Muasi wa Mayi mayi ajisalimisha DRC
Kanali mmoja wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyeaasi Jeshi na kujiunga na waasi wa mai mai YAKUTUMBA,amejisalimisha ktika jeshi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Muasi Dominic Ongwen ajisalimisha
Dominic Ongwen, mmoja kati ya makamanda aliyekuwa na cheo kikubwa katika jeshi la waasi wa Uganda LRA amejisalimisha
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
Kamanda mwanamke muasi akamatwa
Mashirika ya kutetea haki za binadamu yameisifu hatua ya kukamatwa kwa kamanda mwanamke aliyekuwa mmoja wa waasi wa Charles Taylor.
10 years ago
BBCSwahili19 May
Tanzania yamshikilia muasi wa ADF
Polisi nchini Tanzania wamethibitisha kuendelea kumshikilia Jamil Mukulu ambaye ni kiongozi wa waasi wa ADF wa Uganda.
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Mukulu muasi wa ADF apelekwa Uganda
Kiongozi wa kundi la waasi wa Uganda la Allied Democratic Forces-ADFJamil Mukulu amekabidhiwa uganda.
11 years ago
BBCSwahili04 Jun
Jenerali muasi anusurika katika mlipuko
Jenrerali anayeongoza vita dhidi ya makundi ya wapiganaji wa kiislamu huko Benghazi anusurika kifo
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
ICC yakataa ombi la muasi Lubanga
Mahakama ya ICC imetupilia mbali ombio la rufaa lililowasilishwa na muasi wa zamani DRC Thomas Lubanga dhidi ya hukumu aliyopewa ya miaka 14 jela
9 years ago
BBCSwahili07 Oct
Mwanajeshi muasi Burkina Faso ashtakiwa
Utawala nchini Burkina Faso umemfungulia mashtaka mwanajeshi muasi ambaye aliongaza mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli mwezi uliopita
10 years ago
BBCSwahili21 Jan
Muasi Dominic Ongwen afikishwa Hague
Kamanda mkuu wa kundi la waasi la LRA nchini Uganda Dominic Ongwen amewasili mjini Hague ambako atafunguliwa mashitaka ya uhalifu wa kivita.
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Wanajeshi wamuua muasi wa Seleka CAR
Wanajeshi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, wamemuua mwanamume mmoja anayetuhumiwa kuwa muasi wa Seleka huku ghasia zikikithiri nchini humo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania