NELLY KAMWELU ANUNUA LIPSTIK KWA MILIONI 6
![](http://api.ning.com:80/files/e94-*Sv1fqpVOefc4LYTw7ZNBZONQynAqPkAHZLxjEuH9pSdt*G2iQiZjjBi8iycQkLDGI3Aa7WQhMdfI5zkvl2R9CpkMu2A/NELLY.jpg?width=650)
Na Musa Mateja MREMBO aliyewahi kunyakua Taji la Dunia la Miss Universe, Nelly Kamwelu, juzikati alionesha jeuri ya pesa baada ya kutoa shilingi milioni 6 za Kitanzania kwa ajili ya kununua rangi ya mdomo (Lipstick) katika mnada uliofanyika wakati wa sherehe ya bethidei ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. Mrembo aliyewahi kunyakua Taji la Dunia la Miss Universe, Nelly Kamwelu. Tukio hilo lilijiri usiku wa kuamkia Novemba 2,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0DRPrPYaDrdn6418bK8uwr32l00eRbav0fP6vFF84rA46kaoxRFqF8V3dxTAMFeBo6GqIshXfGRmBx7D24HD6y6/TanzaniaNellyKamwelu.jpg?width=650)
NELLY KAMWELU AWASHANGAA WANAOSEMA KACHUJA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OhApmEZXsNY/VC6e9Ks6MBI/AAAAAAAGnkY/MC6e1mxJa5Y/s72-c/Nelly%2BKamwelu%2BNew%2BYork.jpg)
MISS UNIVERSE TANZANIA 2011 NELLY KAMWELU ENROLLS AT THE NEW YORK FILM ACADEMY
![](http://4.bp.blogspot.com/-OhApmEZXsNY/VC6e9Ks6MBI/AAAAAAAGnkY/MC6e1mxJa5Y/s1600/Nelly%2BKamwelu%2BNew%2BYork.jpg)
Nelly Kamwelu won the Miss Universe Tanzania and Miss Southern Africa International titles in 2011. She...
11 years ago
Bongo516 Jul
Davido anunua saa ya dhahabu ‘Gold Rolex Sky-Dweller watch’ yenye thamani ya milioni 60
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-z9Uu1Xln-jQ/Ve2krjgzCBI/AAAAAAAAKrw/E78KDXqYvvQ/s72-c/mafuriko%2Bhadi%2Bikulu.jpg)
Lowassa asema atapunguza mshahara wa Rais toka milioni 400 kwa mwezi hadi milioni mbili
![](http://4.bp.blogspot.com/-z9Uu1Xln-jQ/Ve2krjgzCBI/AAAAAAAAKrw/E78KDXqYvvQ/s640/mafuriko%2Bhadi%2Bikulu.jpg)
Katika hotuba yake amesema haingii ikulu kutafuta fedha anaenda ikulu kwa kazi moja tu ya kuhakikisha wananchi wanakuwa na maendeleo . Amesema dhamira yake ni kuona taifa linasonga mbele kwa kasi ya ajabu.Amesema atapunguza mshahara wa Rais ambao analipwa hivi sasa dola 192,000 sawa na milioni mia nne kwa mwezi hadi kufikia milioni mbili kwa mwezi amesema kuna faida gani ya mtu kupokea mshahara wote huo ili hali wananchi wako hawana maji , zahanati hakuna dawa, pembejeo za kilimo zipo juu,...
11 years ago
Dewji Blog![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/10377548_761233197231830_1716468337113105179_n.jpg)
Diamond uso kwa uso na Nelly kwenye red carpet ya tuzo za BET nchini Marekani
Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Flava Nasib Abdul almaarufu kama Diamond Platinumz a.k.a Rais wa wasafi leo amepost picha akisalimiana na msanii wa muziki wa kufokafoka wa nchini Marekani Nelly kwenye red carpet wakati wa sherehe za tuzo za BET ambapo ameandika hivi ” Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu mtoto unakua, na tangu unaanza muziki haujui utoke vipi… kiukweli ni jambo ambalo linatia Moyo na nguvu sana ili uzidi...
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-IiQiNy84WPo/VQaN_P9R3TI/AAAAAAAB5nU/inMKj4V172s/s1600/2G2A4891.jpg)
MBUNGE FILIKUNJOME ATIMIZA PIA AHADI YA UJENZI WA DARAJA MTO KITEWAKA KWA TSH MILIONI 248, ASAIDIA VIFAA VYA UJENZI KWA TSH MILIONI 248
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
Mtemvu anunua albamu ya Nabii Yaspi Mil. 3/-
MBUNGE wa Temeke, Abbas Mtemvu (CCM), mwishoni mwa wiki alinunua DVD ya albamu ya nyimbo za injili ya Nabii wa Kanisa hilo, Yaspi Bendera kwa sh. Milioni tatu. Mtemvu alifanya...
10 years ago
Bongo523 Jan
Picha: Idris Sultan anunua nyumba hii ya kifahari!