Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zogo Sudan wananchi wakidai haki

Polisi mjini Khartoum wametumia gesi ya kutoa machozi kuvunja maandamano ya zaidi ya watu 200 waliokuwa wanapinga serikali ya Rais Bashir.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WANANCHI KAWE WAFUNGA BARABARA WAKIDAI MATUTA, WATAWANYWA KWA MABOMU YA MACHOZI

Polisi wakiondoa vizuizi vilivyowekwa na wananchi barabarani.…

 

5 years ago

Michuzi

Wizara ya Katiba na Sheria na Tume ya Haki za Binadamu zina Wajibu wa kulinda haki za wananchi-Jaji Mstaafu Mwaimu



Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibari, Mhe.Khamis Juma Mwalim, akifafanua jambo kwa wajumbe na wageni wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (hawapo pichani) wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake baada ya kutembelewa na ugeni huo loe Juni 4, 2020 Mjini...

 

5 years ago

Michuzi

Haki ya kutoa Maoni, wananchi waelimishwe

Na Mwandishi Mwandishi Wetu.

UHURU wa kutoa maoni, kujieleza na kupata taarifa ni mojawapo wa Haki za Msingi za raia wa Tanzania kama ilivyosisitizwa na Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hata hivyo upo mkanganyiko katika kutafsiri maana ya Uhuru huu  uliojikita zaidi katika kukidhi matakwa na maslahi fulani.
Kwa upande mmoja, wapo wanaotafsiri dhana ya uhuru wa kutoa maoni na kujieleza kama Haki ya raia yeyote kuwasilisha mawazo na fikra zake bila vikwazo. Wanaoamini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanasiasa wasipore haki ya wananchi katiba mpya

INAFAHAMIKA na kukubalika popote duniani kuwa katiba ni waraka wa kisiasa. Nadhani wanasiasa tangu awali walifanya njama na hila iwe hivyo kama njia ya kujiwekea ulinzi na kujipatia nafasi kubwa...

 

9 years ago

StarTV

 Wanasheria wawataka wananchi kufahamu haki zao

Wanasheria  jijini Arusha wamewataka  wananchi kufahamu haki zao za msingi ili waweze  kutafuta marekebisho  pale haki zao zinapovunjwa.

Hayo yamebainika katika maadhimisho ya siku ya haki za binadamu barani  Afrika inayofanyika Oktoba  21 kila mwaka.

Wanasheria hao wamesema Idadi kubwa ya raia wanashindwa kupata haki zao  kwa kuwa wengi wao hawafahamu  hatua za kufuata pindi ukiukwaji wa haki za binadamu  unapotokea.

Wakizungumza katika viunga vya mahakama kuu ya Afrika  mawakili,...

 

10 years ago

Mwananchi

Kuimarisha mamlaka ya wananchi ni pamoja na haki ya kumwajibisha mbunge

Katiba ya kimageuzi inaweka uhusiano wa moja kwa moja kati ya wanaochaguliwa na wanaochagua

 

10 years ago

Michuzi

MWENDESHA MASHTAKA MKUU WA DARFUR,SUDAN ATEMBELEA MAHAMAKA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU,ASIFU UTENDAJI KAZI WAO

Afisa Habari Mwandamizi wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu(AfCPHR)Sukhdev Chatbar(kulia)akizungumza na Waendesha Mashtaka kutoka Darfur nchini Sudan waliotembelea Mahakama hiyo kujifunza namna inavyotekeleza wajibu wake.Msajili wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu,AfCHPR)Dk Robert Enno(kushoto)akimsikiliza Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Jimbo la Darfur,Sudan,Yassir Ahmed Mohammed.Msajili wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu,AfCHPR)Dk Robert Enno(kushoto)akinzungumza...

 

11 years ago

Michuzi

MAOFISA WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU WAANZA KUPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA NJIA YA SIMU

Na Allan Ntana, Tabora
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora hapa nchini imeanza kuboresha huduma zake kwa jamii baada ya kuanzisha huduma mpya ya kupokea malalamiko ya wananchi kwa njia ya ujumbe mfupi kupitia simu za kiganjani.
Hayo yalibainishwa jana na Maofisa wa Tume hiyo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa stendi ya zamani mjini Tabora ambao ulilenga kutambulisha na kuhamasisha matumizi ya huduma hiyo kwa wananchi na wadau mbalimbali wenye malalamiko yoyote au...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA-WANANCHI WA KARATU WANA HAKI YA KUPATA HUDUMA MBALIMBALI ZA MAENDELEO KAMA WENGINE.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi Mjini Karatu na kujibu hoja mbalimbali za Wananchi,ambapo aliwaelez wananchi hao kuwa maswali mengi yanahusu kujibiwa na Mbunge wa jimbo hilo ambaye ni wa upinzani, Madiwani na Mwenyekiti wa halmashauri kwa kuwa ndiyo wenye kusimamia miradi na kuwapa taarifa wananchi, Lakini viongozi hao wamekuwa wakifanya mambo wanavyotaka na kuacha wananchi wakipata taabu kwa sababu ni wa chama cha Upinzani (CHADEMA). 
Hata hivyo Kinana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani