Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto afungiwa miaka 10 kwenye banda la mbuzi

JUNI 21 ilikuwa ni siku ya kawaida kwa Mama Nancy mkazi wa Narok nchini Kenya, lakini ilifichua siri nzito ya mtoto aliyefichwa kwa miaka kumi katika banda la mbuzi. Akiwa katika shughuli zake za nyumbani, mara akatokea mtoto mdogo wa jirani yake aitwaye Jane. Binti huyo akaanza kucheza na wenzake kwa dakika kadhaa na mara akaacha michezo na kuanza kukimbia kuelekea nyumbani kwao. Wenzake wakamuuliza “mbona unakimbia wakati bado tunacheza”. Akajibu, “nakwenda kwenye banda la mifugo kumpa...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Amfungia mtoto katika banda la mbuzi kwa miaka 10

>Juni 21 ilikuwa ni siku ya kawaida kwa Mama Nancy mkazi wa Narok nchini Kenya, lakini ilifichua siri nzito ya mtoto aliyefichwa kwa miaka kumi katika banda la mbuzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto aishi kwenye zizi la mbuzi miaka 10

>Wakati tukio la mtoto Nasra kuishi kwenye boksi kwa miaka minne na hatimaye kifo chake halijasahaulika, mtoto mwingine mwenye ulemavu amebainika akiwa amefungwa kwenye zizi la mbuzi kwa miaka 10.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto mlemavu afungiwa ndani m

Vitendo vya ukatili na unyanyasaji dhidi ya watoto wenye ulemavu wilayani Karagwe, vimezidi kukithiri huku wadau wanaotetea haki za watoto wakiendelea kutoa wito kwa wananchi kutoa ushirikiano kukabiliana na tatizo hilo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mzee Mwinyi atembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCC) kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru yanayoendelea Mnazi Mmoja

DSC_0106

Rais  mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassani Mwinyi  akimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Charles Chacha wakati alipotembelea katika banda la Mamlaka hiyo  katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

03

Rais Msaafu wa awamu ya pili Ali Hassani Mwinyi akikabidhiwa nyaraka na Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Charles Chach, zenye ujumbe wa...

 

9 years ago

Michuzi

NYOSO AFUNGIWA MIAKA MIWILI

NYOSO AFUNGIWA MIAKA MIWILIKamati ya masaa 72 ya uendeshaji wa Ligi Kuu iliyokutana leo kupitia ripoti mbalimbali za michezo iliyochezwa ya Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza nchini imemfungia mchezji Juma Nyoso wa timu ya Mbeya City kucheza mpira wa miguu kwa kipindi cha miaka miwili na faini ya shilingi milioni mbili (2,000,000) kufutia kitendo cha udhalilishaji alichomfanyia mchezaji wa Azam FC John Bocco.Nyoso alifanya kitendo hicho katika mchezo no namba 32 wa VPL kati ya Azam FC na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto afichwa kwenye boksi miaka minne

 Mwanamke aliyetambuliwa kuwa ni Mariamu Said mkazi wa Kiwanja cha Ndege, Morogoro juzi alishushiwa kipigo na wananchi kutokana na kumficha mtoto wa marehemu mdogo wake kwenye boksi kwa miaka minne.

 

10 years ago

Mwananchi

HOFU YA MAFURIKO: Mtoto mlemavu afungiwa darini miezi minne Mtwara

>Mtoto Abdul Mohamedi (13) ambaye ni mlemavu wa viungo, amelazimika kuishi darini kwa miezi minne mfululizo kukwepa kudhuriwa na mafuriko kutokana  mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini Mtwara.

 

11 years ago

GPL

BABY J YUPO KWENYE NDOA MIAKA 2 BILA MTOTO!

Baby J. ANAOMBA UCHUMBA
Baby J nakuzimia sana kwa uimbaji wako mzuri kunako gemu la muziki wa kizazi kipya Bongo, je, umeolewa? Nataka uwe mchumba wangu. Salim Liundi, Dar, 0658110395
BABY J: Asante, tayari nimeolewa. NDOA, WATOTO
Binafsi nakukubali sana Baby J ila nataka kufahamu una muda gani kwenye ndoa na je, una watoto wangapi? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
BABY J: Ndoa yangu ina miaka miwili sasa bado sijapata watoto....

 

11 years ago

GPL

MASKINI! MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI MIAKA 4 AFARIKI

Nasrah Rashid (kulia) enzi za uhai wake. Kushoto aliyekaa ni baba yake mzazi Rashid Mvungi. MTOTO Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi miaka minne amefariki dunia. Nasrah alifichwa kwenye boksi na mama yake mkubwa aitwaye Mariamu Said mkazi wa Kiwanja cha Ndege, Morogoro tangu akiwa na miezi tisa baada ya mama yake mzazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani