MTOTO ALIA NA KUSEMA: NIMECHOKA KUBAKWA NA BABA!
![](http://api.ning.com:80/files/HfUvPSttO0I5Jo4pBNTIn-3VbuiXIjnzndzLOztf1lFRttCXn7tsBTRU-tI5GpOp4PrnD640yOe1UguWpyFSfENg1W6PHYdp/mtoto2.jpg?width=650)
Stori: JOSEPH NGILISHO, Arusha AMA kweli dunia sasa inaserereka! Katika hali ya kusikitisha, baba mzazi mwenye familia ya watoto watatu, mkazi wa Kambi ya Fisi jijini hapa, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka binti yake wa kumzaa hadi mtoto akafungua kinywa na kusema: “Nimechoka kubakwa na baba.†Mtoto aliyebakwa na baba yake mzazi. Tukio hilo lililobumburuka hivi karibuni limewaacha watu vinywa wazi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Mtoto afa kwa kubakwa
MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kijiji cha Nyangoto, wilayani Tarime, amefariki dunia baada ya kubakwa. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Justus Kamugisha, alisema jana...
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Sungura alaani mtoto kubakwa, kuuawa
NAIBU Waziri kivuli wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sabrina Sungula, amelaani kitendo cha mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Habarileo20 Oct
Mtoto anywa sumu baada ya kunusurika kubakwa
JESHI la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtoto mmoja (16) ambaye ni mkazi wa barabara ya 20 jiijini humo, kwa kosa la kunywa sumu kwa lengo la kutaka kujiua, baada ya kunusurika kubakwa na baba yake wa kambo.
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Tamwa yalaani mtoto wa miaka minne kubakwa
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
NEWS ALERT: Mtoto wa miaka 5 apoteza maisha baada ya kubakwa na watu wasiojulikana Mkoani Kigoma!
Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma SACP Ferdinand Mtui akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya tukio la kubakwa kwa mtoto wa miaka 5, lililotokea jana mkoani humo. (Picha na mwanahabari wetu)
Na Mwandishi Wetu
[KIGOMA] Mtoto mmoja alitambulika kwa majina, Asifiwe Amos mwenye miaka mitano (5) na mkazi wa kijiji cha Katuguru Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma amefariki dunia baada ya kubakwa na watu wasiojulikana na kupelekea kifo chake hicho.
Akizungumza na Waandishi wa...
9 years ago
Bongo517 Aug
Utani Huu: Mpambe wa Ex wa Zari anataka DNA ya mtoto wa Diamond, anadai yeye ni baba, juzi alidai Ivan ndio baba!
10 years ago
Bongo519 Feb
Dully Sykes alia na wasanii waliomtenga kwenye msiba wa baba yake
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvoxp7jhEtIttsBcBmRCZPoTj8V-5yWqxtEMEIjIHFezAeIzbccY7f4YZeqav3DcfVIilc0yyIgB5BKLtNPB19GLJOc0r15O/wolper.jpg)
WOLPER ALIA KUTOPATA MTOTO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i*tFWQTF2R9iQ98R69gDFMO*gZiXoNdxDUX651LMYJUB1TsvB7PHD6JJl555P9c*DhnaeftrLlBWOhyQPkDY7dn3mhrNoRsu/wema.jpg?width=650)
WEMA SEPETU ALIA KUTOPATA MTOTO!