Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Binti wa Sokoine atwaa mikoba ya Lowassa

Binti wa Waziri mkuu wa zamani, Edward Sokoine, Namelock Sokoine ameshinda kura za maoni kugombea ubunge Jimbo la Monduli kupitia CCM huku mkwe wa Lowassa, Siyoi Sumari akishindwa Jimbo la Arumeru Mashariki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Lowassa amtosa binti wa Sokoine

lowassa akivishwa

*Amtaka amfuate Ukawa au amsamehe

*Atangaza atakuwa dikteta wa maendeleo

Na Fredy Azzah, Monduli

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ambaye anaungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana alitangaza kuitua mbeleko aliyokuwa akimbebea Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Monduli, Namelok Sokoine.

Vyama vinavyounda Ukawa ni pamoja na Chadema yenyewe, Chama cha Wananchi (CUF), NCCR-Mageuzi na...

 

9 years ago

Mwananchi

Mtoto wa Sokoine amgomea Lowassa

Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema alimshauri Namelock Sokoine, mtoto wa waziri mkuu wa zamani, aungane naye kwenye harakati za mabadiliko, lakini amekataa na sasa anaelekeza nguvu zake kwa mgombea wa chama hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto wa Sokoine ataka Jimbo la Lowassa

Viongozi wa Mila ya kimasai, maarufu kama Laigwanani wa Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha wamesema wanamruhusu kuwania ubunge wa Jimbo la Monduli, mtoto wa kike wa Waziri Mkuu wa zamani, hayati Edward Moringe Sokoine, Namelock Sokoine.

 

11 years ago

Mwananchi

Lowassa: Hakuna kama Edward Sokoine

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amesema viatu vya Hayati Waziri Mkuu wa tatu, Edward Sokoine ni vikubwa sana na kwamba havivaliki.

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AMALIZA KAZI JIMBO LA MONDULI, AMNADI JULIUS KALANGA KUWA NDIEANAFAA KUSHIKA MIKOBA YAKE

 Umati wa Wananchi wa Mji wa Monduli ambako ni Nyumbani kwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, wakionekana kushangiliwa kwa furaha pindi Chopa yake ilipokuwa ikishuka katika Uwanja wa Polisi Monduli, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake,  Oktoba 5, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Wananchi wa Mji wa Monduli wakionyesha upendo wao kwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa...

 

9 years ago

TheCitizen

Sokoine daughter loses Lowassa’s support in bid

Chadema Presidential candidate Edward Lowassa yesterday introduced to Monduli residents as he asked them to vote for Mr Julius Kalanga who is vying for Monduli constituency through Chadema.

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa akagua maandalizi ya Sokoine day Monduli Juu

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa watoto wa Marehemu Edward Sokoine aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Namelok Sokoine (MB) na Joseph Sokoine ambaye ni Afisa katika Ubalozi wa Tanzania nchini Canada, kuhusiana na maandalizi ya maadhimisho ya miaka 30 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli,Marehemu Edward Moringe Sokoine, yatakayoadhimishwa kesho April 12. Rais Jakaya Kikwete ataongoza maadhimisho hayo pamoja...

 

9 years ago

Vijimambo

NAMELOK SOKOINE AZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE MONDULI AHIDI KUENDELEZA ALIPOISHIA LOWASSA

MGOMBEA jimbo la Monduli kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Namelok Sokoine, akihutubia mkutano wa hadhara wakati wa uzinduzi wa kampeni zake zilizofanyika katika viwanja vya Nanja Mnadani Monduli mkoani Arusha Septemba 28,2015 ambapo pamoja na mambo mengine ameahidi kuendeleza yote aliyoasisi, kusimamia na kutekeleza aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Edward Lowassa.Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro akihutubia mkutano wa  uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Monduli...

 

9 years ago

Dewji Blog

NAMELOK SOKOINE: Azindua kampeni za Ubunge Monduli na kuahidi kuendeleza alipoishia LOWASSA!

MGOMBEA jimbo la Monduli kupitia Chama Cha
Mapinduzi (CCM), Namelok Sokoine, akihutubia mkutano wa hadhara wakati wa
uzinduzi wa kampeni zake zilizofanyika katika viwanja vya Nanja Mnadani Monduli
mkoani Arusha Septemba 28,2015 ambapo pamoja na mambo mengine ameahidi
kuendeleza yote aliyoasisi, kusimamia na kutekeleza aliyekuwa mbunge wa jimbo
hilo, Edward Lowassa. Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro akihutubia mkutano wa  uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani