Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muigizaji wa Bollywood, Priyanka Chopra apata shavu la kuigiza Marekani, runinga ya ABC yamsaini

Muigizaji wa Bollywood, muimbaji na aliyewahi kuwa Miss World 2000, Priyanka Chopra amesaini mkatana na ABC Studios ya Marekani. Kwenye mkataba huo wa mwaka mmoja, ABC wanaweza kutengeneza kitu kwaajili ya Chopra au kumweka muigizaji huyo kwenye kazi yake inayoendelea. Deal hiyo inakuwa ya kwanza msanii huyo kuipata nchini Marekani. Chopra, ameigizaji filamu zaidi ya […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

DIAMOND KUCHUANA NA PRIYANKA CHOPRA KWENYE MTV EMA 2015

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz'. Muigizaji wa filamu, muimbaji na aliyekuwa Mrembo wa Dunia (Miss World 2000), Priyanka Chopra. STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' ametajwa kuchuana na muigizaji wa filamu na aliyekuwa Mrembo wa Dunia (Miss World 2000), Priyanka Chopra…

 

9 years ago

Bongo5

Mdogo wa kiume wa Lupita Nyong’o, Peter Nyong’o apata shavu la kwanza la kuigiza filamu ya Hollywood

Mdogo wa kiume wa mwigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o aitwaye Peter Nyong’o ameanza kufata nyayo za dada yake kwa kupata shavu la kuigiza kwenye filamu mpya huko Hollywood. Peter amepata nafasi ya kucheza kwenye filamu ya ‘Nocturnal Animals’ ya Tom Ford ambayo itatoka mwakani 2016. Hii itakuwa ndio mara yake ya kwanza kugiza kwenye filamu […]

 

9 years ago

Bongo5

Diamond kuchuana na Priyanka Chopra kwenye MTV Europe Music Awards, kipengele ni ‘Best Worldwide Act: Africa/India’

Diamond Platnumz amekuwa mshindi wa kipengele cha ‘Best African Act’ kwenye tuzo za MTV Europe Music [Awards] baada ya kuwabwaga, Davido, Yemi Alade, AKA na DJ Arafat. Na sasa muimbaji huyo aliyewasili Alhamis hii kutoka Dallas, Texas alikoshinda tuzo tatu za Afrimma, ana mtihani mkubwa zaidi mbele yake. Atashindana kipengele kimoja cha ‘Best Worldwide Act: […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Runinga yatafuta msichana wa kuigiza Nicki Minaj

Kituo cha runinga cha ABC Family kimetangaza kwamba kitaandaa mahojiano mtandaoni kumtafuta msichana atakayemuigiza Nicki Minaj.

 

10 years ago

Bongo5

Muigizaji wa Bollywood Salman Khan ahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela, kwa kumgonga na kumuua mtu kwa gari

Mahakama ya nchini India imemhukumu muigizaji wa Bollywood, Salman Khan kifungo cha miaka mitano jela kwa kumgonga na kumuua mtu asiye na makazi mwaka 2002 mjini Mumbai. Mtu huyo alikuwa mmoja wa watu wengine watano waliogongwa kwenye tukio hilo. Muigizaji huyo alikuwa akikabiliwa na kosa la kuua bila kukusudia. Khan alikuwa akijitetea kuwa ni dereva […]

 

9 years ago

Bongo5

Meek Mill kukosa shavu la kuigiza filamu ya Will Smith kutokana na kesi yake

Meek-Mill

Rapper Meek Mill atashindwa kuigiza uhusika wake katika filamu ya Will Smith kutokana na hivi karibuni kupatikana na hatia ya kukiuka masharti ya muda wa matazamio aliopewa na mahakama kufuatia kesi ya miaka 15 iliyopita ya kumiliki silaha na madawa ya kulevya.

Meek-Mill

Rapper huyo wa Philadelphia, anatarajiwa kusomewa hukumu yake February 5.

Kwa mujibu wa mtandao wa Page Six, Meek Mill alikuwa amepanga kusafiri kwenda Hollywood November kujadili uwezekano wa kuigiza kwenye filamu iitwayo ’12...

 

11 years ago

GPL

MR. NICE APATA SHAVU LA KUFANYA FILAMU NCHNI DENMARK

Mr. Nice (kulia). Mwanamuziki aliyevuma sana kipindi cha nyuma Mr. Nice amealikwa kufanya filamu mpya na kampuni ya VAD production iliyopo nchini Denmark inayomilikiwa na mtanzania anayeishi nchini humo Mr. Babingwa.Katika mwaliko huo Mr. Mr nice alipata nafasi ya kufanya mahojiano na mtangazaji wa Swahili talk radio ya nchini humo.

 

10 years ago

GPL

MPENZI WA D’BANJ APATA SHAVU KUTOKA KWA RAIS

Staa wa Afro Pop, Nigeria, D’Banj’. LAGOS, Nigeria Mpenzi wa staa wa Afro Pop, Nigeria, D’Banj’, Adama Indimi hivi karibuni amepata mwaliko wa kukutana na rais wa nchi hiyo, Muhammadu Buhari. Kufuatia mwaliko huo wa Adama aliouanika kwenye ukurasa wake wa Instagram, D’Banj hakuwa na mengi ya kuandika zaidi ya maneno matamu ya kumtakia mkutano mwema.Hata hivyo, wawili hao mara kwa mara wamekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani