MTOTO MNENE APELEKWA MUHIMBILI
![](http://api.ning.com:80/files/z7xKGPrSF9DEg6elQZP2zzN2N3uGKervaEpine97bPzhfVWGb3LiEclWTvGCDoKSKoDcUwivBRaLQ1G48k92YA2Pxa1x5I8V/mtoto.jpg?width=650)
Stori: Richard Bukos na Makongoro Oging MTOTO Grace Simon (14) aliyewahi kuripotiwa na gazeti hili kuwa anapata mateso kutokana na mwili wake kuzidi kufumuka kila kukicha, hatimaye amefikishwa Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi. Akizungumza kwa masikitiko mama wa mtoto huyo, Ashura Ally alisema baada ya kuhangaika sehemu mbalimbali zikiwemo hospitali za Wachina, kwenye huduma...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo28 May
'Mtoto wa boksi' yupo Muhimbili
MTOTO mwenye umri wa miaka minne aliyefungiwa ndani ya boksi kwa zaidi na miaka mitatu mkoani Morogoro, amehamishiwa katika Hos- pitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya uchunguzi na tiba zaidi huku wataalamu wakikuna vichwa namna ya kumrudishia afya yake.
11 years ago
Mwananchi28 May
Mtoto aliyeishi kwenye boksi, ahamishiwa Muhimbili
11 years ago
CloudsFM30 May
MTOTO ALIYEFUNGIWA KWENYE BOKSI KWA SASA ANAPUMULIA MASHINE MUHIMBILI
MTOTO Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi kwa miaka minne mkoani Morogoro, sasa anaopumulia mashine katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Nasra, alilazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alipohamishiwa Mei 26 mwaka huu kwa ajili ya uchunguzi zaidi akitokea katika Hospitali ya mkoa wa Morogoro.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Daktari bingwa wa Magonjwa ya Watoto, David Kombo, aliyekuwa zamu alisema Nasra, aliwekewa mashine maalum ili kusaidia...
11 years ago
CloudsFM29 May
YULE MTOTO ALIYEFUNGIWA KWENYE BOKSI MOROGORO HUYU HAPA AKIWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Mtoto aliyekuwa amefichwa kwenye boksi mkoani Morogoro, Nasra Mvungi ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, amehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), kwa uchunguzi zaidi.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Morogoro, Dk Godfrey Mtei alisema Nasra alipelekwa Muhimbili juzi usiku baada ya hali yake kutoridhisha.
Alisema afya ya Nasra ilibadilika ghafla juzi asubuhi na kushindwa kupumua vizuri, jambo lililowalazimu madaktari kumpeleka Muhimbili kwa gari maalumu la wagonjwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5ZBoT6nGaNI/Xqrg-WDMygI/AAAAAAALork/JBXAElBechM02WkQp8uGyjVR__wA9qs9gCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200429_103939.jpg)
MTOTO WA MIAKA TISA AOMBA MSAADA KWA WASAMARIA WEMA AKAPATE MATIBABU YA MOYO MUHIMBILI
![](https://1.bp.blogspot.com/-5ZBoT6nGaNI/Xqrg-WDMygI/AAAAAAALork/JBXAElBechM02WkQp8uGyjVR__wA9qs9gCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200429_103939.jpg)
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Marando apelekwa India
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mabere Marando, amepelekwa nchini India na familia yake kwa ajili ya kupata matibabu zaidi.
Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano Msaidizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), John Steven, alisema Marando aliondoka juzi na baadhi ya ndugu zake.
“Wameondoka Jumapili kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi, wenyewe walisisitiza tusitaje ugonjwa unaomsumbua ndugu yao,...
10 years ago
Mtanzania08 Oct
Mdee apelekwa gerezani
![Halima Mdee](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/Halima-Mdee.jpg)
Halima Mdee
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) na wenzake nane jana wamekwenda gereza la Segerea baada ya kunyimwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mdee na wenzake walifikishwa mahakamani hapo wakituhumiwa kufanya mkusanyiko kinyume na sheria kwa nia ya kutaka kuandamana kwenda Ikulu.
Watuhumiwa hao walipelekwa gereza la Segerea saa 10 jioni kwa kutumia gari la polisi lenye namba za usajili PT 1848.
Mbali ya gari, kulikuwa na...
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Mdee apelekwa Rumande
Mwenyekiti wa Baraza la wanawake Chadema Halima mdee akiongoza maandamano kwenda Ikulu mapema mwishoni mwa juma. (Picha na Maktaba).
Na Mwandishi wetu
Mbunge wa Kawe, na wenzake jana walirejeshwa rumande baada ya wakili kushindwa kumaliza kuhakiki fomu za dhamana zao.
Aidha, washitakiwa hao waliondolewa kwenye ardhi ya Mahakama ya Kisutu wakiwa chini ya ulinzi mkali wa zaidi ya polisi 30 na msafara wa magari manne likiwemo la maji ya kuwasha.
Halima Mdee (35), alifikishwa katika Mahakama...