikio ya kundi hilo kimataifa, kwa kuendelea kufanya vizuri kwenye chati mbalimbali za vituo vikubwa Afrika na nje. Baada ya kuingia na kufika hadi namba 1 kwenye chati za vituo vikubwa kama MTV Base na Soundcity Tv ya Nigeria, video […]

 

10 years ago

Michuzi

MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUACHIA VIDEO YA KIBAO CHAKE CHA "NICE COUPLE" KWENYE CHANEL YA TRACE LEO.


Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Star Nalimi Mayunga ameachiakibao chake kipya cha " Nice Couple" video itakayorushwa kuanzia leokatika kituo cha DSTV chanel ya Trace Urban 325
MWANZONI mwa mwezi huu, Mshindi huyo wa Airtel Trace Music star alituamjini Johannesburg South Afrika akitokea nchini Tanzania  ili kuanzasafari yake kujiendeleza kimuziki na kufikia ndoto zake mara baada yakuibuka mshindi wa mashindano makubwa yaliyoshirikisha nchi 13 baraniAfrika  yaliyofanyika tarehe 18...

 

9 years ago

MillardAyo

Top 10 ya Rnb ya Trace TV December 17,2015….(+Video)

Najua kuna watu walikuwa na hamu ya kufahamu video zinazofanya vizuri duniani na zilizofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa. kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa leo December 17, 2015 kuangalia hii top 10  yao ya Rnb  kupitia kituo hicho. 10.Tinashe – Party Favors 9.August […]

The post Top 10 ya Rnb ya Trace TV December 17,2015….(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

Meet Airtel Trace Music Star Tanzania Top 5 Contestants

Meet Airtel Trace Music Star Tanzania's  Top 5 Contestants whom Joett has been training. The finale is tomorrow February 7, at the National Museum and House of Culture in Dar es salaam. 
Enjoy  these videos of the contestants.....

 

5 years ago

The Guardian

Recruit volunteer army to trace coronavirus contacts now, urge top scientists

Recruit volunteer army to trace coronavirus contacts now, urge top scientists  The Guardian

 

10 years ago

Michuzi

Ujasiriamali ndio njia pekee ya kujikomboa kiuchumi

Mradi wa Kilimo cha Tangawizi wa kikundi cha ujasiriamlai chaushindi kilichopo katika kijiji cha Mkongotema kata ya Mkongotema tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea.
Na Benjamin Sawe.
Katika ulimwengu wa sasa wenye changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira na ushindani wa kila namna ujasiriamali unabaki kuwa dhana pekee inayoweza kuwakomboa vijana kiuchumi na kuwawezesha kutimiza malengo na ndoto walizonazo.
Kutokana na kukithiri kwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu katika ngazi mbali mbali za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto wa vigogo ndio wenye hatimiliki pekee CCM?

HIVI sasa kuna hekaheka za uchaguzi ndogo wa ubunge katika majimbo mawili ya uchaguzi; Kalenga (Iringa) na Chalinze (Pwani). Miongoni mwa wanaowania ubunge katika majimbo hayo ni watoto wa vigogo,...

 

9 years ago

MillardAyo

Hizi ndio rekodi 7 za Cristiano Ronaldo alizoweka mwaka 2015 pekee …

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo amefanikiwa kuweka rekodi kadhaa kubwa katika soka, ukiachana na kutwaa tuzo ya tatu ya mchezaji bora wa Dunia  Ballon d’Or kwa mwaka 2015, Ronaldo amefanikiwa kuweka rekodi 7 mpya. 7- Ronaldo amefanikiwa kufunga jumla ya hat-trick 28 katika kipindi cha mwaka […]

The post Hizi ndio rekodi 7 za Cristiano Ronaldo alizoweka mwaka 2015 pekee … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Bongo5

Ushirikiano huu wa Afrika Mashariki ndio njia pekee ya kula sahani moja na Wanaijeria!

Kwa mtazamo wetu, Afrika Mashariki haijawahi kuwa na ushirikiano wa karibu kama tunaouona sasa. Hebu tuangalie kwa ufupi.. Turudi nyuma hadi pale Victoria Kimani alipowashirikisha Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz kufanya wimbo Prokoto. Shaa alichaguliwa na kituo cha Citizen TV kuwa host wa show yao ya Sakata Mashariki na kiukweli watazamaji wamempokeza vizuri. Shaa huyo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani