Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MISS UNIVERSE TANZANIA 2011 NELLY KAMWELU ENROLLS AT THE NEW YORK FILM ACADEMY

Miss Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu is in New York and has started her studied in acting at the New York Film Academy . New York Film Academy-School of Film and Acting (NYFA) is a for-profit film school and acting school based in New York City. Nelly’s enrollment is part of her scholarship to the institution that she was awarded when she won the Miss Universe Tanzania title.
Nelly Kamwelu won the Miss Universe Tanzania and Miss Southern Africa International titles in 2011. She...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Banky W na Millen Magese wanasoma chuo kimoja, New York Film Academy

Miss Tanzania wa zamani, Happiness Millen Magese na CEO wa label ya EME (iliyomtoa Wizkid), Banky W ambaye pia ni muimbaji wa R&B, wanasoma kwenye chuo kimoja, New York Film Academy. Wawili hao pia ni marafiki wa karibu. Banky W na Millen Magese wakiwa na sehemu ya timu kwenye project hiyo Kama sehemu ya kazi […]

 

9 years ago

GPL

NELLY KAMWELU AWASHANGAA WANAOSEMA KACHUJA

Miss Universe 2011, Nelly Kamwelu amewashangaa watu wanaodhani kukaa kwake kimya kachuja na kusema kuwa bado analipa na anavutia. Akichezesha taya na Amani, Nelly alisema kuwa bado yupoyupo sana na kwa sasa anajishugulisha na mambo ya urembo ambapo anapata tenda za kuonesha mitindo katika nchi mbalimbali.   ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1EY9bn1 ...

 

9 years ago

GPL

NELLY KAMWELU ANUNUA LIPSTIK KWA MILIONI 6

Na Musa Mateja MREMBO aliyewahi kunyakua Taji la Dunia la Miss Universe, Nelly Kamwelu, juzikati alionesha jeuri ya pesa baada ya kutoa shilingi milioni 6 za Kitanzania kwa ajili ya kununua rangi ya mdomo (Lipstick) katika mnada uliofanyika wakati wa sherehe ya bethidei ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. Mrembo aliyewahi kunyakua Taji la Dunia la Miss Universe, Nelly Kamwelu. Tukio hilo lilijiri usiku wa kuamkia Novemba 2,...

 

9 years ago

Michuzi

MISS TANZANIA Lorraine at Miss Universe 2015

 Lorraina C. Marriot, Miss Universe Tanzania 2015 poses for a photo at The Venetian in Las Vegas, Nevada on Monday, December 7th. The 2015 Miss Universe contestants are touring, filming, rehearsing and preparing to compete for the DIC Crown in Las Vegas. Tune in to the FOX telecast at 7:00 PM ET live/PT tape-delayed on Sunday, Dec. 20, from Planet Hollywood Resort & Casino in Las Vegas to see who will become Miss Universe 2015. HO/The Miss Universe OrganizationKeywords: Miss Universe 2015,...

 

10 years ago

Vijimambo

MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AELEKEA MIAMI TAYARI KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA

Mrembo wa miss Universe Tanzania 2014 ameondoka rasmi nchini kuelekea nchini Marekani kwenye fainali za dunia za Miss Universe zitakazofanyika jijini Miami tarehe 25 mwezi huu wa januari 2015.

 

11 years ago

Michuzi

Miss Universe Tanzania washiriki fashion show Moscow ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania

 Betty Boniface Nelly Kamwelu
Warembo wawili wa waliowahi kushinda taji la Miss Universe, Nelly Kamwelu na Betty Boniface leo (Jumamosi) watapanda jukwaani mjini Moscow, Urusi kushiriki katika maonyesho ya mavazi ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Warembo hao waliondoja nchini juzi na tayari wapo mjini Moscow kwa ajili ya maonyesho hayo ambayo pia yatashirikisha waonyesha mavazi mbali mbali wa Tanzania.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Compass Communications, Maria...

 

10 years ago

Michuzi

Winners of Miss Universe Tanzania 2014

Winners of Miss Universe Tanzania 2014 Nale, Carolyne and Zara

 

9 years ago

Mwananchi

Marriott awa Miss Universe Tanzania

Mrembo Lorraine Marriott, juzi usiku alitwaa taji la Miss Universe Tanzania baada ya kuwashinda warembo tisa walioshindana naye katika shindano hilo kwenye ukumbi wa King’s Solomon.

 

9 years ago

Michuzi

Lorraine Marriot - Miss Universe Tanzania 2015

Picha ya Lorraine Marriot -Miss Universe Tanzania 2015 akiwa Las Vegas - Official Photo Head shot

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani