Mtikila, Chipaka, Malisa, Sombi nje urais 2015
Tume ya Uchaguzi (NEC) imewaengua wagombea urais wa vyama vya Ada/Tadea, DP, CCK na AFP leo
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MBIO ZA URAIS 2015: MCHUNGAJI MTIKILA WA DP, FAHMI DOVUTWA WA UPDP,MAXMILLIAN LYIMO WA TLP WACHUKUA FOMU ZA UTEUZI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NEC


10 years ago
Vijimambo08 Feb
BREAKING NEWS,TEDRO WATOA REPOTI YA VIJANA WANAOTEGEMEWA KUSHINDA URAIS 2015,MWIGULU NCHEMBA AONGOZA NDANI NA NJE YA CHAMA




Hii ni sehemu ya ripoti hiyo iliyosomwa hii leo kwa waandishi wa habari Jijini Dsm,Ripoti kamili Kukujia hivi Punde.
10 years ago
Mwananchi23 Feb
SIASA: Vita ya urais CCM nje nje
>Wakati joto la urais likizidi kupanda ndani ya CCM kutokana na hofu ya baadhi ya majina mazito ya wagombea wa nafasi hiyo kukatwa kwa mizengwe, vita vya wagombea sasa ni dhahiri baada ya mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM kusema hakuna mtu atakayekatwa bila ya sababu za msingi.
10 years ago
Mwananchi02 Aug
Mtikila achukua fomu ya urais kwa shingo upande
Wakati Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party (DP), Christopher Mtikila akigoma kusaini fomu za kugombea urais akitaka ufafanuzi wa mgombea binafsi, Mwenyekiti wa UPDP, Fahmi Dovutwa amekwama kwenye lifti za jengo lililopo katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi (NEC) kutokana na kukatika umeme.
10 years ago
Vijimambo
Utabiri: Mgombea Urais kufa akitafuta urais 2015

Mrithi wa Mnajimu na Mtabiri wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein, ametabiri kwamba kiongozi mmoja mzee aliye kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais, atadondoka ghafla kwenye jukwaa na kufa mwakani.Amesema kiongozi huyo, ambaye hakumtaja jina, atafariki dunia baada ya tukio hilo wakati akikimbizwa hospitali.Alitangaza utabiri huo, alipozungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kutumia kwa utabiri...
10 years ago
Mwananchi02 Jun
NANI NI NANI URAIS: Mchungaji Christopher Mtikila: Mwenyekiti DP
>Mchungaji Christopher Mtikila ni Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP) ambacho kina usajili wa kudumu hapa Tanzania. Alizaliwa mwaka 1950 (ana umri wa miaka 65) mkoani Njombe, Kusini mwa nchi yetu.
10 years ago
Vijimambo
Mtikila Amerusha Kombora Kwa Mgombea Urais Edward Lowasa..Nimekuwekea Hapa Hilo Kombora

KATIKA UCHAGUZI MKUU HUU TUSIRUHUSU MAFISADI WALICHEZEE TAIFA
Edward Lowasa ni balaa kwa Taifa!
Democratic Party (DP) inatarajia kufikisha Mahakamani chama chaCCM pamoja na wanachama wake sita, Edward Lowasa na wengine,kwa mujibu wa Ibara ya 26 ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania, kwa kosa
kubwa sana la kuvunja Katiba na Sheria za Nchi kwa kuanza kampeniya Uchaguzi kabla ya wakati unaopasa kwa mujibu wa Sheria.1 Tunao ushahidi mzito unaothibitisha kwamba Edward Lowasa nawenzake walianza kampeni ya...
10 years ago
BBCSwahili31 Jul
Uganda:Mbabazi kuwania urais nje ya NRM
Mpinzani mkuu wa rais Yoweri Museveni ametangaza kuwa atawania urais mwakani kama mgombea wa kibinafsi wala sio kwa tikiti ya NRM
10 years ago
Michuzi31 Jul
UGANDA:MBABAZI KUWANIA URAIS NJE YA CHAMA CHA NRM

Mbabazi ametangaza hilo muda mchache uliopita akiwa nyumbani kwake Kololo katika siku ya mwisho ya kurejesha fomu za uwaniaji wadhfa katika chama hicho tawala.
''kamwe sitatoka NRM''.''Lakini sitaweza kugombea urais katika tikiti ya chama hicho cha NRM ilihali vipengee vingi tu vya vya chama vinakiuka katiba ya nchi''.'' sitawania urais kwa tikiti ya NRM...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania