Mtoto wa Sokoine amgomea Lowassa
Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema alimshauri Namelock Sokoine, mtoto wa waziri mkuu wa zamani, aungane naye kwenye harakati za mabadiliko, lakini amekataa na sasa anaelekeza nguvu zake kwa mgombea wa chama hicho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Mtoto wa Sokoine ataka Jimbo la Lowassa
9 years ago
Mtanzania03 Oct
Lowassa amtosa binti wa Sokoine
*Amtaka amfuate Ukawa au amsamehe
*Atangaza atakuwa dikteta wa maendeleo
Na Fredy Azzah, Monduli
MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ambaye anaungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana alitangaza kuitua mbeleko aliyokuwa akimbebea Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Monduli, Namelok Sokoine.
Vyama vinavyounda Ukawa ni pamoja na Chadema yenyewe, Chama cha Wananchi (CUF), NCCR-Mageuzi na...
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Lowassa: Hakuna kama Edward Sokoine
10 years ago
Mwananchi03 Aug
Binti wa Sokoine atwaa mikoba ya Lowassa
9 years ago
TheCitizen03 Oct
Sokoine daughter loses Lowassa’s support in bid
11 years ago
MichuziMh. Lowassa akagua maandalizi ya Sokoine day Monduli Juu
9 years ago
VijimamboNAMELOK SOKOINE AZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE MONDULI AHIDI KUENDELEZA ALIPOISHIA LOWASSA
9 years ago
Dewji Blog30 Sep
NAMELOK SOKOINE: Azindua kampeni za Ubunge Monduli na kuahidi kuendeleza alipoishia LOWASSA!
Mapinduzi (CCM), Namelok Sokoine, akihutubia mkutano wa hadhara wakati wa
uzinduzi wa kampeni zake zilizofanyika katika viwanja vya Nanja Mnadani Monduli
mkoani Arusha Septemba 28,2015 ambapo pamoja na mambo mengine ameahidi
kuendeleza yote aliyoasisi, kusimamia na kutekeleza aliyekuwa mbunge wa jimbo
hilo, Edward Lowassa.
10 years ago
Mtanzania02 Apr
Gwajima amgomea DC Makonda
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amemwandikia barua Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akimtaka afike mbele ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya kwa mahojiano. Inaelezwa kuwa Makonda alimtumia Askofu Gwajima barua hiyo Machi 30 mwaka huu, akiwa amelazwa katika Hospitali ya TMJ. Hata hivyo, kiongozi huyo wa kiroho amegoma akisema hawezikwenda ofisini kwa mkuu huyo wa wilaya kwa mahojiano. Mmoja wa wasaidizi wa Askofu Gwajima...