MTOTO: NIMEUNGUZWA NA BIBI KWA KUPOTEZA KALAMU YA SH. 200
![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx207YIXDioYoG32C88xRJaBXEIWNs84mvQqDxwzmU1wbQ1VkYCPoHZldDCY4aMa8BxAi6LQj9MDFE-qcpiTQtudA/BACK.jpg)
Na Makongoro Oging’ MTOTO Jackson Hosea (10) wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Kiseke iliyoko Ilemela, Mwanza ameunguzwa mwilini kwa kisu na imedaiwa kuwa aliyefanya kitendo hicho cha kinyama ni bibi yake aitwaye Laurencia Athanas. Mtoto Jackson Hosea akiwa na majeraha tumboni baada ya kuunguzwa kwa kisu na bibi yake. Taarifa zaidi kutoka chanzo chetu ndani ya jeshi la polisi, kimesema kwa njia ya simu kwamba...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili08 Apr
Virusi vya Corona: Watu milioni 200 kupoteza ajira kwa mlipuko wa Covid-19
11 years ago
Habarileo03 Jun
Bibi wa 'mtoto wa boksi' aibuka
WAKATI mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa na walezi kwa kuishi katika maboksi kwa zaidi ya miaka mitatu, akitarajiwa kuzikwa leo, bibi mzaa mama yake, Asha Abdalah, aliibuka jana kuomba mwili wa marehemu ili wakazike nyumbani kwao.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pezQEPsid2jAXTb-XseN2mTEfn6QctzC*DiNa2oO8NmDuC3z0EqaPd7C7fmNdjonIJnwpmsPy6lMiJWCTeUQMKWx8kjJKmJT/timthumb.jpg?width=650)
KISA KAMPENI, MTOTO WA SHAMSA ALELEWA NA BIBI YAKE
10 years ago
BBCSwahili02 Jan
Polisi wapigwa kalamu kwa ubakaji India
9 years ago
Michuzi01 Oct
NEC:UTAPIGA KURA KWA KALAMU YOYOTE UTAKAYOITAKA
![](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/yJKJgwTu_J9GWFI4qYtnEMDj9kAPpP4qItDJhBRHRs-AhHUVcsj8jvk3-rzSBzkBKQONLvRu-VPIgT7NE89FTZ09v2sjVGLOMZoahawIDVw3HpvEl7nkW_HQnMWJDRJne1JwSrIZu1RCS-ToQ1WVqm0R7n4zmHJuI4IB4Htj43M4bvSmI3I=s0-d-e1-ft#http://mobile.mwananchi.co.tz/image/view/-/2893876/medRes/1135067/-/qvrwpbz/-/Jaji+LUBUVA+PHOTO.jpg?format=xhtml)
Ili kuondoa shaka miongoni mwa wananchi kutokana na tetesi zinazosambazwa juu ya ubora wa kalamu za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kila mtu anaruhusiwa kuja na kalamu yake kupigia kura Oktoba 25, mwaka huu.Kauli hiyo imetolewa leo na NEC wakati ilipofanya mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari nchini ikiwa ni siku ya tatu ya kukamilisha utaratibu wa kuzungumza na wadau wa uchaguzi...
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Waziri adaiwa kununua kalamu kwa dola 100
11 years ago
GPLBIBI WA 'MTOTO WA BOKSI' ALIMLILIA MJUKUU WAKE
11 years ago
Mwananchi04 May
Kuna maana gani kupoteza mabilioni haya kwa Katiba?
11 years ago
Mwananchi14 May
Tuzibe mianya iliyoruhusu kupoteza kodi kwa kiasi hiki