Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO AOKOTWA KAMBINI

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro.
ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kambi ya Pangawe mkoani Morogoro wamemuokota mtoto mwenye umri wa miaka sita, Mwajuma Athuman aliyedai kukimbia mateso kutoka kwa mama yake mkubwa Juni 17, mwaka huu. Mwajuma Athuman akiwa na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Mohamed Said, aliyejifunika (kulia) ni mama anayedaiwa kumtesa mtoto huyo. Habari zilizopatikana eneo la tukio zinasema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MTOTO AOKOTWA AMEKATWA MAPANGA

Stori: Makongoro Oging’
MTOTO Ismail Barihegi, mwenye umri wa miaka 12 mkazi  wa Kijiji cha  Fukayosi wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ameokotwa akiwa amekatwa  mapanga baada ya kudaiwa kuipeleka mifugo yao katika mashamba. Mtoto Ismail Barihegi. Barihegi ambaye amelazwa katika Jengo la Mwaisela Wodi na 17, Muhimbili, alimwambia mwandishi wa habari hizi kwamba siku ya tukio (hakumbuki)alikuwa akichunga...

 

11 years ago

GPL

MTOTO AOKOTWA GETINI AKIWA NA NGUO KWENYE RAMBO

MTOTO mwenye umri unaokadiriwa kuwa mwaka mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, aliokotwa huko Kibamba CCM, jijini Dar es Salaam, nje ya geti la nyumba ya Getruda Gervans. Mtoto aliyetelekezwa (jina halikufahamika), mwenye umri unaokadiriwa kuwa mwaka mmoja. Tukio hilo lilitokea  Juni 24, mwaka huu saa moja na nusu asubuhi huku mfuko wenye nguo zake ukiwa pembeni yake.… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiongozi wa vijana JKT atekwa, aokotwa

Utata umezingira suala la kijana George Mgoba, ambaye amekuwa akijitambulisha kuwa kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) baada ya habari kuwa alitekwa na baadaye kutupwa kwenye Msitu wa Pugu, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Rais Chuo Kikuu Bugando aokotwa akiwa hoi Mwanza

>Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya na Tiba Bugando (Cuhas), Mussa Mdede ambaye alitoweka katika mazingira ya kutatanisha Juni 17, mwaka huu ameokotwa eneo la Busagara mkoani hapa akiwa hajitambui.

 

10 years ago

Vijimambo

MSICHANA AOKOTWA AKIWA TABANI KATIKA UCHOCHOLO WA BAR YA GALAX MJINI KAHAMA


Huyu ni msichana ambaye alikutwa katika uchocholo wa club za bar usiku kati ya galax majira ya asubuhi saa 12 akiwa hajitabuhi Baadhi ya wanachi wakijaribu kumuongalia bint huyo akiwa ana fahamu  huku akiwa katika kichocholo huku nguo zake zikiwa zimechanwa na watu wasifamika mjini kahama. Askari  polisi wa kituo cha polis kahama thomas munyongo akijaribu kumtabua msichana huyo  na bila mafanikio na kuomba msanda katika kituo cha polisi . Baadhi ya watu wakijaribu kumtambua msichana huyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbeya City kambini Julai 15

TIMU ya Mbeya City iliyokuja kwa kasi katika tasnia ya Soka hapa nchini, inatarajia kuingia kambini Julai 15 ikiwa ni maandalizi ya ligi Kuu Tanzania Bara. Kocha Mkuu wa Mbeya...

 

10 years ago

Mwananchi

Taifa Stars yaingia kambini

Taifa Stars inaingia kambini leo kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Benin itakayochezwa Oktoba 12 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stars yarejea kambini Mbeya

KIKOSI cha timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars kesho kinatarajia kwenda jijini Mbeya kuendelea kujifua kuelekea mechi ya marudiano dhidi ya Msumbiji itakayochezwa wiki mbili zijazo, mjini Maputo, Msumbiji....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani