Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Oljoro backtrack on decision to sue Mtibwa and Ndanda

Oljoro FC have backtracked on their decision to sue Vodacom Premier League clubs, Ndanda and Mtibwa Sugar, for “poaching” their players.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mtibwa kujiuliza kwa Ndanda

Mtibwa Sugar iliyojeruhiwa katika mechi mbili zilizopita, inaikabili Ndanda kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara katika mchezo wa Ligi Kuu. Nayo Coastal Union itaikaribisha Mbeya City kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.

 

10 years ago

Daily News

Mramba, Yona backtrack on bail bid


Mramba, Yona backtrack on bail bid
Daily News
TWO former cabinet ministers, Basil Mramba and Daniel Yona, have changed their minds and decided to withdraw an application for bail they lodged before the High Court, pending appeal against both conviction and three-year imprisonment sentence ...

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa

Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC. Huu ni mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, baada ya Azam FC kusawazisha goli, lakini pia kuna goli lilifungwa na Mtibwa Sugar lilikataliwa na muamuzi na kuleta […]

The post Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

GPL

Morocco atamba kuipaisha Oljoro

Kikosi cha JKT Oljoro. Na Amisa Mmbaga
KOCHA wa JKT Oljoro, Hemed Morocco, amesema atahakikisha anakipika vilivyo kikosi chake na kuwa tishio kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara. Morocco amejiunga na Oljoro kwa mkataba wa mwaka mmoja mara baada ya ajira yake katika timu ya Coastal Union kufikia tamati hivi karibuni. Morocco ambaye ameanza majukumu mapya katika timu hiyo inayoshika nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi,...

 

9 years ago

StarTV

JKT Oljoro yatinga kileleni.

Maafande wa JKT Oljoro wametinga  kileleni mwa kundi C baada ya kuwachezesha kwata  maafande wenzao  wa Polisi Tabora kwa bao 1-0, katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.

Haikuwa rahisi kwa wafunga buti hao wa Oljoro kupata bao hilo mapema kwani iliwabidi wasubiri hadi kipindi cha kwanza kimalizike.

Kipindi cha pili kilianza kwa kila timu kuanza kwa kasi  baada ya makocha wa timu zote mbili kufanya mabadiliko ya wachezaji , mabadiliko hayo yalizaa matunda kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kimbunga Tambwe chaikumba Oljoro

Mshambuliaji Amis si Tambwe amefunga mabao matatu peke yake na kuisaidia Simba kuisambaratisha Oljoro JKT 4-0 jana katika mechi ya Ligi Kuu bara iliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni Simba vs Oljoro, Ashanti vs Mgambo

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC, leo wanajitupa ndani ya dimba la Taifa jijini Dar es Salaam kuwaalika maafande wa JKT Oljoro ya Arusha katika pambano la Ligi Kuu ya Vodacom,...

 

11 years ago

Mwananchi

Rhino, Oljoro kubaki ni kudra

Wakati Azam, Yanga na Mbeya City wakisaka ubingwa, tayari timu tatu za Rhino Rangers, Oljoro JKT,Ashanti United ziko iwa kwenye hatari kubwa ya kushuka darajamsimu huu.

 

9 years ago

TheCitizen

Chadema: We’ll sue Magufuli

Chadema yesterday announced its intention to sue CCM presidential candidate John Magufuli for unlawfully using  the party’s M4C trademark.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani