Mtemvu anunua albamu ya Nabii Yaspi Mil. 3/-
MBUNGE wa Temeke, Abbas Mtemvu (CCM), mwishoni mwa wiki alinunua DVD ya albamu ya nyimbo za injili ya Nabii wa Kanisa hilo, Yaspi Bendera kwa sh. Milioni tatu. Mtemvu alifanya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLNABII YASPI AWAPONYA WAGONJWA KWA KUTUMIA PAFYUMU DAR
10 years ago
GPLNABII YASPI BENDERA ATINGA GLOBAL, ATOA UTABIRI KUHUSU UGONJWA WA EBOLA
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Mtemvu agawa vyakula vya mil.6/-
MBUNGE wa Temeke, Abbas Mtemvu amegawa vyakula vyenye thamani ya sh milioni sita kwa vituo 15 vya kulea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu wilayani Temeke jijini Dar es...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e94-*Sv1fqpVOefc4LYTw7ZNBZONQynAqPkAHZLxjEuH9pSdt*G2iQiZjjBi8iycQkLDGI3Aa7WQhMdfI5zkvl2R9CpkMu2A/NELLY.jpg?width=650)
NELLY KAMWELU ANUNUA LIPSTIK KWA MILIONI 6
10 years ago
Bongo523 Jan
Picha: Idris Sultan anunua nyumba hii ya kifahari!
10 years ago
Bongo517 Sep
Diddy anunua na kuhamia kwenye nyumba ya thamani ya shilingi bilioni 66!
9 years ago
Bongo515 Dec
Picha: Mayweather anunua saa yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2
![1214-floyd-mayweather-tmz-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1214-floyd-mayweather-tmz-2-300x194.jpg)
Floyd Mayweather amefanya yake tena.. Bondia huyo bingwa wa kuchezea hela, amenunua saa ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 1.1 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 2.
Ameinunua saa hiyo kwenye safari yake ya Dubai.
Mwakilishi wake ameiambia TMZ: The watch is roughly $1.1 million. This is just one of his big purchases.”
Saa hiyo ni ya chapa ya Hublot ambayo imezungushiwa almasi.
Inasemekana kuwa Floyd ametumia zaidi ya dola milioni 1.5 katika siku mbili alizokaa Dubai.
Hii ni mara ya...
11 years ago
Michuzinews alert: ankal anunua ndege kuondokana na adha ya foleni jijini dar es salaam