Mdee apelekwa gerezani
Halima Mdee
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) na wenzake nane jana wamekwenda gereza la Segerea baada ya kunyimwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mdee na wenzake walifikishwa mahakamani hapo wakituhumiwa kufanya mkusanyiko kinyume na sheria kwa nia ya kutaka kuandamana kwenda Ikulu.
Watuhumiwa hao walipelekwa gereza la Segerea saa 10 jioni kwa kutumia gari la polisi lenye namba za usajili PT 1848.
Mbali ya gari, kulikuwa na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog08 Oct
Mdee apelekwa Rumande
Mwenyekiti wa Baraza la wanawake Chadema Halima mdee akiongoza maandamano kwenda Ikulu mapema mwishoni mwa juma. (Picha na Maktaba).
Na Mwandishi wetu
Mbunge wa Kawe, na wenzake jana walirejeshwa rumande baada ya wakili kushindwa kumaliza kuhakiki fomu za dhamana zao.
Aidha, washitakiwa hao waliondolewa kwenye ardhi ya Mahakama ya Kisutu wakiwa chini ya ulinzi mkali wa zaidi ya polisi 30 na msafara wa magari manne likiwemo la maji ya kuwasha.
Halima Mdee (35), alifikishwa katika Mahakama...
10 years ago
Mtanzania15 Sep
Marando apelekwa India
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mabere Marando, amepelekwa nchini India na familia yake kwa ajili ya kupata matibabu zaidi.
Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano Msaidizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), John Steven, alisema Marando aliondoka juzi na baadhi ya ndugu zake.
“Wameondoka Jumapili kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi, wenyewe walisisitiza tusitaje ugonjwa unaomsumbua ndugu yao,...
11 years ago
GPL
MTOTO MNENE APELEKWA MUHIMBILI
10 years ago
GPL
MREMBO APELEKWA MAKABURINI, AUAWA
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Mukulu muasi wa ADF apelekwa Uganda
10 years ago
Habarileo15 Sep
Makalla awa RC Kilimanjaro, Rugimbana apelekwa Lindi
RAIS Jakaya Kikwete amefanya uteuzi mbalimbali, ikiwemo wakuu wawili wapya wa mikoa. Hatua hiyo inaziba nafasi zilizoachwa wazi na viongozi wa nafasi hizo, wanaowania ubunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
10 years ago
GPL
GWAJIMA MBARONI, APELEKWA MAHAKAMA YA KISUTU DAR
11 years ago
Habarileo06 Aug
Anayedaiwa mwanachama Al Shabaab apelekwa kwa DCI
MSHITAKIWA anayekabiliwa na kesi ya kuwa mwanachama wa kundi la kigaidi la Al Shabaab, Mussa Mtweve, amepelekwa kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kwa ajili ya mahojiano.
5 years ago
CCM Blog
WAZIRI MKUU BORIS JOHNSON APELEKWA ICU

Johnson amemuambia Waziri wa mambo ya nje Dominic Raab kuchukua usukani pale ambapo kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo.
Waziri Boris ,mwenye umri wa miaka 55, alilazwa katika hospitali ya St Thomas mjini London wakati hali yake ya kiafya...