Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtu auwawa kwenye maandamano Mombasa

Watu waandamana na uporaji wa mali watokea mjini Mombasa, Kenya, ambapo mtu mmoja alikufa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Maandamano yajeruhi kadha Mombasa

Maandamano yamefanywa mjini Mombasa, Kenya, na watu kadha wajeruhiwa

 

10 years ago

Michuzi

MTU MMOJA AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI MKOANI DODOMA KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
 MTU mmoja anayedaiwa kuwa ni Jambazi ameuawa na wananchi baada ya kumpora mwananchi mmoja kiasi cha Sh. 2, 100,000= wa kijiji cha Igoji One Kata ya Mima katika Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP ameeleza kuwa tukio hilo la kumvamia mwananchi huyo huko nyumbani kwake Kijiji cha Igoji one aliyejulikana kwa jina la YARED S/O MAPATANO MSALILA limetokea mnamo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu mmoja auawa katika maandamano Burundi

Mtu mmoja ameripotiwa kuuawa baada ya kupigwa risasi na maafisa wa polisi kufuatia ghasia kati ya polisi na waandamanaji mjini Bujumbura

 

5 years ago

BBCSwahili

Maandamano London: Tulimsaidia mtu mmoja kutouwawa katika maandano ya Kifo cha George Floyd

Patrick Hutchinson amepongezwa sana baada ya picha yake akimsaidia mtu aliyejaruhiwa kusambaa, wakati wa makabiliano kati ya wafuasi wa Black Lives Matter dhidi ya wale wanaounga

 

9 years ago

BBCSwahili

Minyoo yaondolewa kwenye ubongo wa mtu

Mwanamume mmoja nchini Marekani anazidi kupata afueni baada ya kufanyiwa upasuaji wa kumuondoa minyoo kutoka ndani ya ubongo wake.

 

10 years ago

GPL

MKE WA MTU ANASWA AKIZINI KWENYE GARI

Waandishi wetu, Mwanza/Ijumaa
BIASHARA ya kuuza miili imezidi kushamiri katika viunga vya Jiji la Mwanza na mwanzoni mwa wiki hii Kitengo Maalum cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers, kilifanya zoezi lingine kubwa baada ya kumnasa mwanamke mmoja akifanya mapenzi ndani ya gari katika eneo la Kirumba, Ijumaa lina data kamili. Mwanamke huyo anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu. Baada ya kutajiwa maeneo yanayosifika...

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.

 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo  maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).


Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...

 

10 years ago

GPL

MTU MWEUSI ALIYEBAGULIWA KWENYE TRENI UFARANSA ATAKA HAKI

Mtu mweusi, Souleymane S. (kushoto) akijiandaa kupanda treni la chini ya ardhi la jijini Paris, Ufaransa. Souleymane S. akisukumwa na mashabiki wa Chelsea ambao…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani