Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muhongo usiishie kutoa takwimu tu, tunataka maendeleo

Akitoa mada katika kongamano la ‘Rasilimali za Tanzania kama kichocheo cha kuondoa umaskini na mafanikio ya uchumi kwa wote’ lililofanyika Desemba 8, mwaka huu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alitaja baadhi ya Watanzania wanaomiliki maeneo makubwa ya madini nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Takwimu zakwamisha upatikanaji wa maendeleo

Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar, Bi Amina Shabani akifungua semina ya siku moja ya kujadili mpango utekelezaji wa Maendeleo ya Malengo ya Millenia MDG’s, iliyofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar na kuwashirikisha Maofisa Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi wa Taasisi zisizo za Kiserekali, ulioandaliwa na Tume ya Mipango Zanzibar na Wizara ya Mambo ya Nje Tanzania na kufadhiliwa na UNDP.

Na Mwandishi wetu, Zanzibar

UKOSEFU wa...

 

10 years ago

Habarileo

Upotoshaji wa takwimu wakwamisha maendeleo

Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango ya Zanzibar, Amina ShaabanUKOSEFU wa takwimu sahihi katika masuala mbalimbali umeelezwa kuchangia kutopiga hatua kwenye mipango ya kimaendeleo inayopangwa na serikali juu ya wananchi.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUENDELEA KUTOA TAKWIMU ZA MWENENDO WA CORONA


Waziri Ummy Mwalimu akiongea na mwananchi kupitia kituo cha afya cha huduma kwa wateja mara baada ya kukizindua .
Waziri Ummy Mwalimu akiongea wakati wa uzinduzi huo
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiangalia namna watoa huduma wanavyopokea simu kutoka kwa wananchi kwa ajili ya kupata elimu kuhusu ugonjwa wa Corona
Muonekano wa kituo cha afya cha huduma kwa wateja ambacho kitakua na wataalam 150 wa kutoa elimu na taarifa kwa wananchi...

 

10 years ago

Habarileo

Mwanry aagiza halmashauri kutoa takwimu za maabara

Aggrey MwanriNAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Aggrey Mwanri, ameziagiza halmashauri zote nchini kuhakikisha zinatoa takwimu ya vyumba vya madarasa walivyobadilisha matumizi yake na kuvifanya vyumba vya maabara.

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MAENDELEO YA TAKWIMU AFRIKA WAENDELEA NCHINI UGANDA

Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria akiwasilisha mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi katika chuo hicho wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda.Washiriki kutoka Tanzania wakisikiliza kwa makini mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi katika Chuo cha Takwimu...

 

9 years ago

Michuzi

MAENDELEO NI KWA VITENDO SIO MANENO: PROFESA MUHONGO

Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameanza kwa kishindo kutekeleza ahadi zake kwa wananchi wa jimbo hilo na huku akiahidi maendeleo kwa kasi zaidi.
Profesa Muhongo alidhihirisha hayo juzi katika kijiji cha Murangi, Mkoani Mara katika kikao chake na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo, watendaji wa Halmashauri ya Musoma Vijijini na madiwani huku lengo la kikao likiwa ni kujadili mipango na miradi ya uchumi na maendeleo ya jimbo...

 

9 years ago

Michuzi

PROFESA MUHONGO: MAENDELEO NI KWA VITENDO SIO MANENO

Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameanza kwa kishindo kutekeleza ahadi zake kwa wananchi wa jimbo hilo.  Profesa Muhongo alidhihirisha hayo juzi katika kijiji cha Murangi, Mkoani Mara katika kikao chake na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo, watendaji wa Halmashauri ya Musoma Vijijini na madiwani huku lengo la kikao likiwa ni kujadili mipango na miradi ya uchumi na maendeleo ya jimbo hilo.  Katika kikao hicho, iliazimiwa...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA KUMI WA MAENDELEO YA TAKWIMU AFRIKA NCHINI UGANDA

Washiriki kutoka Tanzania wakisikiliza kwa makini mambo yanayoendelea katika Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika uliofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Munyoyo Kampala, Uganda. Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika Prof. Innocent Ngalinda, katikati ni Meneja wa Takwimu za Kilimo Titus Mwisomba kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu Prof. Milline Mbonile. Washiriki wengine kutoka Tanzania...

 

10 years ago

Dewji Blog

Takwimu sahihi na za wakati zitasaidia kuleta maendeleo kwa haraka barani Afrika

PICHA-NAMBA-4

Waziri Mkuu wa Uganda Mhe. Ruhakana Rugunda akiwahutubia washiriki mbalimbali kutoka barani Afrika (hawapo pichani) wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika uliofanyika jana katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Munyoyo Kampala, Uganda.  (PICHA NA VERONICA KAZIMOTO – KAMPALA).

Na Veronica Kazimoto, Kampala

WITO umetolewa kwa washiriki wote wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika kuelendelea kutoa takwimu sahihi na kwa wakati ili kuleta maendeleo yanayokusudiwa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani