Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muigizaji wa Fresh Prince afariki

Muigizaji wa Marekani, aliyeigiza katika kipindi maarufu sana cha kuchekesha 'Fresh Prince of Bell Air', James Avery amefariki akiwa na umri wa miaka 68.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: D’Prince Ft Don Jazzy , Baby Fresh – Bestie

d-prince

Video mpya ya msanii wa Marvins Records D’Prince amemshirikisha Don Jazzy na Baby Fresh wimbo unaitwa “Bestie”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

MUIGIZAJI LYNDA BELLINGHAM AFARIKI DUNIA

Muigizaji Lynda Bellingham akitabasamu enzi za uhai wake. Muigizaji na mtangazaji wa TV maarufu, Lynda Bellingham (66) amefariki siku ya jana katika mikono ya mume wake Hospitali ya London. Kifo chake kimesababishwa na kansa ya ini iliyomsumbua kwa muda mrefu. Lynda Bellingham akiwa na rafiki zake.
Alizaliwa Mei 31, 1948 Montreal, Canada . Aliolewa mara mbili na ana watoto wawili Michael Peluso, Robbie Peluso.  Marehemu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Muigizaji Suchtra afariki dunia India

Muigizaji maarufu wa Sinema nchini Indian Suchitra Sen amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82 kwa maradhi ya kifua.

 

11 years ago

BBCSwahili

Muigizaji Philip Seymour Hoffman afariki

Muigizaji mahiri wa Hollywood na mshindi kwa tuzo ya Oscar- Philip Seymour Hoffman, amefariki kutokana na matumizi ya dawa za kulevya

 

5 years ago

Bongo5

Muigizaji wa filamu za James Bond afariki dunia

Muigizaji Clifton James, maarufu kama ‘JW Pepper’ kwenye filamu mbili za James Bond, amefariki dunia akiwa na miaka 96.

Alifariki karibu na mji wa Gladstone, Oregon, siku ya Jumamosi kutokana na matatizo ya ugonjwa wa kisukari.

James alifahamika sana kutokana na uigizaji wake katika filamu za Bond za ‘Live and Let Die’ na ‘The Man with the Golden Gun’ miaka ya sabini.

Binti yake Lynn amesema: ”Alikuwa mtu mpenda watu na mwenye uwazi sana. Alipendwa sana na kila mtu.”

Aliongeza: “Sidhani...

 

11 years ago

Bongo Movies

Muigizaji Rachel Haule afariki dunia asubuhi ya Leo.

Habari zilizotufikia muda huu ni kuwa muigizaji  wa filamu nchini Rachel Haule amefariki dunia asubuhi hii. Chanzo kimoja kilicho karibu na muigizaji mmoja ambaye ni rafiki wa karibu na Rachel amewema kuwa kuwa Rachel amefariki wakati akijifungua na mtoto pia amefariki. Tutawaletea taarifa zaidi ya msiba huu tukifika nyumbani kwa muhusika. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA:MUIGIZAJI WA FILAMU NCHINI MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA.

Taarifa zilizotufikia katika chumba cha habari ya Globu ya Jamii zinaeleza kuwa Msanii wa filamu, Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Globu ya Jamii bado inafuatilia kwa karibu kujua chanzo cha kifo cha Muigizaji huyu mahiri wa filamu hapa nchini.Baadhi ya filamu alizowahi kuigiza Mzee Mnento ni Hero of the church, Dar to Lagos, Fake pastor n.k Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani