Mtowisa wazuia mkutano wakidai gari
WAKAZI wa Kata ya Mtowisa wilayani Sumbawanga, Rukwa wamewakatalia madiwani sita wakiongozwa na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo kufanya mkutano wa hadhara kwenye eneo lao wakishinikiza gari la wagonjwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 Jan
Sakata la gari la wagonjwa lavunja mkutano
WAKAZI wa Kata ya Mtowisa mkoani Rukwa wamegomea mkutano wa hadhara baina yao na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, wakishinikiza gari la wagonjwa lirejeshwe kwenye kituo chao cha afya.
11 years ago
Bongo Movies01 Oct
Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao
NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...
11 years ago
Uhuru Newspaper24 Oct
Walimu wagomea mafunzo wakidai posho
Walimu wagomea mafunzo wakidai posho
NA CHIBURA MAKORONGO, SIMIYU
MAFUNZO kwa ajili ya walimu wa masomo ya sayansi mkoani Simiyu, yameingia dosari baada ya walimu kugoma wakidai posho.
Walimu 200 kutoka wilaya tano za mkoa huo, wanashiriki mafunzo hayo yenye lengo la kuwajengea uwezo, ambapo jana waligoma kuendelea wakitaka kufahamu mustakabali wa posho za kijikimu.
Habari za kuaminika zinasema walimu hao walifikia uamuzi huo baada ya kuhudhuria mafunzo hayo ya siku 10 kwa siku nne mfululizo...
11 years ago
BBCSwahili16 Mar
Zogo Sudan wananchi wakidai haki
11 years ago
Habarileo25 Aug
Wahamiaji wajiandikisha uraia wakidai Watanzania
MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imesema baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Newala ni wahamiaji kutoka Msumbiji na wamekuwa wakijitambulisha kuwa Watanzania wakati wa kujaza fomu.
10 years ago
Vijimambo20 May
Wanafunzi UDSM wapigwa mabomu wakidai mikopo.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM), wanaoishi katika hosteli za Mabibo ambao walikuwa wakiandamana kudai fedha zao za kujikimu.
Walichukua hatua hiyo kutokana na kucheleweshewa mikopo na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HELSB).
Tukio hilo lilitokea usiku walipoandamana kudai wawekewe fedha kwenye akaunti zao...
10 years ago
Vijimambo19 Jun
Askari Polisi Wagongwa Na Gari Baada Ya Gari Hiyo Kukataa
Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akapita nao.
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Uchaguzi Zanzibar wazuia mabilioni
10 years ago
Mtanzania30 Sep
Wananchi wazuia msafara wa Lowassa
Na Fredy Azzah, Korogwe
MSAFARA wa mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, jana ulizuiwa na wananchi katika maeneo mbalimbali mkoani Tanga ambao sehemu nyingine walikuwa wamebeba madumu ya maji kumwonyesha jinsi wanavyotaabika na kero hiyo.
Tukio la wananchi kusimamisha msafara wake wakiwa wamebeba madumu ya maji lilijitokeza katika eneo la Mkata wilayani Handeni ambao wananchi hao walimwambia kuwa hiyo ni...