Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto mlemavu afungiwa ndani m

Vitendo vya ukatili na unyanyasaji dhidi ya watoto wenye ulemavu wilayani Karagwe, vimezidi kukithiri huku wadau wanaotetea haki za watoto wakiendelea kutoa wito kwa wananchi kutoa ushirikiano kukabiliana na tatizo hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

HOFU YA MAFURIKO: Mtoto mlemavu afungiwa darini miezi minne Mtwara

>Mtoto Abdul Mohamedi (13) ambaye ni mlemavu wa viungo, amelazimika kuishi darini kwa miezi minne mfululizo kukwepa kudhuriwa na mafuriko kutokana  mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini Mtwara.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa mwaka mmoja afungiwa ndani kwa miezi sita huku akiteswa na kula magodoro Dar

 

SONY DSC

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura.

Katika kile kinachoelezwa kitendo cha kikatili, dhidi ya watoto kushamiri, Mtoto wa mwaka mmoja na miezi sita (jina limehifadhiwa ),anadaiwa kuteswa na mama yake mzazi kwa kipindi cha miezi kumi akiwa amefungiwa ndani huku akila magodoro baada ya kubainika na majirani.

Kwa mujibu wa taarifa ya Neema Brian wa mtandao wa http://sautiyamnyonge.com alibainisha kuwa, Mtoto huyo ambaye amelazwa katika hospitali ya Mwananyamala, ambaye...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Mtoto afungiwa miaka 10 kwenye banda la mbuzi

JUNI 21 ilikuwa ni siku ya kawaida kwa Mama Nancy mkazi wa Narok nchini Kenya, lakini ilifichua siri nzito ya mtoto aliyefichwa kwa miaka kumi katika banda la mbuzi. Akiwa katika shughuli zake za nyumbani, mara akatokea mtoto mdogo wa jirani yake aitwaye Jane. Binti huyo akaanza kucheza na wenzake kwa dakika kadhaa na mara akaacha michezo na kuanza kukimbia kuelekea nyumbani kwao. Wenzake wakamuuliza “mbona unakimbia wakati bado tunacheza”. Akajibu, “nakwenda kwenye banda la mifugo kumpa...

 

10 years ago

Habarileo

‘Mke’ wa mbunge avamia kikao na mtoto mlemavu

ANAYEDAIWA aliyewahi kuwa mke wa mbunge wa jimbo la Dimani Zanzibar, Abdallah Sharia Ameir (CCM), Hawa Deus, jana alivamia kikao cha Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala akiwa amesindikizwa na kundi la watu ambao mmojawao alikuwa amembeba mtoto wa mbunge huyo mwenye ulemavu, huku wakipiga kelele na kuwaacha wabunge na viongozi wa dini waliokuwepo kupigwa na butwaa.

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto aishi ndani ya boksi miaka 3

MTOTO wa miaka minne (jina limehifadhiwa), amedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu, kwa kufungiwa ndani ya boksi kama mnyama, ili asimuambukize mama mlezi virusi vinavyosababisha Ukimwi. Unyama huo wa kusikitisha, umefanyika muda wote huo kwa mtoto huyo Morogoro mjini katika mtaa wa Azimio bila kuripotiwa popote, huku wakazi na majirani wa nyumba hiyo wakisikia akikohoa na kulia usiku, na baba yake mzazi akiendelea na maisha kwa kumuogopa mkewe.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mama amtelekeza mtoto ndani ya karatasi

Mwanamke mmoja aliyemtelekeza mwanawe ndani ya karatasi ya plastiki katika bustani aponea kufungwa jela

 

11 years ago

GPL

MTOTO ALIYEISHI NDANI YA BOKSI MIAKA ...

Stori:  DUSTAN SHEKIDELE, Morogoro
WAKATI bado wananchi wakiwa wanajiuliza kilichosababisha mama mkubwa wa mtoto Nasra Mvungi kumficha binti huyo mwenye miaka minne ndani ya boksi, makubwa yameibuka kuhusu chanzo hasa cha malezi hayo ya kudhalilisha. Mtoto aliyedaiwa kuishi ndani ya biksi kwa miaka mitatu akiwa na baba yake na kati ni Mama mkubwa wa mtoto huyo Nasra Mvungi anayedaiwa kufanya kitendo hicho. Kwa mujibu wa...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Mtoto aliyetupwa ndani ya gunia na mama yake

Na Albano Midelo BARAKA Ndunguru mtoto wa kike aliyesimama pichani, alizaliwa mwaka 1999 akiwa na mwezi mmoja aliwekwa kwenye gunia na kutupwa kwenye mkondo wa maji ya mvua na mama yake katika kijiji cha Tukusi wilayani Mbinga mkoani Ruvuma. Hata hivyo Baraka  aliokotwa na msamaria mwema  na kupelekwa katika kituo cha kulelea watoto yatima cha watawa wabenediktine wa shirika la mtakatifu Agnes Chipole Songea mkoani Ruvuma ambapo amekuwa analelewa hadi sasa akiwa anasoma darasa la sita katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani