Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtibwa kujiuliza kwa Ndanda

Mtibwa Sugar iliyojeruhiwa katika mechi mbili zilizopita, inaikabili Ndanda kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara katika mchezo wa Ligi Kuu. Nayo Coastal Union itaikaribisha Mbeya City kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Oljoro backtrack on decision to sue Mtibwa and Ndanda

Oljoro FC have backtracked on their decision to sue Vodacom Premier League clubs, Ndanda and Mtibwa Sugar, for “poaching” their players.

 

9 years ago

Dewji Blog

Cecafa Senior Challenge tayari kwa kutimua vumbi, Zanzibar Heroes kujiuliza kwa Burundi leo

2-5

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mashindano ya Cecafa Senior Challenge yanayoandaliwa na Chama cha Soka kwa Ukanda wa Afrika Mashariki yanatarajiwa kuanza leo nchini Ethiopia.

Ratiba ya michezo ya leo;

GROUP: B

Burundi – Zanzibar       14:00 EAT

GROUP: A

Ethiopia – Rwanda       16:00 EAT

 CECAFA      

 

9 years ago

Mwananchi

Coastal Union kujiuliza kwa Kagera Sugar

Coastal Union haijawahi kushinda katika michezo sita iliyocheza hadi sasa na itabidi iingie uwanjani leo kusaka ushindi wake wa kwanza mbele ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga.

 

11 years ago

Mwananchi

Wachovu Manchester United kujiuliza kwa Sunderland leo

>Manchester United wanatakiwa kusahau mwendo wao mbovu katika mbio za ubingwa wa ligi, lakini kocha David Moyes anatakiwa kuhakikisha wanamaliza msimu wakiwa hata na kombe moja la ndani.

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa

Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC. Huu ni mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, baada ya Azam FC kusawazisha goli, lakini pia kuna goli lilifungwa na Mtibwa Sugar lilikataliwa na muamuzi na kuleta […]

The post Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Habarileo

Azam yaenda kujaribu bahati kwa Ndanda

WAKATI michuano ya Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara ikitarajiwa kuendelea kesho na keshokutwa katika viwanja mbalimbali nchini, timu ya Azam inatarajiwa kuondoka leo kwenda Mtwara kuifuata Ndanda FC ya huko, huku Simba ikiwa jijini Mbeya kuikabili Prisons na Yanga ikiwakaribisha Toto Africans jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yasaka mabao mengi kwa Ndanda leo

Yanga iliyo katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi inaikabili Ndanda ya Mtwara leo na ikihitaji mabao mengi ambayo yataiweka kileleni mwa Ligi Kuu. Klabu hiyo imetamka kuwa ingetaka ishinde kwa mabao mengi leo dhidi ya Ndanda kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Winga Simon Msuva amewataka wenzake kucheza kwa nguvu, kujituma ili kuhakikisha wanapiga mabao hayo dhidi ya wageni hao kutoka Mtwara.

 

9 years ago

Mtanzania

Manchester City kujiuliza kwa Swansea City EPL

Manchester-City-v-Bayern-MunichLONDON, UINGEREZA

HII inaweza kuwa nafasi nyingine kwa klabu ya Manchester City ya kuongoza Ligi Kuu England kwa tofauti ya mabao ikiwa itaweza kuifunga mabao zaidi ya mawili klabu ya Swansea City.

Hatua hiyo inakuja baada ya kuonekana endapo itafanikiwa kupata alama tatu katika mechi hiyo itafungana kwa alama 32 dhidi ya kinara wa ligi hiyo, Leicester City, hivyo itazilazimu klabu hizo kutofautiana kwa mabao ya kufunga.

Hata hivyo, endapo Manchester City itafanikiwa kupata matokeo mazuri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani