Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maandamano yajeruhi kadha Mombasa

Maandamano yamefanywa mjini Mombasa, Kenya, na watu kadha wajeruhiwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Maandamano kadha yafanywa Ukraine

Maandamano yamefanywa katika maeneo kadha ya Ukraine na yamepita salama isipokuwa katika ras ya Crimea

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu auwawa kwenye maandamano Mombasa

Watu waandamana na uporaji wa mali watokea mjini Mombasa, Kenya, ambapo mtu mmoja alikufa

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.

 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo  maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).


Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...

 

10 years ago

BBCSwahili

Majaji kadha wa Misri wastaafishwa

Ripoti zasema mahakimu kadha wa MIsri walazimishwa kustaafu kwa kuunga mkono Muslim Brotherhood

 

11 years ago

BBCSwahili

Nchi changa zapata makadinali kadha

Papa Francis ageuza dira kuelekea ambako Kanisa Katoliki lina nguvu

 

11 years ago

BBCSwahili

Milipuko Abuja: Watu kadha wauawa

Watu kadha wameripotiwa kuuawa kutokana na milipuko miwili iliyotokea mjini Abuja,Nigeria

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu kadha wauawa shambulio Mogadishu

Watu kadha wameuawa kwenye shambulio la bomu na risasi mjini Mogadishu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Malaysia yaomba data kutoka nchi kadha

Malaysia yaomba data zaidi ya radar na satalaiti ili kugundua ndege iliyopotea iko wapi huku nyumba za marubani zapekuliwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani