BABY J YUPO KWENYE NDOA MIAKA 2 BILA MTOTO!
![](http://api.ning.com:80/files/7TcBzbi1eXrxYlRDPwAfv-dpFZWv8jaY8TnX*FusTNmHBa9zmfu0YEunnRJfnylDVnajmi3sMTBkO0w3qZCPfae*TxwTuBUD/BabyJ.jpg)
Baby J. ANAOMBA UCHUMBA Baby J nakuzimia sana kwa uimbaji wako mzuri kunako gemu la muziki wa kizazi kipya Bongo, je, umeolewa? Nataka uwe mchumba wangu. Salim Liundi, Dar, 0658110395 BABY J: Asante, tayari nimeolewa. NDOA, WATOTO Binafsi nakukubali sana Baby J ila nataka kufahamu una muda gani kwenye ndoa na je, una watoto wangapi? Amiri Salumu, Dar, 0653252416 BABY J: Ndoa yangu ina miaka miwili sasa bado sijapata watoto....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k6ls9PoaplVWPmXTzPceZHrt9*OCzMvvYBJ82gw0mJc1HsoV4BiqgqlVNgTwC-gNGzdVcKQqG0E3bnN--iLuaF6/AUNT.jpg?width=650)
MIAKA 2 YA NDOA; AUNT EZEKIEL AANZA KUSAKA MTOTO
10 years ago
Vijimambo10 May
DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.
![](https://scontent-iad.xx.fbcdn.net/hphotos-xpa1/v/t1.0-9/p240x240/11200587_909761035753767_7843757387391072959_n.jpg?oh=4ca697f286dccbefbfa5b80acd7b4563&oe=55C83211)
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...
10 years ago
Vijimambo07 Oct
USIJE UKAMTAFUTA MCHAWI KWENYE NDOA YAKO HABARI NDIYO HII JITIRIRSHE MWENYEWE LIVE BILA KING'AMUZI
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/590/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/07/141007141807_short_men_1.jpg)
Wanaume ambao ni wafupi kwa kimo mara nyingi wanasifika kuwa waume bora kuliko wanaume warefu.
Pia inaarifiwa huwa na busara zaidi kufidia kimo chao, amekiri Adam Gopnik, mwanamme mmoja wenye umbo dogo.Wiki kadhaa zilizopita, wana soshologia wawili kutoka Chuo Kikuu cha New York, walichapisha waraka mrefu ulioangalizia maisha ya watu wafupi.
Utafiti wao ulizua mjadala mkali kutoka kwa kile kinachoweza kusemekana kuwa...
9 years ago
Bongo527 Nov
Mume wa Baby J yupo jela mwaka wa tatu sasa
![11910514_1643281142605929_1772135023_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11910514_1643281142605929_1772135023_n1-300x194.jpg)
Muimbaji kutoka visiwani Zanzibar, Baby J, amesema mume wake wa ndoa bado yupo jela mwaka wa tatu sasa.
Baby ameiambia Bongo5 kuwa mume wake alishikwa nchini Marekani ikiwa ni siku chache tu baada ya kufunga ndoa.
“Kweli niliolewa bahati nzuri au mbaya sikubahatika kukaa na mume wangu,” amesema. “Baada ya kuwa katika mazingira ya kuolewa ndani ya siku nne mume wangu akapata matatizo kule Marekani, akawa yupo jela. Kwahiyo bado yupo jela mwaka watatu huu, bado yupo kwenye matatizo.”
Jiunge...
11 years ago
KwanzaJamii16 Jul
Mtoto afungiwa miaka 10 kwenye banda la mbuzi
11 years ago
Mwananchi22 May
Mtoto afichwa kwenye boksi miaka minne
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Mtoto aishi kwenye zizi la mbuzi miaka 10
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MASKINI! MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI MIAKA 4 AFARIKI
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Wananchi watakiwa kujitokeza kwenye kambi ya kupima Afya bila malipo kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5
Mkurugenzi Mtendaji wa Kliniki ya kimataifa ya afya ya uzazi kwa baba, mama, mtoto na vijana (AMM), Dk Ali Mzige (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Kambi ya kupima afya bila malipo kwa watoto wadogo, itakayofanyika Jumapili ya Machi 8 mwaka huu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa umoja wa jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo hapa Tanzania, BANGO SANGHO, Amit Nandy na kulia ni mwakilishi wa shule ya Kibugumu, Mwalimu Mzamili Ally.
Na Andrew Chale modewji...