Mume amshtaki mkewe kwa kumyima ngono
David Mason, mwenye umri wa miaka 30, alimshitaki mkewe Brenda kwa kumnyima haki yake ya kingono na kushikri tu wiki moja kwa mwezi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NDILiAzzLEUgO8AZIwscjIFl*xD8GA0Wq5KtqpS7j4SEDZArZuAOYG2WstcDgGIU-3Y4HH3LjQ4n0ACjHCre5fIujq03fdbf/haa.jpg)
HEEE! MUME AMSHTAKI MKEWE KWA WIZI WA MTOTO WAO
KIOJA! Jalada la kesi namba MAG/RB/8329/2014- WIZI kwenye Kituo cha Polisi cha Magomeni, Dar, limefunguliwa na mwanaume aitwaye Rashidi akimshitaki mkewe, Fatuma Ally akimtuhumu kwa wizi wa mwanaye Zainabu Rashidi aliyemwandikisha jina la mwanaume mwingine aliyetajwa kwa jina la Paulo Mlela. Bw. Rashidi anayemshitaki mkewe, Fatuma Ally kwa wizi wa mwanaye Zainabu Rashidi. Kwa mujibu wa Rashidi anayeishi na familia yake maeneo...
10 years ago
Bongo518 Sep
Iggy Azalea amshtaki ex wake anayetaka kusambaza mkanda wao wa ngono
Iggy Azalea amemfungulia mashtaka mpenzi wake wa zamani anayedai kuwa anataka kusambaza mkanda wao wa ngono. Rapper huyo anadai kuwa ex wake alikopi data nyingi kutoka kwenye laptop yake bila ruhusa. Iggy amefungua mashtaka hayo dhidi ya Hefe Wine kwa kumtuhumu kudownload kila kitu kutoka kwenye komputa yake binafsi mwaka 2009 wakati wakiishi pamoja huko […]
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6xzDXLZEGuut8DlAVWczuc-qfZaOAz7a-0UB5V7Ne6AZbprBiLxA2DJXO4f*XBoGne1YbpXif9p6z5fR4wwbWp9XcFILEGAG/Kundra.gif?width=650)
MUME AMLIPUA MKEWE KWA PETROLI
Na Igenga Mtatiro, Butiama
Mwanamke mmoja, Kudra Janja mkazi wa Kijiji cha Bwai, wilayani Butiama mkoani Mara amelipuliwa kwa petroli na mumewe, Simon Otieno kwa kile kilichodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.Katika tukio hilo pia mtoto aliyejulikana kwa jina la Tatu Simon (1) alifariki dunia muda mfupi baada ya kuungua kwa moto katika unyama huo uliofanywa na baba yake mzazi. Habari kutoka katika kijiji hicho zinasema...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZFVQGyC-7KjlQvIjxlA6jimHCJJUEDAo9NnC86t-*UXddKd6v3LNL-GK7yxeyUTKJnaP3KQ*3YcV6WlYjsd7vwsiLKj0noDz/BACKUWAZI.gif?width=650)
MUME ALIVYOMUUA MKEWE KWA NYUNDO!
Na Mohemed Shabani, Manyara DUNIA inazidi kufikia ukingoni! Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Paulo Mahinda, 40, (pichani), mkazi wa Kijiji cha Ndaleta wilayani Kiteto, Manyara anatafutwa na jeshi la polisi wilayani hapa kwa madai ya kumuua mke wake, Mariam Samuel (45) hivi karibuni kwa kumpiga na nyundo kwenye paji la uso, pia kumjeruhi mtoto wake wa mwaka mmoja. Â Marehemu Mariam Samuel enzi za uhai wake. Taarifa za...
10 years ago
BBCSwahili13 Mar
Mume achomwa kwa kumkumbuka marehemu mkewe
Mwanamume aliyechomwa kwa kumkumbuka marehemu mke wake amesema haoni haya tena kuwa alichomwa na maji moto
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Mume auawa kwa kisu na hawara wa mkewe
Mkazi wa Tarafa ya Mang’ula wilayani Kilombero, Amon Nyenja amefariki dunia baada ya kuchomwa kwa kisu na anayedhaniwa kuwa ni hawara wa mke wake mdogo.
10 years ago
BBCSwahili22 Dec
Kwa wivu,Mume amjeruhi mkewe kwa shoka
Mume amcharanga mkewe kwa kumshuku kuwa ana bwana anyempa kiburi kutoka Singapore,na ambaye humrejesha nyumbani mara moja kwa mwezi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLQali9drJvOS2jshJ1UvcH0pF3MtvS7rLGtSlxF7tGemGWjobaEqpMAf2xaquu50AhdjCcj5vHeT30QPILeqa51/Happy.jpg?width=650)
MUME AMUUA MKEWE KWA KUMPIGA MISUMARI KICHWANI
Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa Â
MWANAMUME mmoja aitwaye Boniphace Kiwele mkazi wa Bombambili, Wilaya ya Ilala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam anadaiwa kumuua kwa kipigo na kitu kinachodhaniwa kuwa ni msumari, mkewe Happiness Geofrey (pichani) wiki iliyopita. Happiness Geofrey enzi za uhai wake. Kiwele alidaiwa kufanya ukatili huo Machi 3, mwaka huu nyumbani kwake baada ya kumtuhumu mkewe kuwa alikuwa kwa...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Mume ajinyonga baada ya kumuua mkewe kwa panga
Mkazi wa Kijiji cha Malolo Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, Chipunguli Mkisi (30) anadaiwa kumuua mkewe Neva Mwaweza (24) kwa kumcharanga mapanga kichwani kutokana na wivu wa mapenzi, kisha kujiua kujinyonga kwa kamba.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania